Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

hizo ndo habari njema siyo modomo inayoitakia mabaya chadema wakati chama hiki kimesaidia kuleta mageuzi na uelewa mkubwa kwa watanzania juu ya siasa
 
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

Acheni hizo kauli za kejeli.In short kauli za kipuuzi!
Tumehangaika na vijisimu vyetu vya kinchina kufuatilia na kuwa wanachama waaminifu wa hii chama kwa yale iliyokuwa inasimamia na kutuaminisha leo hii unasema siasa za mkumbo. Tunataka Taarifa sahihi ya Usafi wa Lowassa, kinyume na hapo hiyo ndoto ya wapigakura zaidi ya milioni ikigeuka ndoto ya Mchana mtashindwa kuficha sura zetu.

Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

Afadhali mwinyi kambi amerudi
 
mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

ukweli wa mambo utajulikana tu
 
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

Nikiwa mwanachama hai wa cdm nitaendelea kumheshimu Dr Slaa kama kiongozi na mzee kwenye chama.
 
Pichani wa kushoto simkumbuki, J. Mnyenye,anafuata Teacher manager wa KAVIWASU karatu, Dr Slaa, baada ya Dr simkumbuki, anayefuta John Luciani diwani na mwisho kulia ni Engineer wa Halmashauri ya Wilaya Karatu.
 
Mazungumzo yameisha salama mungu mkubwa na dr slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.

Nitawawekea picha baadae kidogo.

Wito kwa wana chadema tujifunze uvumilivu wa kisiasa tuache siasa za kufata mkumbo na tuwe na heshima kwa wazee wa chama.

.
Kwa sala zetu na dua tunawaombea wezee wetu maisha mema yaliyojaa afya. Ni wazi kabisa kwamba Dr wa ukweli anastahili heshima kwa kila mwanamageuzi mwenye nia njema. tofauti katikati ya watu/kundi hazikosekani na kwa watu waliokaa pamoja na kwa umoja kama chadema haliharibiki neno. tunamkaribisha mh wetu Dr Slaa baada ya mapumziko mafupi na tunaamini ataliongoza gurudumu la kampeni za urais kumnadi comredi Lowasa na ni hakika ushindi ni dhahiri.
Mungu mbariki Dr Slaa, Mungu mbariki Lowasa, bariki pia chadema na Ukawa kwa umoja wao.
AAMEN!!
.
 
Back
Top Bottom