Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unakuja nalo Tz?
Hiyo inaleta matunda mimi naleta za wateja nakuja na hizi..
IMG-20260304-WA0192.jpeg
 
Dah! Wazee ngoja nitafute mpunga tu ninunue gari.
Kuna ile hali upo road kwenye gari kimvua kina nyesha kwa mbali, masika imetaradadi miti na nyasi za kijani na kibaridi cha mbali,, oya hii huwa ni zaid ya advanture .

Miaka mi3 mbele na mimi ntaleta ushuhuda hapa ntapiga picha dashboard .
 
Pokea gari sasa .
 
Hio hali ya Masika ndio nimeendesha nayo jana usiku kucha. Kuanzia Bagamoyo hadi naingia mkoa wa Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom