Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

Naona watu wameanza kufufuka.#Faizafoxy kwenye mitandao kuna mtu anaitwa Veronica France anatuchafulia sana mheshimiwa wetu mkwere,unasemaje juu ya hili?
 
Hakuna siri, ukweli ni kuwa Tanzania ilikuwa ya vitisho sana awamu iliyotutoka.

Ukienda huku Makonda, ukienda kule Sabaya ukirudi unatumbuliwa hata kama hauna jipiu. Mara una kesi za uhujumu uchumi mara una kesi za kutakatisha fedha, ohoooooo.

Ikabidi wengine turudi zetu kwenye kwenye barafu tupoe kidogo.

Mama Samia katutoa hofu. In shaa Allah aishi kama jina lake "msikivu".
Dah halafu mwanzo ulianza kumsifu ujue mwendazake.Ila yote kwa yote karibu tena tuendeleze tulipoishia kazi na iendeleee na Mama Samia.
 
Marhaba.

Wa Aleykum salaam.

Hiyo Madrasaatul Abraar inabidi ipongezwe kitaifa kwa mpango wao wanaouita Abraar Nyumba kwa Wote. Wanatamba kuwa kupitia kwao unaweza kuanza ujenzi kwa Shillingi 2,500 tu. Inashangaza.

Wana uzi wao humu JF unaongelea hilo la kuwezeshana ujenzi. Binafsi nawapa pongezi sana tena na naahidi kuwatembelea ntapokuwa huko.

Huu ni utapeli.....mmeanza tena eh?
 
Ikifikia juu usisahau kuwanunulia kofia ngumu ili kuepuka madhara yeyote yanayoweza tokea wakti wowote kama ajali
 
Hakuna kosa la Lam na Ree hapo. Unajisumbua tu. Hayo makosa ya typo ni kawaida sana kwa mtu anae type faster kama mimi, ulifikiri mimi ni robot sikosei?

Karibu Bibie tuku miss sana,nimeamini Bwana yule alitesa wengi
 
Hakuna siri, ukweli ni kuwa Tanzania ilikuwa ya vitisho sana awamu iliyotutoka.

Ukienda huku Makonda, ukienda kule Sabaya ukirudi unatumbuliwa hata kama hauna jipu. Mara una kesi za uhujumu uchumi mara una kesi za kutakatisha fedha, ohoooooo.

Ikabidi wengine turudi zetu kwenye kwenye barafu tupoe kidogo.

Mama Samia katutoa hofu. In shaa Allah aishi kama jina lake "msikivu".
Kwa Mara ya kwanza umeandika objectively
 
Back
Top Bottom