Wazanzibar wote ni wageni

Wazanzibar wote ni wageni

Ndugu naomba niongee kwa kiswahili, nimemjibu pasco kutokana na kile alichoandika...!!! Usikurupuke...! Soma alichoandika Pasco

KAKA YANGU SIKUWA NAJIBU COMMENT YAKO BALI YA ALIYEANDIKA KABLA YAKO ANASHINDWA KUCHANGIA MADA ANATOA LUGHA CHAFU
I AM VERY SORRY IF I HAVE OFFENDED YOU BUT I DIDN'T INTEND KUKUJIBU WEWE
 
kuna Wazanzibari ambao asili yao ni kutoka Kenya,Ushelisheli n.k.
ukisoma makaratasi fanya na utafiti.

NDIO MAANA NIMESEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI MAANA UKISEMA WAMETOKA USHELISHELI WAMETOKA NJE YA ZANZIBAR MAANA USHELISHELI SIYO Z.BAR
 
Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.[/QUOTE]
Waarabu wao walikuwa wanazunguka kibiashara tu walipokuja zanzibar kwa mara ya kwanza hawakuja kwa nia ya kutawala!
Ndomana Waarabu waliondoka kisiwani zanzibar waliacha mbegu zao,waliporudi mara ya pili ndy walikuja kwa nia ya kutawala....
Kuhusu hyo kigoma nakubaliana na wee!
Na unaposema kuhusu kurudishana kila mtu kwenye chimbuko lake basi tz hao baki mtu!
Kwa mtazamo wangu tu na mawazo yangu ni kuwa dunia ya sahvi hutakiwi kuuliza oh we kwenu ni sehemu fulani.....wewe hapa siyo kwenu huo ni ujinga kabisa!
 
...@averoes kikubwa ni hii kabla ya Waarabu ku invade zanzibar hicho kisiwa kilikuwa na watu kutoka wapi?
Maana zanzibar walishakuja Waarabu, wachina (ming dynasty)wa reno etc so kwa ugeni huo ndiyo uchotara umepatikana hao wote waliacha mbegu
 
May beeee ila ni historiaaa tuuu sinaga imani sana nayooo coz ilishawahi nifananisha ns nyaniii vipi nikisema mwenyeji wa zanzibar ni samaki nguva
 
Mkuu hebu kabla hujatunyooshea vidole wazanzibari kosha mikono kwanza na ujitazame wewe mwenyewe,hivi unaijua historia ya tanganyika wewe,hivi unajua kwanini watanganyika wengi sana hawapendi kuitwa watanganyika na sio kama hawapendi kwa sababu jina tanganyika ni baya, ila haimo kwenye nyoyo zao kuwa wao ni watanganika,sababu ni kuwa hakuna kitu tanganyika na hakuna watanganyika halisi, watanganyika wa sasa ni watu wa congo na central africa ambao wengi walikuja kwenye mwambao wa bahari kwa baisha ya utumwa na wengine walikuja kujitafutia kazi baada ya biashara ya utumwa kusitishwa 1833, 1900 ndio watu wa central africa na congo walianza kukimbilia mwambao wa africa ndio hao baadhi wamekuja hapa zanzibar na kuchanganya na warabu na wengine wakaishia tanganyika hapo.

kabla ya hizo tarehe za utumwa ma migration zanzibar haikuwa na sura za waafica wengi lakini bado ilikuwa zanzibar na tanganyika ilikua haipo kabisa
 
Wazanzibari halisi wa sasa ni watu walioishi zanzibar zaidi ya 3 generations,ikiwa una 1 au 2 generations wewe sio mzanzibari ni muahamiaji tu

na hii inakwendana na popote duniani hata wamarekani zaidi ya 3 generation ndio unahesabiwa mmarekani ila ukiwa umezaliwa tu utakuwa ni mtoto wa immigrants, na hakuna watu wenye asili ya popote kwa enzi na enzi duniani at some point ni lazima watakuwa wahamiaji tu
 
ha ha haaa jamani watu mna majibuu....
Ni kweli watu wana majibu.
Mimi nataka niwarudishe mbali zaidi.
Kwa wale walio na imani za dini wanaamini Mungu aliumba Adamu na Hawa na hawa wawili walitengeneza vizazi na kusambaa duniani. Je tunaelewa wapi Adam na Hawa waliishi na kufanya makazi yao hapa duniani?
Kwa hiyo basi ukiendana na historia hii, watu wote ni wageni katika maeneo(nchi) wanayoishi sasa hivi.

Hata wale wanaomini kuwa watu wametokana na mabadiliko (evolution) nao itawapasa wakubaliane na ukweli kuwa kila mtu leo ni mgeni hakuna mwenyeji. Samaki na manyani walitembea na kusambaa maeneo tofauti na ilipofikia kuwa watu ni wazi walikuwa wameshakata mbuga, misitu na nyika.

La msingi ni kukubaliana kuwa binadamu wana asili moja na katika dunia hii baada ya kukatiana mapande ya Ardhi na kuyaita Nchi, kuna wale waliowahi kufika eneo hilo na wengine kuhamia baadae. Uadilifu na haki ndio uongoze jamii/nchi zetu na sio kutafuta mizozo na migogoro ya kijinga.

kwa sasa ni rahisi kujua nani ni mzawa na nani ni mhamiaji. Kuna sheria za uhamiaji na uraia kwa hiyo katika hili watu watabishana na mwisho kujikuta wote ni wageni.

Mkapa ni Mtanzania lakini wazee wa wazee wake walitokea wapi?
Nyerere alikuwa Mtanganyika ambae amekufa akiwa ni Mtanzania lakini wazee wa wazee wake walitokea wapi?
Wazee wa Karume walizaliwa wapi? Karume alikuwa mzanzibari na baade alikuwa ni Mtanzania?
Ali hassan Mwinyi ni mzanzibari kulikoni kuwa mtanganyika? Kwa sasa ni mtanzania. Je Yeye ni mwenyeji wa wapi na mgeni wapi?

Karibuni linakuja Lijinchi kubwa linaitwa Afrika ya Mashariki na aliyekuwa mganda, mkenya, mtanzania, mzanzibari, mrwanda atakuwa na haki ya kumwita mwenzake mgeni au wa kuja katika nchi hiyo itayoitwa Afrika Mashariki wakti kila mmoja atakuwa na haki ya kwenda na kuishi katika eneo lote la Jamhuri ya/ au Shirikisho la Afrika Mashariki?

Hii mijadala yote ya karibuni ya uzawa, uzalendo,wageni, masultani, machotara na kuenzi mapinduzi ya mwafrika ni kwa sababu moja tu. Kutaka kuhalalisha ubakaji wa demokrasia huko Zanzibar. Wageni na wenyeji wa huko Zanzibar kwa umoja wao walipiga kura na kukipiga chini chama cha M. Ili watu waache kuzungumzia ubakaji wa demokrasia basi wanaanzisha mada na mijadala ya kuwasahaulisha watu uhuni wa chama hicho kinachobaka demokrasia.

Kama walioshinda wangepewa ushindi wao, wangetangazwa wameshinda huu upuuzi wote wa wageni, wakuja wala usingesikika. Pengine chamngamoto ingekuwa kufanya kile ambacho kimecheleshwa sana na CCM, kushughulikia Katiba mpya ya wananchi ili Tanzania ijioneshe kuwa ni Muungano wa nchi mbili ambao katika ubora wa Muundo wake ungeruhusu nchi zingine kujiunga pia.


Chronological History of Tanganyika (Tanzania)

A Modern History of Tanganyika

http://www.infoplease.com/encyclope...mous-archipelago-island-tanzania-history.html

HISTORY OF ZANZIBAR

TZIVA

RESEARCH PAPER ARAB INFLUENCE AND ITS IMPACT ON INDIAN AND EAST AFRICAN COASTLINES

Zanzibar People and Culture

Tanganyika | historical state, Tanzania
 
NDIO MAANA NIMESEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI MAANA UKISEMA WAMETOKA USHELISHELI WAMETOKA NJE YA ZANZIBAR MAANA USHELISHELI SIYO Z.BAR

mkuu maelezo yako yanasema Wazanzibar asili yao ni watumwa kutoka Congo(WATWANA) na Waarabu(MABWANA)...
au nilielewa vibaya ?!
 
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.

Pasco
Pasco huko sahihi! ni kweli visiwa huamiwa na wageni kwanza wale wa maeneo ya karibu kutokana na shughuli za kiuchumi, mfano kwa case ya Zanzibar kuna wangazija, wazaramo, wandengereko, wamatumbi! Hawa ndio wakazi wa kwanza wavuvi waliofika visiwani just ktk shughuli za kiuchumi kabla ya kuhamia rasmi kisiwani hapo! Bagamoyo na unguja ni less than 60km kwa wavuvi wa bahari kuu ni karibu sana, wapemba na watu wa Tanga na Mombasa ni karibu mno! Kiasili hata ukiangalia mfanano wa watu wa Pemba na watanga na Mombasa ni mkubwa mno, wakati unguja na wazaramo, wangazija na jamii nyingine za pwani ya Tanganyika ni mkubwa! Kimantiki Hawa wote ni wahamiaji, lkn hata watanganyika pia nao ni wahamiaji wa maeneo mengine kama tunaanza kurudi nyuma miaka 600-800 huko utaona Bantu wa tz ni wachache sana, makabila mengi ni wahamiaji!
Hii ya wabongo, wanyamwezi, Wasukuma na wamakonde kama watumwa na hao waarabu ni historia nyingine kabisa! Wengi ktk jamii za watumwa na mabwana wanajitambua kama wahamiaji, na wapo wakazi ambao kwa hakika hawajui asili zao, na hao ndio wazawa kimantiki! Vivianet katika makabila aliyoyataja pasco ukiondoa wangazija ambao hawaachi kujinasabisha na kisiwa chao cha asili makabila mengine yamejiita kutokana na visiwa vya asili au maeneo wanaoishi sasa, Hawa hawana jingine wanaloliona Ila wao ni wazanzibar na hawana chembe ya kujiona ni wageni kisiwani hapo! Hawa ni sawa na sisi wahamiaji wa makabila kadhaa ambao ktk historia tunaambiwa tumeanzia Ethiopia au central Africa etc lkn hatujioni zaidi ya watanganyika!
 
Kuna wamakonde nao wapo kwenye historia ya Zanzibar utafiti niliofanya Zanzibar ni ya watanzania haina mtu maalum...
Wengine ni masalia ya watumwa. Walitoka unyamwezini,matumbi, Kigoma, Kongo, Burundi. Biashara ya watumwa ilikomeshewa Zanzibar wakabaki huko Na kuzaliana. Kuna mama wa kiongozi Fulani ni hizbu chotora. Waliruhusiwa kuona. Siyo bongo wahindi hawaoi mbantu vice versa
 
KAKA YANGU SIKUWA NAJIBU COMMENT YAKO BALI YA ALIYEANDIKA KABLA YAKO ANASHINDWA KUCHANGIA MADA ANATOA LUGHA CHAFU
I AM VERY SORRY IF I HAVE OFFENDED YOU BUT I DIDN'T INTEND KUKUJIBU WEWE
OK OK thanks
 
Zanzibar yote tangu 997 AD walikuwa wamechangamana na waasia, waarabu na waafrika waliotoka Kenya, Kongo, Rwanda, Msumbiji na Zambia sasa wanapokataa Machotara watuambie asili ya Bibi kizaa Baba yao ni wapi?
 
KUNA WATU WAMEKUWA WAKIWADANGANYA WATU KWAMBA WAO NDIO WENYEJI NA WENGINE NI WAGENI UKWELI NI HUU

HAPA CHUONI KUNA HISTORIA NZURI SANA YA NCHI YA ZANZIBAR
HAKUNA MTU MWENYE ASILI YA ZANZIBAR KUNA WATWANA NA MABWANA

WATWANA NI WATUMWA KUTOKA KONGO WANAITWA WAMANYEMA NA MABWANA NI WAARABU KUTONA OMANI HAO NDIO WAZANZIBAR KWA MANENO MENGINE ZANZIBAR NI YA WAKONGO WATUMWA NA WAARABU WAKOLONI. SIKU MOJA NITAWEKA HISTORIA YOTE HAPA NIPO HAPA ICC UNIVERSITY ILLINOIS USA

Elimu ya hapa na pale ktk ubora wake!
 
DON'T READ WITHOUT MEDITATING THE TOPIC AND START COMMENTING
YOU SHOULD GET THE IDEA OF THE WRITER FIRST AND THEN COMMENT.THE HEADING INASEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI
UNABISHA THEN UNAKUBALI KWANI UNAPOSEMA WANGAZIJA UNAMAANISHA SIYO WAGENI BALI NDIO WENYEJI WA ZANZABAR? JUST GO DEEPER AND DEEPER
Kwa style hii Kiswahili hakitakua milele bali kiswanglish ndicho kitakua zaidi. Ni kweli Zanzibar kila mmoja ni mgeni pale hususani Unguja ambapo kuna wangazija wengi ambao Asili yao ni comoro na kuna wanamwezi wengi ambao asili yao ni Tabora kuna mchanganyiko wa makabila mengi kutokana na Utumwa wa kiaarabu kukusanya watumwa wengi kigoma na Tabora na mikoa mingine kuja nao hadi Bagamoyo wakaletwa Zanzibar huku wengine wakipelekwa sehemu zingine Duniani. Kuna waarabu wachache pemba ambao walitangulia kufika toka Oman na hawa ndiyo walitumika kusambaza Dini ya kiislam na me la na desturi za kiaraabu kwa watumwa wote waliotoka bara Congo, Burundi nk.
 
Zanzibar yote tangu 997 AD walikuwa wamechangamana na waasia, waarabu na waafrika waliotoka Kenya, Kongo, Rwanda, Msumbiji na Zambia sasa wanapokataa Machotara watuambie asili ya Bibi kizaa Baba yao ni wapi?
Waarabu walikusanya watumwa kigoma wakaweka kambi Tabora hivyo uwezekano wa kuwa na wakongo, warundi na wanyarwanda ni mkubwa zaidi kuliko mataifa mengine, ikumbukwe kuwa mpaka leo kule Zanzibar wageni wengi huitwa wanyamwezi ina maana kuwa idadi kubwa ya watumwa waliojazwa Zanzibar wale kuwa wanyamwezi japo kuna makabila mengine mengi.
 
Mwarabu Zanzibar alitangulia kufika mapema japo na mzungu alifika ndiyo maana kuna kanisa la zamani sana lilijengwa kabla hata misikiti haijajengwa, wazungu hawakukaa sana na walishindwa kueneza ukiristo kutokana na kulemewa na idadi kubwa ya Waarabu na watumwa ambao na wao walisilimishwa mapema pindi wakikamatwa utumwani, walipelekwa Zanzibar tayari wakiwa waislam hivyo ikawa vigumu Dini zingine kuenea Zanzibar. Kwa kifupi Zanzibar haina mwenyewe wote ni wahamiaji tu, Ndiyo maana Tanganyika imewatawala miaka yote na kila jambo huamuliwa toka Tanganyika mpaka sasa Dr shein anatawala kwa nguvu za Rais wa Tanganyika, hata mishahara posho na pesa za kuendesha Serikali ya Zanzibar hutoka Hazina Dsm.
 
Back
Top Bottom