Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwanza-dar on Sunday, asubuhi na mapema, mara yangu ya kwanza safari ndefu,
Umbali mrefu niliotembea Dar-Tanga-Dar on the same day.
Dar moro nimezoea kwenda ninauzoefu napo. Kama kuna mzoefu wa hiyo njia ya Mwanza nipate hints.

Sitegemei kuwa na mapumziko marefu.
Kila mkoa nitaweka kituo kifupi.

Max Speed 100km/h kwa dharura, speed yangu huwa ni 80-90
Jiandae. Hio ni long road trip. Enjoy
 
Back
Top Bottom