Jana nimepiga trip Dar to Moshi. Kati ya Msata-Segera barabara ina mashimo nimeyachapa balaa.
Wewe jamaa bado unahusika na gari kaka ?Hio hali ya Masika ndio nimeendesha nayo jana usiku kucha. Kuanzia Bagamoyo hadi naingia mkoa wa Kilimanjaro.
Duh sasa itakuwaje mnyama umemuachia?Wewe jamaa bado unahusika na gari kaka ?
Nimemuuza mnyama wangu corolla alianza mazoea mabaya na mimi ntamani nipate second hand car aisee ila kikibwa iweze kuhomili rough road maana naishi kijijini huku
Nafurahia kujua kuwa kaka mkubwa unajua nilikuwa namiliki mnyama corolla.Mkuu hivi ile corolla inaweza road trip Dar-Mbeya?
Ni hatari na kipande cha Same-Himo nacho bado hovyo kabisa.
Roho inauma si kidogo ila kama mwanaume ilinibidi nikubali kuwa wakati ukuta na wakati wake umeisha maana kuna muda nilikuwa nikiikimbiza nasikia kama inagonga sana chini ,pelekq kwa fundi zaidi ya mara mbili tena garage zenye mafundi walau tunaowqamini mbeya ila bado hakuacha kulia zaidi ya kupumzika .Duh sasa itakuwaje mnyama umemuachia?
Segera mpaka Same bado sio pabaya ila Same kwenda Himo barabara ina viraka sana. Yaani hamna tofauti na kuendesha barabara ya vumbi.Segera kwenda Moshi sijakanyaga miaka mingi sana, mara kadhaa huwa nanyoosha goti kwenda Tanga mjini...
Kweli kila kitu kina mwisho.Roho inauma si kidogo ila kama mwanaume ilinibidi nikubali kuwa wakati ukuta na wakati wake umeisha maana kuna muda nilikuwa nikiikimbiza nasikia kama inagonga sana chini ,pelekq kwa fundi zaidi ya mara mbili tena garage zenye mafundi walau tunaowqamini mbeya ila bado hakuacha kulia zaidi ya kupumzika .
Ilinipa sonona siku nzima kukubali kuwa sasa naachana naye
Hope mkuu umeenjoy sana aise.Hio hali ya Masika ndio nimeendesha nayo jana usiku kucha. Kuanzia Bagamoyo hadi naingia mkoa wa Kilimanjaro.
Safari na mke wako acha umalayaMwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo.
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Hapo Mkata pameua jamaa yangu Jnne iliyopita hayo mashimo😓😓Jana nimepiga trip Dar to Moshi. Kati ya Msata-Segera barabara ina mashimo nimeyachapa balaa.
MKubwa hivi nikiwa na MAZDA VERISA hapa hadi chuga fuli tank natoboa?Duh RIP
Shukrani MkuuDuh RIP
Navyo icheki naona natoboa hii capacity yake ni mwisho lita 45 ila namashaka mno nataka kwenda nayo hadi kenya kama inawezekanaIna tank ya ukubwa gani? Ila nina uhakika 80% chance inatoboa.