Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Njombe = Dar x -1

Huku AC iko nje ndani unawasha joto kali

20250312_234841.jpg
 
Aaah bac tuu kaka, ujana na kuigana…

Niliitunza sn hii gari, oil mpya kila kilometer chache, coolant ya uhakika, gear box oil genuine, mziki mkubwa, unyunyu wa kwenda, rim sport kali.

Mafuta ilikuwa inanusa tuu, haikuwai nisumbua kwa chochote kile… sema kila ninavyowasha tv 📺 nasikia kelele za IST, IST, IST.

Mara huyu kashinda mchezo super, yule kapewa na vodacom. mara hawa comedian uchwara waiponde… nikienda kwny harusi mc hachekeshi mpaka aitaje IST. Nikisimama Kwenye mataa nitapigiwa horn hadi na bajaji.

Now nimehamia kwny subaru, maintenance yake inanitoa roho.

inshort I miss my IST 😔
Kwanini mkuu
 
Kwa nn mkuu Mbn nainjoy nako sana hasa kwenye swala la mafuta
Aaah bac tuu kaka, ujana na kuigana…

Niliitunza sn hii gari, oil mpya kila kilometer chache, coolant ya uhakika, gear box oil genuine, mziki mkubwa, unyunyu wa kwenda, rim sport kali.

Mafuta ilikuwa inanusa tuu, haikuwai nisumbua kwa chochote kile… sema kila ninavyowasha tv 📺 nasikia kelele za IST, IST, IST.

Mara huyu kashinda mchezo super, yule kapewa na vodacom. mara hawa comedian uchwara waiponde… nikienda kwny harusi mc hachekeshi mpaka aitaje IST. Nikisimama Kwenye mataa nitapigiwa horn hadi na bajaji.

Now nimehamia kwny subaru, maintenance yake inanitoa roho.

inshort I miss my IST
 
Wadau wa Road trip, kwa mliosafiri hivi karibuni barabara ya Dar to Mtwara naomba kujua hali ya barabara maana upande huo kipindi cha masika hapa karibuni kulikuwa hovyo...
 
kama utasafir usiku uwe makini zaid maana barabara imejaa mashimo haswaa..
 
Safari ilianza alfajiri kwenye saa 11, sasa hivi saa nne dk 20 juu ya alama nimefika nipo hapa Mingoyo(Mnazi Mmoja)

Kwa kweli barabara kama sio dereva mzoefu unaweza ukakesha kukwepa mashimo...

Masasi kuleeeee....
20250719_104051.jpg
 
Wadau wa Road trip, kwa mliosafiri hivi karibuni barabara ya Dar to Mtwara naomba kujua hali ya barabara maana upande huo kipindi cha masika hapa karibuni kulikuwa hovyo...

Road trip imekamilika, barabara ina sehemu nyingi hatarishi kwa sababu kuna vipande vimetolewa lami, kuna maeneo ujenzi wa madaraja unaendelea ni mengi kiasi, kuna maeneo barabara ina vidimbwi hatari...

IMG-20250719-WA0005.jpeg

IMG-20250719-WA0003.jpeg

20250719_100929.jpg
 
Back
Top Bottom