Wazaramo walibaniwa sana sasa Singeli ndio ngoma ya Alicia Keys!!

Ukweli huwezi toka kwenu Africa uwaimbie wamarekani rnb sijui hip pop
Unatakiwa uwaoneshe kitu tofauti kama hivi
 
jingalao hapana hawakubaniwa kamwe bali hawakuwa tayari kuwa na ndoto kubwa.. Kama unakumbuka way back 90's MNANDA ulivyokuwa maarufu ambao sasa ndio huu product ya SINGELI... lakini hapo kati tukaiga uzungu mwingi
Badala ya Kujenga mlibomoa!!HAMJAFANIKIWA!
Mmewabania sana wazaramo toka enzi ya mnanda hadi sasa ni Singeli.

Hadi RPC aliwahi piga marufuku ngoma zetu...haya sasa ALICIA KEYS Katukubali ....


KIMBIA NASEMA KIMBIA MBIO MBIO...WAPI MSAGA SUMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom