Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
Diamond anaiga Wanaigeria, wakati sound ya Bongo hii ipo inawatoa watu.jingalao hapana hawakubaniwa kamwe bali hawakuwa tayari kuwa na ndoto kubwa.. Kama unakumbuka way back 90's MNANDA ulivyokuwa maarufu ambao sasa ndio huu product ya SINGELI... lakini hapo kati tukaiga uzungu mwingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app