ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,071
- 17,449
Mpaka leo sielewi kama waliichukua au niliidondosha.Duh pole sana. Vijana walikuingiza mjini Moshi. Mwaka huu Kili imesogea hadi March lwasababu ya mfungo.
Mpaka leo sielewi kama waliichukua au niliidondosha.Duh pole sana. Vijana walikuingiza mjini Moshi. Mwaka huu Kili imesogea hadi March lwasababu ya mfungo.
Mkuu bado unaishi na Fuga ?Mpaka leo sielewi kama waliichukua au niliidondosha.
Nnayo mkuu - ndoa katoliki hii. SGR nimepanda mara mbili tatu ila naona ntaendelea kutumia gari tuMkuu bado unaishi na Fuga ?
Mwili umechoka sana kuanza roadtrip, ingawa roho inatamani sana nizianze mwezi wa tatu mwishoni ila mwili unagoma nikiwaza SGR inavyofanya maisha kuwa mepesi
😅😅 na kweli hiyo ndoa ya mkatoliki. Na mie nitajaribu mwezi ujao kutembea roadtrip nione kama nitawezaNnayo mkuu - ndoa katoliki hii. SGR nimepanda mara mbili tatu ila naona ntaendelea kutumia gari tu
Mdonmdo tu plus kampani popote unafika😅😅 na kweli hiyo ndoa ya mkatoliki. Na mie nitajaribu mwezi ujao kutembea roadtrip nione kama nitaweza
Dar es Salaam to Morogoro to Mahenge ( kutembea tu ) , huenda nitapochokoeq ndio nitalalia na nitageuziaUnatoka wapi unaenda wapi?
Mvua naona salama kupaki gari sehemu salama, na kama usiku siendeshi kabisa gari, mwisho saa moja jioniNa hizi mvua kuwa makini.
Hii ni dilemma yangu kwa sasaRoute ya Dar to Dom sijui kama nitatumia gari tena.
Moro-Dom karibia kila mwaka mvua ikinyesha ya maana huwa inatokea hiyo hali, kuanzia maeneo ya gairo kwenda kibaigwa lile eneo ni kama lina mkondo wa majiJuzi niliona barabara kati ya Moro-Dom mvua imeleta mafuriko yamekata mawasiliano kabisa.
Yes but kunaUkiangalia factors zifuatazo SGR vs self drive
1.Cost
2.Safety/Risk
3.Time
Unaachana na gari.