Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ISO M.CodD vipi Kili tunaenda mwezi ujao? Hii SGR imenifanya nimepunguza road trip pia parasite wangu washaanza kuchoka mzuka wa kusafiri nao unaisha.
 
Kwanzia wamechukua iphone yangu kutoka mfukoni pale kili marathon sina hamu napo tena.

Nilikuwa milimani Disemba though. From there nikapiga Arusha > Dodoma > Mbeya > Njombe > Moro > Dar. Trip zinaendelea japo nimepunguza kukimbia kwakweli. Nazeeka I think
 
Duh pole sana. Vijana walikuingiza mjini Moshi. Mwaka huu Kili imesogea hadi March lwasababu ya mfungo.
 
Back
Top Bottom