Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Wewe dawa yako ni kukuwekea mizigo siti ya nyuma, then ukikaa mbele break zinakua zakutosha kwenye mbali mfupi mfupiMimi nikipanda cha kwanza ni kukunjua seat, kama ni lift sijamzoea dereva uwa nakaa nyuma. mkanda sio kipaumbele mpaka nikumbushwe. Nina balaa basi tu



