chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Nitafurahi sana ikiwa Slaa ataendelea kuhudumu CHADEMA.
Wengine wanaweza uza chama kama Slaa hayupo.
Hasa kamanda mbowe kwa hili tukio simwamini tena ni mwenyekiti wangu ila namchukulia kwa tahadhari sana