Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Sio kwamba jinsia tu ndo inahusika???Naomba siku nikusababishie ili janga 😆
ila faini ya seat belt inazungumzika mbona, ukiikubali we mzembe unless uwe umekutana na traffic kichomi
Ukikutana na askari sister du hakuachii wewe




.. anashuka anakuachia ka msala kako.. noma tupu