Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwanzia wamechukua iphone yangu kutoka mfukoni pale kili marathon sina hamu napo tena.

Nilikuwa milimani Disemba though. From there nikapiga Arusha > Dodoma > Mbeya > Njombe > Moro > Dar. Trip zinaendelea japo nimepunguza kukimbia kwakweli. Nazeeka I think
Mkuu nimeenda na kurudi na gari moja ya kinyoonge. Nineteseka sana😀😀😀😀. Yaani unajikongoja halafu zinakuja Ford ranger, LC200 na Crown zinapita shwaaaah sekunde 10 zinetoweka kabisa. Ninachowafanyia watu ndio kimenikutq
 
Kuendesha gari ya kichovu highway ni kipaji maalum. Pole mkuu kwa kulazimika kuvumilia. Ungekuwa na jiko ungejipa moyo kuwa 'you could if you wanted to'
 
Mad Max nimepiga trip leo Dar to Moshi nipo na XD L package inaridhisha idara zote
 
Kuna shirika fulani lilikua lina simamia mradi mkubwa. Sasa nikapata kibarua huko nikapewa chuma zero km lakini masharti ya mradi top speed ni 80km/h na lina kiingamuzi. Week ya Kwanza tu nilikula warning letter 3. Yani unapitwa mpaka roho inauma. Alafu kwa siku ni 400km tu safari ya Dar Bukoba siku 4. Kiusalama ni nzuri ila inatesa sana.
 
Ha ha ha jana natoka Moshi niliona moja Isuzu D-Max mpya kabisa jamaa anaenda mwendo wa konokono nikamwambia mwenzangu huyu ana speed limit 80kph gari za kampuni. Hapo hata akikamua engine kidogo taarifa inafika kwa boss. Jamaa aksema haya ndio mateso bila chuki.
 
Target: Dar morogoro , Morogoro Lushoto - Lushoto Dar
5a406032-35a1-4689-a353-3510f8549be3.jpeg
 
Others tunaenjoy tu kwenye 80-100km/hr, japo tunaendesha Old cars.
cha msingi umefika sehumu unabeba kambale, umefika magugu unacheki manzari na kuchukua mchele kidogo, babati unasalimia jamaa na marafiki.
Aisee Dar Mwanza uendeshe 80kph inahitaji moyo
 
Back
Top Bottom