bakari bakari 1
Senior Member
- Jul 7, 2015
- 172
- 36
Eee dk slaa si mjomba yako
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Nitawawekea picha baadae kidogo.
Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
mwaka huu mtataga magamba nyie
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Nitawawekea picha baadae kidogo.
Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
![]()
kunawatu wataumbuka sana humu.
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Nitawawekea picha baadae kidogo.
Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.
![]()
Hizi stori tumezichoka. mara leo kuwepo kwenye vikao vya chama mara amezungumza na wazee
chadema iuzwe mara ngapi wakati mtu kashatoa bil 10 kwa mbowe.Nitafurahi sana ikiwa Slaa ataendelea kuhudumu CHADEMA.
Wengine wanaweza uza chama kama Slaa hayupo.
pole sana ndugu yangu...hujui tu....muda wako wa uielewa ukifika utaelewawewe gamba tu, Dr. yupo kama kawaida. kajipange uje kivingine
Picha ya wazee walioongea na Silaa.
Mkuu PISTO LERO naomba kukuhakikishia kuwa hakuna mwana cdm wa kweli,hakuna aliye kuwa against na Dr slaa,hao wote unao waona wanatukana au kushinikiza mambo ya kijinga ni ingizo la Lumumba kutaka kuchafua hali ya hewa ndani ya cdm kwa makusudi hata hivyo makamanda tupo macho na ikibidi kukesha kuhakikisha tuna zuia upotoshaji huo kwa kueleza ukweli kwa watanzania wapenda mageuzi ya kweli
Mkuu dr yupo ndani ya cdm