jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Badala ya Kujenga mlibomoa HAMJAFANIKIWA!
Mmewabania sana Wazaramo toka enzi ya mnanda hadi sasa ni Singeli.
Hadi RPC aliwahi piga marufuku ngoma zetu, haya sasa ALICIA KEYS Katukubali.
KIMBIA NASEMA KIMBIA MBIO MBIO, WAPI MSAGA SUMU