Wazee wa road trip mpo?

East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,698
2,000
Hapo alikuonea. Zebra unasimama kama kuna mtu anataka kuvuka.
Alijua akifika nitaanza kulia, au nitakimbilia kumpa ya kiwi, huwa naziweka hela pale mbele mda mwingi huwa nakuwa mwenyewe nadra sana kunikuta na mtu kwenye gari, alipofika nikashusha kioo, akawa anatazama zile huku anacheka cheka, akazunguka gari akarudi namtazama tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. ndio akaanzisha hilo.. nikamuambia sawa andika tu, nikampa leseni .. akaandika bado anajichekesha huyo nikasepa.. ila roho iliniuma sana.. nilijua ananione kabisa na sikutaka ligi nae
 
East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,698
2,000
Duh leo nimetenda dhambi roho imeniuma sana. Nilikuwa na gari sijaizoe. Taa ya mafuta imewaka range inanionesha nina km20 tu. Nikaamua niweke mafuta ya kunifikisha home tu nikaweka 10,000 nilijua itaongeza range hadi km60 hivi. Baada ya kuweka mshale haukusogea wala range haikubadilika. Nikaenda ninapoenda range inashuka.
Kurudi nikapita njia ile ile range iko 14, nikapita pale kituo cha mafuta nikamwambia Yule dada nimeweka mafuta hapa kwako lakini gauge haikupanda wala kuonesha kuna mafuta yameingia, umeniibia! Dada Yule akasema sijakuibia nimekuwekea hela ulionipa nikamwambia haiwezekani kusiwe na mabadiliko kwenye gauge, ikabidi niende kituo kingine nikaweka 10, aisee gauge ikakurupuka ikapanda sana na range ikaja kwenye 110km. Hapo nikajua ni kweli aliweka mafuta nimemsingizia tu. Nimejisikia vibaya sana.
Hiyo hutokea chief... ukiweke wese mshare kama haupandi au zile km. Unaizima kwanza gari. Mie imeisha nitokea hiyo.. na ndicho nilichofanya
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
779
1,000
Road trip yangu ilikuwa Dar - Moro, wakati wa Moro - Dar nilirudi na bus.

Nilikuwa na sister, mzigo ulikuwa ni Athlete. I enjoyed the trip.... Crown tamu aisee ile comfortability yake si mchezo, yan sometimes inavutwa mpaka anavuka 140 lakini nafeel kama bado yuko kwa 80. Sis angu akiwa barabarani ni anadrive kama mwanaume, hanaga wasiwasi na traffic kabisa.

Another trip was Dar to Arusha na Kidia one. Ilikuwa Poa kiasi, Shekilango tulitoka 06:00 kufikia saa kumi na dk 29 tulikuwa around Tengeru. Napenda ile view ya Wami, Tanga ile milima, na wapi pale kunakuwaga na mashamba kibao ya katani, Mombo nk
Binafsi niseme tu kifupi-Speed ni hatari sana kwetu sisi sote.Ajali zinaongoza kwa kutumaliza sisi vijana kila kukisha bila sababu za msingi.Binafsi naamini kama advisable speed sehemu nyingi duniani ni kati ya 80-100kph,basi ni matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya usalama wa driving na ikapendekezwa hvyo.Bora tuchezee hapa kuwalinda na wengineo.
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
779
1,000
Binafsi niseme tu kifupi-Speed ni hatari sana kwetu sisi sote.Ajali zinaongoza kwa kutumaliza sisi vijana kila kukisha bila sababu za msingi.Binafsi naamini kama advisable speed sehemu nyingi duniani ni kati ya 80-100kph,basi ni matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya usalama wa driving na ikapendekezwa hvyo.Bora tuchezee hapa kuwalinda na wengineo.
Tandale ni mfano mmojawapo wa kutuonyesha kwamba reckless driving is dangerous.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
41,604
2,000
Nafurahia komentsi tu.
Nikionaga picha zako kule selfika nakumbuka enzi zangu napuyanga kwenye Motoways! Nilikula ban miezi 6 nilipita kwenye construction zone yenye limit 50mph. Mimi nilipita na 100mph(makosa mawili hapa kwasababu speed limit ni 70mph). Ilikuwa north huko sikumbuki ni M ngapi ila ilikuwa natoka M6 Birminngham on my way to catch M56 naelekea Manchester. Nilikutana na bahasha ya kaki baada ya siku tatu, aidha nikubali kuwa ni mimi nilikuwa naendesha au niende mahakamani kujitete, nilikubali nikapigwa hio ban na faini Β£200.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
41,604
2,000
Binafsi niseme tu kifupi-Speed ni hatari sana kwetu sisi sote.Ajali zinaongoza kwa kutumaliza sisi vijana kila kukisha bila sababu za msingi.Binafsi naamini kama advisable speed sehemu nyingi duniani ni kati ya 80-100kph,basi ni matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya usalama wa driving na ikapendekezwa hvyo.Bora tuchezee hapa kuwalinda na wengineo.
Wala nisiwe muongo,ni ngumu sana kwangu kuendesha gari chini ya 140kph, labda kwenye limit nafuata ili limit ikiisha Mungu anilinde tu.
 
blackcornshman

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
4,112
2,000
Nikionaga picha zako kule selfika nakumbuka enzi zangu napuyanga kwenye Motoways! Nilikula ban miezi 6 nilipita kwenye construction zone yenye limit 50mph. Mimi nilipita na 100mph(makosa mawili hapa kwasababu speed limit ni 70mph). Ilikuwa north huko sikumbuki ni M ngapi ila ilikuwa natoka M6 Birminngham on my way to catch M56 naelekea Manchester. Nilikutana na bahasha ya kaki baada ya siku tatu, aidha nikubali kuwa ni mimi nilikuwa naendesha au niende mahakamani kujitete, nilikubali nikapigwa hio ban na faini Β£200.
Dahhh,ukiona bahasha la kaki tu unawaza bill au fine mzee Baba.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,018
2,000
Hela ya Zebra inauma lakini haifikii hela ya seat belt.......unakuta mtu haeleweki kuwa anavuka au havuki...unapunguza mwendo, ukipita tu jamaa anavuka, unakamatwa..

Seat belt yenyewe unakuta umempa mtu lift.... Dadeki...

Ukishalimwa fine mpewa lift anakwambia "aisee pole sana, asante mimi naishia hapa..."
Seat belt ni lazima ukipanda gari langu.

Hata ukikaa seat ya nyuma ntahakikisha umefunga belt ndo naondoa chombo.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,018
2,000
Duh leo nimetenda dhambi roho imeniuma sana. Nilikuwa na gari sijaizoe. Taa ya mafuta imewaka range inanionesha nina km20 tu. Nikaamua niweke mafuta ya kunifikisha home tu nikaweka 10,000 nilijua itaongeza range hadi km60 hivi. Baada ya kuweka mshale haukusogea wala range haikubadilika. Nikaenda ninapoenda range inashuka.
Kurudi nikapita njia ile ile range iko 14, nikapita pale kituo cha mafuta nikamwambia Yule dada nimeweka mafuta hapa kwako lakini gauge haikupanda wala kuonesha kuna mafuta yameingia, umeniibia! Dada Yule akasema sijakuibia nimekuwekea hela ulionipa nikamwambia haiwezekani kusiwe na mabadiliko kwenye gauge, ikabidi niende kituo kingine nikaweka 10, aisee gauge ikakurupuka ikapanda sana na range ikaja kwenye 110km. Hapo nikajua ni kweli aliweka mafuta nimemsingizia tu. Nimejisikia vibaya sana.
Ilishawahi nitokea kama hii.

Gari ilikuwa harrier tako la nyani ya mshkaji.

Niliweka mafuta kama ya 50K. Nikajua gauge itapanda mbeleni.

Namrudishia gari akalalamika nimerudisha bila mafuta. Ikabidi nimrushie 50 ingine aweke. Akaenda kuweka mzigo ukaruka mpaka full.

Akajisikia vibaya kinoma. Akataka kurudisha mpunga, nikamwambia akaushe.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,018
2,000
Sidhani. ...

Tena wa kike ndio laini, sister angu alishamsaundisha traffic wa kike mm nilikuwa sijafunga mkanda na akaeleweka. Traffic aliishia kusema next time asirudie
Traffic wa kike watu poa sana.

Niliwahi mpita traffic wa mmama njia ya moro. Akanisimamisha nikasimama mbele sana. Ikabidi nirudi. Akaniongelesha vizuri sana jinsi ilivyo hatari kukimbiza gari. Nikampa 30 ya kumuonea huruma.

Ndo traffic pekee mpaka sasa aliewahi hata kuongea vizuri na mimi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom