babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,281
- 20,833
Ukipita pale turiani Kuna boda pale pori tu unaibuka lushoto,mbele handeniMkuu Lushoto iko mlimani unapandia Mombo hio boda ni ipi? Au una maanisha Handeni?
Ukipita pale turiani Kuna boda pale pori tu unaibuka lushoto,mbele handeniMkuu Lushoto iko mlimani unapandia Mombo hio boda ni ipi? Au una maanisha Handeni?
Ukipita pale turiani Kuna boda pale pori tu unaibuka lushoto,mbele handeni
Hata ukipita Turiani utapita Handeni na lazima upite Korogwe halafu Mombo ndio uende Lushoto. Hio boda iko wapi?Lushoto iko juu ya milima usambara unapandia Mombo. Hio boda kutoka Turiani ina flyover inayoruka Mombo?
Huko kwingine kabisa mwana mi nilienda na Leyland Bus nilipandia Turiani,mara ya pili na baiskeli maana Bus ni once kwa wiki kadhaa.Hata ukipita Turiani utapita Handeni na lazima upite Korogwe halafu Mombo ndio uende Lushoto. Hio boda iko wapi?
View attachment 3568699
Main road tu, morogoro road, kisha chalinze msata ,, sichukuagi option za njia za vumbi zina cost sana miguuMorogoro Lushoto unapita njia gani?
Unaweka vituo tu, labda kama unawahi mahali.Aisee Dar Mwanza uendeshe 80kph inahitaji moyo
Uko vizuri. Nimesoma feedback yako. Njia ya kusini mbovu sana.Kesho Sunday napiga hii: Dar - Kilwa Masoko - Lindi - Mtwara - Dar.
2 Nights, 3 Days. Just joyride sina any plan.
View attachment 3578998
-Njia ikoje sijawahi pita hii njia nadhani miaka 4+,
-Kwenye ivyo vituo nikazurure wapi? Nikalale wapi? Nikale wapi? Minimal budget.
Nataka niondoke Ubungo 6am, nikwepe jam ya Mbagala.
Upo na chuma gani mkuuJana nimeingia Dodoma from Dar. Barabara Moro to Dodoma ina mashimo balaa.
Ukipita ya Mtwara hiyo utaona ina nafuu sanaJana nimeingia Dodoma from Dar. Barabara Moro to Dodoma ina mashimo balaa.
Ahaaa nkajuwa upo na heavy truck mkuuMazda CX5