Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

Mkuu
Kuna kipindi EATV kinaitwa skonga
Kuna segment ya kuuliza maswali
Ukisikiliza majibu ya watoto wale kama wewe ni mwalimu unaweza chapa shule nzima watoto ni weupee
Yaani hamna kitu

Achana na hao nenda chuo kikuu ndio utachoka

Kuna wanafunzi wa UDSM wanaosoma maswala ya siasa
Waliulizwa swali hili

"Barabara ya mwenge kwenda ubungo inaitwa Sam Nujoma Road, je huyu Sam Nujoma ni nani?

Hakuna mwanafunzi alipata hili swali
Nilisikitika sana, kuona mwanafunzi wa UDSM anasoma Mambo ya siasa afu hajui swali dogo kama hilo

Watakwambia halina mantiki
 
Wazazi na mihemuko ya watoto. Mfumo wa Elimu hauko designed kumfundisha mtoto kila kitu. Vingine wanajifunza kutokana na "Experience". Sasa unakuta mtoto amezaliwa Dar hajawahi hata kutoka kwenda mkoa...halafu unataka ajue Tabora imepakana na mikoa gani. Hii si kazi ya shule unless kama unataka wakariri ramani.
 
Huwa najiuliza Elimu ya Darasa la Saba Ni Nini hasa Hadi watoto waende hostel!?

Lakini Serikali ipo!??

Kuna Nini hasa watoto wanasoma huko.!?
Nini hasa!? Nielewesheni wadau!?
 
Watoto wanakaririshwa majibu badala ya kupewa maarifa!!?
 
Hizo waalimu wengi ni vibwengo tupu, English zero, sasa verb to 'be' nyepesi , 'do' ma auxiliary verb (helping verbs), the simplest subject ni English, form four failure wanaajiriwa kama waalimu
Kwani aliulizwa mwalimu ama watoto wake? Si hamtaki watoto wachawe shuleni! Basi tulieni dawa iwaingie past tense nyie
 
Ukitokea zanzibar je
Hvy hvy pia. Kwa njia ya anga atapita anga la Zanzibar, atapita anga la Tanga (kama sijakosea), atapita anga la pwani atamalizia na anga la Dar.
Kwa njia ya maji atapita bahari miliki ya Zanzibar, bahari miliki ya Tanga, bahari miliki ya pwani, atamalizia na bahari miliki ya Dar 😎

Una hakika na unachosema?
Em nirekebishe mkuu
 
Hvy hvy pia. Kwa njia ya anga atapita anga la Zanzibar, atapita anga la Tanga (kama sijakosea), atapita anga la pwani atamalizia na anga la Dar.
Kwa njia ya maji atapita bahari miliki ya Zanzibar, bahari miliki ya Tanga, bahari miliki ya pwani, atamalizia na bahari miliki ya Dar


Em nirekebishe mkuu
Kama Zanzibar Channel ina upana wa km 53+ na maritime ya bagamoyo ni 12 nautical miles inawezekana vipi mtu atokee Zanzibar Kwa ferry apite mkoa wa pwani?
 
Back
Top Bottom