Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

Hakuna kosa la Lam na Ree hapo. Unajisumbua tu. Hayo makosa ya typo ni kawaida sana kwa mtu anae type faster kama mimi, ulifikiri mimi ni robot sikosei?
ameuliza huko shule mlienda kusomea ujinga mbona haumpi jibu
 
Waislam tunaamini katika mitihani ya kuishi. Huwa tunamuogopa Allah tu.
Hakikusibu ila Allah akijua.
[/QUOTE]

Sisi Tunamuogopa Yahweh
 
Alikuwa anamsifu tu Magu
Sema Magu alikuwa hazoeleki walisifu wakachoka
Kumbe hata unacchokisoma hukielewi? Hapo wanaomsifu nani kama si India?

Mimi nimeleta tu hapo habari za nje.

Magufuli ana mengi ya kusifiwa. Ingawa nilikuwa nje lakini nilimsifu sana alivyo handle tatizo la corona.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Waislam tunaamini katika mitihani ya kuishi. Huwa tunamuogopa Allah tu. Hakikusibu ila Allah akijua.
Watu walikua wanamuogopa mwendazake Tena waislamu Safi waliopewa majukumu ya kuiongoza BAKWATA ki mkoa.
Unakumbuka siku Ile shekhe ubwabwa alisema Magufuli Ni zaidi ya mtume Mohammed SAW akaenda mbele zaidi akasema Magufuli Ni zaidi ya Allah.
Unakumbuka meya wa hapa Moshi Tena muislamu Safi alipokataza madiwani kuvaa barakoa ili amfurahishe mwendazake?
 
Marhaba.

Wa Aleykum salaam.

Hiyo Madrasaatul Abraar inabidi ipongezwe kitaifa kwa mpango wao wanaouita Abraar Nyumba kwa Wote. Wanatamba kuwa kupitia kwao unaweza kuanza ujenzi kwa Shillingi 2,500 tu. Inashangaza.

Wana uzi wao humu JF unaongelea hilo la kuwezeshana ujenzi. Binafsi nawapa pongezi sana tena na naahidi kuwatembelea ntapokuwa huko.
Jirani upo vizuri sana hajat FaizaFoxy .
Kongole sana na Mungu akubariki.
Tumsaidie Mh. Mama Samia Suluhu Hassan kuwatoa Watanzania katika lindi la ufukura.
 
Back
Top Bottom