navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,517
- 480
Haiwezi mkuu.Nenda utakutana nao huko barabarani angalia isikufanye ilichomfamya sharomilionea.
Nimefunikwa kwa Damu ya Yesu
Haiwezi mkuu.Nenda utakutana nao huko barabarani angalia isikufanye ilichomfamya sharomilionea.
Nataka nihamie kwenye x3 PetroNenda utakutana nao huko barabarani angalia isikufanye ilichomfamya sharomilionea.
Mkuu, Mda huu ndio nimepak gari, tokea jana saa nne usiku 😀😀😀... sijalala 24hrsUtamwagika sana .......itakuwa usiku km kawaida yako au ?
Sasa hivi nina toyota na nina subaru, kufikia november navuta E350 😀😀Humo kuna mwendo...utasahau Toyota zako!
Ingekuwa Nissan Patrol ningekujamo.....
Pole sana kwa safari ila una uwezo mkubwa sana wa kuvumilia kuangalia barabara kwa muda mrefu......umebarikiwaMkuu, Mda huu ndio nimepak gari, tokea jana saa nne usiku 😀😀😀... sijalala 24hrs
Halina mwendo hilo(td42),ikiwa Y62 hapo poa.
hii mwaka huu ni lazima iingie kwenye parking yanguHio E350 balaa
kuna kipindi mkuu haina namna, unakuta kazi inakutaka ufanye hivyo. Hasa kwa tulio jiajiri, ukilala na kila kitu kinalala na unaweza poteza wateja.. inabidi una jitoa haswaa.. ila na mda wa kupumzika na pumzikaa haswaaPole sana kwa safari ila una uwezo mkubwa sana wa kuvumilia kuangalia barabara kwa muda mrefu......umebarikiwa
Tatizo umezoea story za vijiwe vya kahawa yaani kitoto cha miaka miwili kimpite mbio mwenye miaka 6 ?Passo mbona inatembea mzee unaweza kuichukulia poa ila ukiikaa vibaya ile gx 100 hutaona nilipopita
In sha Allahhii mwaka huu ni lazima iingie kwenye parking yangu
Situmii kitu chochote mkuu. Tokea juzi hadi leo nimemaliza 1748KM 😬😬😬.. kuanzia kesho ni bata tu sigusi tena gari hadi next week kuanzi alhamisiDuh unatumia nini kudhibiti usingizi?!!
Wapi hapa?raha ya road trip
View attachment 1783858