Hii njia nina miaka zaidi ya 10 sijapita. Na ninavyosikia imeharibika nakata tamaa hata kupita huko kimatembezi.Road trip imekamilika, barabara ina sehemu nyingi hatarishi kwa sababu kuna vipande vimetolewa lami, kuna maeneo ujenzi wa madaraja unaendelea ni mengi kiasi, kuna maeneo barabara ina vidimbwi hatari...
View attachment 3410701
View attachment 3410702
View attachment 3410709
Nilifikia ulevini 😂😂😂 kwanza ndani ya treni nilipiga za kutosha. SGR is kingHujafika tu? Wapi mrejesho?
View attachment 3429353
Lilitembea mpaka 177 kmph maana nilikuwa na gps speedometer muda wote. Also kwenye kukeep time, ride quality its all proper.Huo mtambo ni amazing. Hata waliokuwa wanamchukia Magu hapo wananyoosha mikono.
Sijawahi kupanda hii ya mchongoko. Mchongoko ina 8 coaches only. Lile ordinary service ndio lina 14 coaches ambalo hata economy vitu vinalala.Lilitembea mpaka 177 kmph maana nilikuwa na gps speedometer muda wote. Also kwenye kukeep time, ride quality its all proper.
Only issue ni naming: Mchongoko (Business class) ni treni baya sana. 14 cars all similar no amenities at all. Hata kiti hakilali. No legroom nilikaa kiupande upande kwenye aisle. Walitakiwa waliite business express sio business class kwasababu its all about speed and not comfort
Asante kwa correction, mchongoko likwepe mkuu unless unasafiri kwa emergency au last notice. Na wanasema huwa halijai hata ukienda last minute unanunua tiketi dirishani unaingia ndani. Unless kuna jambola kitaifa DodomaSijawahi kupanda hii ya mchongoko. Mchongoko ina 8 coaches only. Lile ordinary service ndio lina 14 coaches ambalo hata economy vitu vinalala.
Hii njia nina miaka zaidi ya 10 sijapita. Na ninavyosikia imeharibika nakata tamaa hata kupita huko kimatembezi.
Kwa bei yake hawanipati. Kwanza sina haraka 🤣🤣Asante kwa correction, mchongoko likwepe mkuu unless unasafiri kwa emergency au last notice. Na wanasema huwa halijai hata ukienda last minute unanunua tiketi dirishani unaingia ndani. Unless kuna jambola kitaifa Dodoma
No hurry in AfricaKwa bei yake hawanipati. Kwanza sina haraka 🤣🤣
Aaah bac tuu kaka, ujana na kuigana…
Niliitunza sn hii gari, oil mpya kila kilometer chache, coolant ya uhakika, gear box oil genuine, mziki mkubwa, unyunyu wa kwenda, rim sport kali.
Mafuta ilikuwa inanusa tuu, haikuwai nisumbua kwa chochote kile… sema kila ninavyowasha tv 📺 nasikia kelele za IST, IST, IST.
Mara huyu kashinda mchezo super, yule kapewa na vodacom. mara hawa comedian uchwara waiponde… nikienda kwny harusi mc hachekeshi mpaka aitaje IST. Nikisimama Kwenye mataa nitapigiwa horn hadi na bajaji.
Now nimehamia kwny subaru, maintenance yake inanitoa roho.
inshort I miss my IST 😔
HivikunaDaladalaShangani hata mimi nauliza.Uzi makini
Hiyo ni Shangani ya Mtwara kuchele au?HivikunaDaladalaShangani hata mimi nauliza.
Yeah, huko huko.Hiyo ni Shangani ya Mtwara kuchele au?
Ni kitambo sana nimetoka huko. Sidhani kama niafahamu hiyo joint.Yeah kule sijawahi kuona bus. 🤣🤣. Nimekumbuka joint moja inaitwa MSEMO. Sijui bado iko bonba kama enzi zile nilizokuwa hapo?