Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

miradi kama hiyo inafanyika sana huko makanisani sema imekua habari kubwa kwako kwakua haijazoeleka watu wa jamii hiyo kuwaeezesha wanawake.
btw: we bibi upo?
 
Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu?

Mama Samia Suluhu juzi alipokuwa akiwaapisha Makatibu Tawala alisema "asilimia 46" ya aliowaapisha ni wanawake. Mama alinifurahisha sana sana kuona kuwa hatutupi wanawake wenzake.

Kilichonifurahisha zaidi ni habari iliyotumwa leo kwenye group la whatsapp na telegram kuwa wazee wa madrassatul Abraar ni muda sasa wameanzisha mpango wa kuwawezesha wanawake kabla ya Mama Samia Suluhu. Wanawawezesha kwa kuwwfundisha fani na taaluma mbali mbali za kazi kwa vitendo, hata mtaa wao unaitwa Vitendo.

Ya leo waliotuma ilikuwa ni kina mama waliojifunza ujenzi kuanzia hapo hapo Madrassatul Abraar, msimamizi wao (Mke wa Mzee wa Madrassa) yeye pia kajifunza usimamizi wa ujenzi hapo hapo Madrassa na mteja wa nyumba wanaoijenga ni mwanamke pia.

Mwenye nyumba hiyo pia nampongeza sana kwa kujitolea kuwakabidhi ajengewe nyumba yake kwa roho nyeupe kina mama hao ambao bado wanapata uzoefu wa ujenzi. Chini ntapandisha video clip.

Hongereni sana wazee wa Madrassatul Abraar, Hongera Bi Samira uliejitolea ujengewe bila hofu ili kina mama wenzio wapate uzoefu,

Jioneeni team ya kina mama ikiwa kazini...

Waandishi wa habari mko wapi mambo mema kama haya yanafanywa na wazee wa madrassa hamyatangazi? Hawa Madrassatul Abraar nimepitia hapa JF nimeona wamebuni mpango wa kuwezeshana wanaouita Nyumba kwa Wote ambao wanatamba kuwa haujawahi kutokea duniani, cha kushangaza si wanasiasa si waandishi wa habari wanaokwenda kuona mipango hii ambayo wangewawezesha hawa wazee ingefanywa kitaifa kabisa tena kwa ufanisi mkubwa kabisa.

View attachment 1808538

Machallah very nice
 
Sasa Ukht mie naomba contact zao
Marhaba.

Wa Aleykum salaam.

Hiyo Madrasaatul Abraar inabidi ipongezwe kitaifa kwa mpango wao wanaouita Abraar Nyumba kwa Wote. Wanatamba kuwa kupitia kwao unaweza kuanza ujenzi kwa Shillingi 2,500 tu. Inashangaza.

Wana uzi wao humu JF unaongelea hilo la kuwezeshana ujenzi. Binafsi nawapa pongezi sana tena na naahidi kuwatembelea ntapokuwa huko.
 
Asante kwa taarifa hii, hii naichukulia kama news tip, bila media kupewa tip, sisi waandishi hatuwezi kujua. Huu kweli ni mpango wa nyumba kwa wote, lakini ni kwa maeneo tuu ya vijijini, au maeneo yasiyopimwa kama ujenzi wa squatters ili kila mtu apate nyumba, lakini mpango huu kwa maeneo ya mjini, surveyed areas, ujenzi huo ni too local, hauwezi kukubalika!. Mimi tuu sio fundi, lakini kwa macho unaona kabisa udongo ni wa kichanga, unajenga msingi mchangani kwa kufanya compacting ya mchanga, juu ya mchanga na bila compacting machine, mvua ikinyesha kubwa ika rais water table, huo mchanga wa jini, unaondoka na nyumba kupiga crack kwenye msingi. Kwa vile ni nyumba za slabs, angalau ni nyumba bora kuliko zile za tope za vijijini kwetu. Please share developmental news kama hizi, the media will pick na kuitangaza hii habari njema Tanzania.
Asante tena for sharing this.
P
Binafsi sijauona ujenzi huo live lakini picha na video nilizoziona siwezi ku judge kama ulivyo judge wewe.

Kwani squarter za Dar hakuna mijengo ya maana ambayo nna uhakika hata wewe hauna?

Wewe umeshajionea wanaochojivunia au preconceived judgement yako ya kijuha tu?

Hebu ona hiyo clip halafu sema tena ulichokisema...

Ujenzi huu
20210313_103944.jpg
Ujenzi huo huwezi kuufanya wapi umesema?
 
Binafsi sijauona ujenzi huo live lakini picha na video nilizoziona siwezi ku judge kama ulivyo judge wewe.

Kwani squarter za Dar hakuna mijengo ya maana ambayo nna uhakika hata wewe hauna?

Wewe umeshajionea wanaochojivunia au preconceived judgement yako ya kijuha tu?

Hebu ona hiyo clip halafu sema tena ulichokisema...

Ujenzi huuView attachment 1811790 Ujenzi huo huwezi kuufanya wapi umesema?

Aise wako vizuri sana.
 
Asante kwa taarifa hii, hii naichukulia kama news tip, bila media kupewa tip, sisi waandishi hatuwezi kujua. Huu kweli ni mpango wa nyumba kwa wote, lakini ni kwa maeneo tuu ya vijijini, au maeneo yasiyopimwa kama ujenzi wa squatters ili kila mtu apate nyumba, lakini mpango huu kwa maeneo ya mjini, surveyed areas, ujenzi huo ni too local, hauwezi kukubalika!. Mimi tuu sio fundi, lakini kwa macho unaona kabisa udongo ni wa kichanga, unajenga msingi mchangani kwa kufanya compacting ya mchanga, juu ya mchanga na bila compacting machine, mvua ikinyesha kubwa ika rais water table, huo mchanga wa jini, unaondoka na nyumba kupiga crack kwenye msingi. Kwa vile ni nyumba za slabs, angalau ni nyumba bora kuliko zile za tope za vijijini kwetu. Please share developmental news kama hizi, the media will pick na kuitangaza hii habari njema Tanzania.
Asante tena for sharing this.
P

Tunakukaribisha ututembelee ujionee. Tupo, mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha mjini, Mkoa wa Pwani. Namba zetu ni 0625349605.

Hatujajenga kwenye "squarter" hata moja. Na ujenzi wetu una meet na ku exceed viwango vya vifaa vya ujenzi na ujenzi vya BS (British Standard). Lakini pia unaweza kujenga kwenye "squarter". Sisi hatujali wewe unajenga wapi, bali tunakushauri upime rasmi kiwanja chako, upate vibali vya ujenzi ndipo uanze kujenga.

Tunawezesha kwa kufundisha kwa vitendo. Vifaa vyetu vyote vinaundwa na waloiojifunza hapa kwetu kwa vitendo. Tunawezesha kuanzia wanaoanza kabisa kujifunza ujenzi, tunawezesha mafundi wazoefu kujua vifaa na mbinu mpya za ujenzi wa gharama nafuu kwa ubora wa hali ya juu.

Pia tunawezesha anaetaka kujenga kwa kuanza kujenga kwa gharama nafuu kabisa ambayo haijwahi kutokea.

Karibu sana ujionee, hata wewe una mengi ya kujifunza.
 
miradi kama hiyo inafanyika sana huko makanisani sema imekua habari kubwa kwako kwakua haijazoeleka watu wa jamii hiyo kuwaeezesha wanawake.
btw: we bibi upo?
Hongera zao sana.

Naomba tujulishe kanisa linalomwezesha mtu kuanza kujenga kwa Shillingi 2,500 tu bila riba. Kama unazo na namba zao tupatie tubadilishane nao mawazo, tupo kwa ajili ya jamii na naamini Kanisa lipo kwa ajili ya jamii. Nasubiri kutoka kwako.

Tunakukaribisha pamoja na wasimamizi wa hilo kanisa mtutembelee mjionee na mtuongezee maarifa na tunaamini tuna japo moja dogo mtalochota kutoka kwetu kwa faida ya jamii.

Tupo, mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha mjini, Mkoa wa Pwani. Namba zetu ni 0625349605.

Tunawezesha kwa kufundisha kwa vitendo. Vifaa vyetu vyote vinaundwa na waliojifunza hapa kwetu kwa vitendo (hands on training). Tunawezesha kuanzia wanaoanza kabisa kujifunza ujenzi, tunawezesha mafundi wazoefu kujua vifaa na mbinu mpya za ujenzi wa gharama nafuu wenye ubora wa hali ya juu.

Pia tunawezesha anaetaka kujenga kwa kuanza kujenga kwa gharama nafuu kabisa ambayo haijwahi kutokea.

Tuna vijana kadhaa hapa, wa kike na wa kiume, ambao si Waislaam wamejiunga na mpango wetu huu.

Nimefurahi kusikia kuwa lipo kanisa linafanya kama haya yetu kwa upande wa kina mama na nakusubiri utujulishe kanisa lipi hilo ili tubadilishane nao mawazo.

Binafsi, wacha kanisa, sijawahi kusikia au kuona popote mtu anawezeshwa kuanza kujenga kwa Shillingi 2,500 tu, bila riba, bila mkopo. Ni hapa kweu, Madrassatul Abraar pekee, mpaka leo hii. AlhamduliLllah.

Karibu sana.
 
Abdul, a man pf few words but lots of action. Nimependa sana majibu yako, cool and crystal clear. Kama hajakuelewa basi ana yake.
 
Abdul, a man pf few words but lots of action. Nimependa sana majibu, cool and crystal clear. Kama hajakuelewa basi ana yake.
Tunakukaribisha ututembelee ujionee. Tupo, mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha mjini, Mkoa wa Pwani. Namba zetu ni 0625349605.

Hatujajenga kwenye "squarter" hata moja. Na ujenzi wetu una meet na ku exceed viwango vya vifaa vya ujenzi na ujenzi vya BS (British Standard). Lakini pia unaweza kujenga kwenye "squarter". Sisi hatujali wewe unajenga wapi, bali tunakushauri upime rasmi kiwanja chako, upate vibali vya ujenzi ndipo uanze kujenga.

Tunawezesha kwa kufundisha kwa vitendo. Vifaa vyetu vyote vinaundwa na waloiojifunza hapa kwetu kwa vitendo. Tunawezesha kuanzia wanaoanza kabisa kujifunza ujenzi, tunawezesha mafundi wazoefu kujua vifaa na mbinu mpya za ujenzi wa gharama nafuu kwa ubora wa hali ya juu.

Pia tunawezesha anaetaka kujenga kwa kuanza kujenga kwa gharama nafuu kabisa ambayo haijwahi kutokea.

Karibu sana ujionee, hata wewe una mengi ya kujifunza.

Haya Pascal Mayalla (ma njaa) that's from Lion's mouth.

Unalo?
 
Asante nitakaribia. Saba Saba inaanza, nitakuwa na vipindi vya TV kwanye vituo mbalimbali, nitawatafuta, niwarushe.
P
 
Nenda sasa ukachote habari na maarifa kutoka kwa Abdul. kwani huwa nakuona unatangaza sana habari za maendeleo.

Sasa una chanzo cha kuitumikia jamii, sio kila siku ungoje kuwatumikia wenye vibahasha tu. Tunataka tuone interview yako na wazee wa Madrasssa. Labda hiyo itakupaisha kwenye awamu hii, maana ulijitahidi sana awamu iliyopita ukaishia kuitwa ma njaa.

Unafikiri ile falsafa yako unayoipenda sana ya Karma ipo kwenye mabatya tu? Hata kwenye mema ipo, ukitenda mema utalipwa mema, ndio karma hiyo. Sasa nenda kafanye mema kuwatumikia hawa wazee wa madrassa uone karma yake.

Wasiliana Mzee Abdul 0625249605. Huyo Mzee ukikutana nae utafurahi tu, ni totally different character you have ever come across with.
 
Back
Top Bottom