Wazanzibar wote ni wageni

Wazanzibar wote ni wageni

Ameangalia historia iliyoko iliyoko chuoni kwao Ilinois Marekani.. Yaani Mtaanzania anatafuta historia ya Tanzania huko marekani alafu
anakuja kutufundisha huku Tanzania

KUNA WATU WANACHANGIA LAKINI WANASHINDWA KUELEWA KITU KINACHOITWA THE NATURE OF HISTORY.ASILI YA HISTORIA
VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU, ILA WALIHAMIA SIJUI ARGUMENT INATOKA WAPI MAANA HIKI NILICHOANDIKA NDIO HISTORIA YA KWELI KWAMBA KISIWA CHA ZANZIBAR WATU WALIHAMIA TU KAMA VISIWA VINGINE.
 
Kaka angalia vizuri hiyo Historia ya hapo chuoni kwenu,kwanza nataka uamini kuwa wazungu wame -"manipulate",historia nyingi tu sio ya Zanzibar tu bali ya Dunia nzima,mfano angalia historia ya Pharaoh wa Egypt umeshawahili kuona
Pharaoh huyo au hao kuwa na Portrait ya mtu mweusi..

Kuhusu historia ya Zanzibar tulivyoambiwa na mabibi na mababu zetu, simulizi zinasema kuwa Warabu wa Oman waliitwa na wenyweji wa Zanzibar,sababu ya wenyeji kuwaita Warabu ilikuwa wanataka msaada wawaondoe Wareno ambao walikuwa wanawatesa wenyeji,lakini sababu kubwa ilikuwa ni tafauti za dini.

Warabu wakisaidiana na wenyeji walifanikiwa kumuondoa Mreno,baada ya muda kupitaya Wenyeji na Warabu wa Oman walikubaliana kuwa bora warabu wa Oman waweke utawala wao mdogo pale Zanzibar,yaani kulikuwa na tawala mbili za kisultani moja ilikuwa Oman na moja Ilikuwapo Zanzibar.

Huo ndio ufupi wa historia ya wanzibari na warabu,Ukianagalia kwa Undani wababu zetu walikuwa na hekima sana walijua kuwa udogo wao hawataweza kupambana na mataifa makubwa lazima wawe na alliance.

Kwahiyo walikuwepo wenyeji kabla ya warabu kuja zanzibar,Je nani mwenyeji wa Zanzibar?Security na uchumi wa Zanzibar ndio ilikuwa lengo la wazanzibar wa wakati huo kuwaita warabu Zanzibar.......,Tafakari

FATILIA HISTORIA VIZURI HAKUNA KISIWA CHOCHOTE DUNIANI KILICHOKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA
EBU NIAMBIE MWAKA 1700 NI KABILA LIPI LILIKUWA LINAISHI ZANZIBAR MAANA WATU WANAJITAHIDI KUBISHA WAKIDHANI HISTORIA YA ZANZIBAR IMEANZA MIAKA 2OO ILIYOPITA JUST GO BACK
 
Kumbe hata huko ughaibuni kuna viroba? ulivyosoma na ukaamini sasa hiyo historia usiweke humu sema wenye historia wakupatie ili ujifunze kama mwafrika na sio kama mzungu na upende details kama wamerekani wanavyojinasibu?

Kwani Kongo ni wamanyema tu? ndio maana wao wanasoma vitu vya ukweli nyie wanawatia ujinga hata mkirudi bongo mnakuwa hamna msaada sio kwa nchi bali hata familia zenu zinazoungaunga ili msome uko ng'ambo.

WEWE HUELEWI UNACHOSEMA. VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU UNACHOBISHA NI NINI? FANYA UTAFITI UTAGUNDUA KUWA KISIWA DUNIANI WATU WALIHAMIA NA ZANZIBAR NI KISIWA KAMA VISIWA VINGINE USIWE MVIVU WA KUFIKIRI.
 
NAHISI UNA TATIZO LA UELEWA WA HISTORIA
HISTORIA INASEMA WAZI KUWA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA SASA NAOMBA UNIJIBU ZANZIBAR NI KISIWA AU SIYO KISIWA? TUNAPOONGOLEA HISTORIA TUNAMAANISHA VIZAZI VINGI VILIVYOPITA ILA WEWE UNAKURUPUKA NA KUANZA KUKASHIFU TU KWAMBA HATA TUKIRUDI HATUSAIDII NCHI WALA FAMILIA ZETU. WHY ARE TALKING ALL THOSE NONSENSE? THE HISTORY GOES BACK TO THE REIGN OF EGYPT EMPEROR, PERSIAN EMPEROR,BABYLONIAN EMPEROR UP TO THE ROMAN EMPEROR LAKINI UNAJITOKEZA TU UKIDHANI TUNAONGELEA HISTORIA YA DARASA LA SABA
PLEASE DON'T COMMENT IF YOU DON'T HAVE ENOUGH DETAILS
 
....waeleweshe wazungu wanaokufundisha, na tumia akili ya kawaida kujua kuwa zanzibar ni kipande cha mama afrika....na kulikuwa na maisha ktk zanzibar kabla ya kuja wageni wa kila aina na ghilba zao za kikoloni...!zanzibar ni sehem ya historia ya mtu mweusi...na historia ya ukoloni, na ghilba na ghilba zake...

MAREKANI HAKUNA WAZUNGU KUNA AMERICANS WAZUNGU WAPO ULAYA....
WANAFUNDISHA VIZURI SANA ILA WEWE NDIO UNASHINDWA KUELEWA NILICHOKISEMA NILISEMA ZANZIBAR WATU WOTE NI WAGENI.
ANGALIA HISTORIA VIZURI....INAELEZA WAZI KWAMBA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA
YOU CAN JUST GOOGLE THE HISTORY OF ISLANDS HII INATOSHA KUKUONDOLEA UBISHI WA KUKURUPUKA
 
Hakuna visiwa duniani ambavyo vina wenyewe, vyote vina wahamiaji ambao walitoka nchi kavu kuvifuata. Zanzibar kuna wamanyema, wangoni, wayao, wandengereko na watu wa makabila mengi ya mwambao ambao wamechanganya damu na waarabu. Kwa asili binadamu anacho kiburi, wale wanaojiita sisi hufanya hivyo kwa sababu ya kiburi lakini ukweli wanaufahamu fika kuwa visiwa vyote vilifuatwa na watu.
 
FATILIA HISTORIA VIZURI HAKUNA KISIWA CHOCHOTE DUNIANI KILICHOKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA
EBU NIAMBIE MWAKA 1700 NI KABILA LIPI LILIKUWA LINAISHI ZANZIBAR MAANA WATU WANAJITAHIDI KUBISHA WAKIDHANI HISTORIA YA ZANZIBAR IMEANZA MIAKA 2OO ILIYOPITA JUST GO BACK

Kwa kifupi nitakwambia kuwa wenyeji wa zanzibar ni makabila yanayoishi pembezoni mwa pwani ya Afrika mashariki,Zanzibar ni visiwa viwili yaani Unguja na Pemba,kuna "research" iliyofanywa na machuoni wa Daresalam University,iiliyokuwa na "Conclution" kuwa wenyeji wazanzibar walikuwa wamendelea sana kimaarifa kuliko wenzao wa Bara hapa naongela katika nyakati za "stone age" sio miaka 1700

Sasa Kisiwa cha Unguja wenyeji wake ni watu wa makabila kama wazaramo,Wadigo,Wasegeju,Wagunya nk,Ukenda Pemba wenyeji wake wengi makabila yakutoka Tanga kule kuna wazigua,wadigo,wasegeju,wagunya,wasomali nk

Sasa watu hao ambao wengi wao ni wavuvi walikuwa wanalala "Dago" kwenye hivi visiwa,waliendelea hivyo mpaka wengine wakaanza kufanya maakazi kabisa katika hivi visiwa.

Je Unajua kuwa maji yakikupwa ukikaa zanzibar mjini unaweza kuuona mji wa Bagamoyo,je unajua kuwa inachukua saa moja tu kutoka Bagamoyo mpaka ras shangani Zanzibar kwa ngarawa inayotumia tanga, kama upepo wa matalai uko mzuri,Je unajua kuwa inachukua saa moja na nusu kutoka Pangani Tanga mpaka kufika Pemba...

Je unajua wakati Nyerere na Karume wanaunganisha nchi na kuunda muungano wao wa kisiasa Zanzibar "population" ilikuwa laki tatu tu hiyo ilkuwa 1964

kaka huu ni wakati wa information technology(IT) ingia katika google utapata habari zote,,,,,acha kukurupuka kuandika vitu huvijui

kama umesoma na kufahamu utaona kuwa katika hivi visiwa walikuwa wanaishi watu tangu enzi za "Stone age",vile hakuna masafa makubwa kutoka mrima(bara) mpaka kufika katika hivi visiwa kwahiyo watu waliweza kusafiri bila matatizo.

Kama nitapata wakati nitakujuzu kwanini kisiwa cha Pemba kukawa na mashombe wengi kuliko Unguja,vile vile nitakufahamisha kuwa Waswahili ni kabila,tafakari
 
NAHISI UNA TATIZO LA UELEWA WA HISTORIA
HISTORIA INASEMA WAZI KUWA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA SASA NAOMBA UNIJIBU ZANZIBAR NI KISIWA AU SIYO KISIWA? TUNAPOONGOLEA HISTORIA TUNAMAANISHA VIZAZI VINGI VILIVYOPITA ILA WEWE UNAKURUPUKA NA KUANZA KUKASHIFU TU KWAMBA HATA TUKIRUDI HATUSAIDII NCHI WALA FAMILIA ZETU. WHY ARE TALKING ALL THOSE NONSENSE? THE HISTORY GOES BACK TO THE REIGN OF EGYPT EMPEROR, PERSIAN EMPEROR,BABYLONIAN EMPEROR UP TO THE ROMAN EMPEROR LAKINI UNAJITOKEZA TU UKIDHANI TUNAONGELEA HISTORIA YA DARASA LA SABA
PLEASE DON'T COMMENT IF YOU DON'T HAVE ENOUGH DETAILS
Hivi wewe unaongelea historia gani? Maana umeng'ang'ania tu historia inasema! historia inasema! Hivi unashindwa nini kutuwekea maelezo yaliyoshiba yenye vyanzo na ushahidi wa kutosha ili tujiridhishe na hiyo historia yako ya kizungu uliyoipata huko chuoni? Kinyume chake huna ulijualo!
 
NAHISI UNA TATIZO LA UELEWA WA HISTORIA
HISTORIA INASEMA WAZI KUWA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA SASA NAOMBA UNIJIBU ZANZIBAR NI KISIWA AU SIYO KISIWA? TUNAPOONGOLEA HISTORIA TUNAMAANISHA VIZAZI VINGI VILIVYOPITA ILA WEWE UNAKURUPUKA NA KUANZA KUKASHIFU TU KWAMBA HATA TUKIRUDI HATUSAIDII NCHI WALA FAMILIA ZETU. WHY ARE TALKING ALL THOSE NONSENSE? THE HISTORY GOES BACK TO THE REIGN OF EGYPT EMPEROR, PERSIAN EMPEROR,BABYLONIAN EMPEROR UP TO THE ROMAN EMPEROR LAKINI UNAJITOKEZA TU UKIDHANI TUNAONGELEA HISTORIA YA DARASA LA SABA
PLEASE DON'T COMMENT IF YOU DON'T HAVE ENOUGH DETAILS

How can I comment details in the post isiyo na details and conclusive like that. Ukisema ni wamanyema tu then kukuuliza waliotoka kongo ni manyema tu! uwelewa unasema kisiwa basi kinafikika na watu wote kuanzia wamatumbi mpaka wamasai. Ukisema umepata data kutoka illionois kuhusu Zanzibar lazima tuulize sababu tunajua Zaidi kuliko ulichokisoma huko ughaibuni na kwanini upate taabu na gharama kubwa wakati hiyo elimu hapa iko kubwa Zaidi. Yaani waliochangia tu wanaonyesha Kwamba wako deep kuliko aloanzisha thread. Hujakashifiwa humu ndio mahali pekee we dare to talk openly. Hakuna historia ya Darasa la saba ni ile uliyotoa kutoka katika Library ya ughaibuni kwani mimi tu ndio nimekujibu. Tulia chini mwagika kwa kiwango cha huko ulipo sio unatafuta huruma.
 
Mwarabu Zanzibar alitangulia kufika mapema japo na mzungu alifika ndiyo maana kuna kanisa la zamani sana lilijengwa kabla hata misikiti haijajengwa, wazungu hawakukaa sana na walishindwa kueneza ukiristo kutokana na kulemewa na idadi kubwa ya Waarabu na watumwa ambao na wao walisilimishwa mapema pindi wakikamatwa utumwani, walipelekwa Zanzibar tayari wakiwa waislam hivyo ikawa vigumu Dini zingine kuenea Zanzibar. Kwa kifupi Zanzibar haina mwenyewe wote ni wahamiaji tu, Ndiyo maana Tanganyika imewatawala miaka yote na kila jambo huamuliwa toka Tanganyika mpaka sasa Dr shein anatawala kwa nguvu za Rais wa Tanganyika, hata mishahara posho na pesa za kuendesha Serikali ya Zanzibar hutoka Hazina Dsm.

Kuhusu KANISA kuwa la kwanza kujengwa zanzibar hii sio kweli na hata nukta ya ukweli haina.

Nenda Kizimkazi utaukuta msikiti wa kwanza kabisa ambao umejengwa 1107 AD wakati kanisa la kwanza Zanzibar la mkunazini limejengwa 1873 AD, hili kanisa ni lakianglikana.
 
hivi neno 'Zanzibar' maana yake nini?..

nani alitoa hili jina?..

halafu hili suala la kusema visiwa havina wenyewe lisichukuliwe kama ndiyo kinga ya kutoshughulisha akili kutafuta wenye asili ya sehemu fulani...Mungu aliumba ardhi/dunia kabla ya kuumbwa binadamu..hii ni maana ya kuwa sote ni wahamiaji katika uso wa dunia..tukatawanyika kila sehemu..

....

Je 'walioivumbua' Zanzibar walikuta miti tu?
 
Kaka angalia vizuri hiyo Historia ya hapo chuoni kwenu,kwanza nataka uamini kuwa wazungu wame -"manipulate",historia nyingi tu sio ya Zanzibar tu bali ya Dunia nzima,mfano angalia historia ya Pharaoh wa Egypt umeshawahili kuona
Pharaoh huyo au hao kuwa na Portrait ya mtu mweusi..

Kuhusu historia ya Zanzibar tulivyoambiwa na mabibi na mababu zetu, simulizi zinasema kuwa Warabu wa Oman waliitwa na wenyweji wa Zanzibar,sababu ya wenyeji kuwaita Warabu ilikuwa wanataka msaada wawaondoe Wareno ambao walikuwa wanawatesa wenyeji,lakini sababu kubwa ilikuwa ni tafauti za dini.

Warabu wakisaidiana na wenyeji walifanikiwa kumuondoa Mreno,baada ya muda kupitaya Wenyeji na Warabu wa Oman walikubaliana kuwa bora warabu wa Oman waweke utawala wao mdogo pale Zanzibar,yaani kulikuwa na tawala mbili za kisultani moja ilikuwa Oman na moja Ilikuwapo Zanzibar.

Huo ndio ufupi wa historia ya wanzibari na warabu,Ukianagalia kwa Undani wababu zetu walikuwa na hekima sana walijua kuwa udogo wao hawataweza kupambana na mataifa makubwa lazima wawe na alliance.

Kwahiyo walikuwepo wenyeji kabla ya warabu kuja zanzibar,Je nani mwenyeji wa Zanzibar?Security na uchumi wa Zanzibar ndio ilikuwa lengo la wazanzibar wa wakati huo kuwaita warabu Zanzibar.......,Tafakari

Nikweli waarabu waliitwa na wenyeji wa zanzibar waje wawasaidie kumng'oa mreno ambae aliwatawala wazanzibar kimabavu na mateso makali kwa zaidi ya miaka mia mbili!!

Lakini hii haikuwa mara ya kwanza kwa waarabu kuijua Zanzibar, walishafika kibiashara zaidi ya miaka mingi iliyopita! Pia kumbuka waarabu walishatangulia kutoa kichapo kwa mreno katika nchi nyingi na ndio maana wazanzibar wakashawishika kwenda kuomba msaada kwao
 
Uwe chotara au un-chotara sisi mabwana zenu hatujalia wajibu wetu ni kuakikisha tunawachagulia viongozi tunaowataka sisi. Tulichoamua ni kutompatia chotara nchi ata wazanzibar wakimchagua. Hii dhana tutaindeleza daima hapo ndo mtatujua vizuri wabara.

Mabwana wenyewe wanatafuta wa kuwaowa maana dhiki hadi kwenye matako!!!!

Pia ukumbuke wazanzibar hasa WAPEMBA sio mizigo hivyo kwao kuiondoa dhulma inayoendelea zanzibar ni jambo rahisi mno, nikiasi ya kusubiri muda tu ufike!!! Wazanzibar sio waoga kama watanganyika na hili watawala wanalijua na ndio maana jambo dogo tu linapelekwa jeshi na vifaru zanzibar ili kupambana na watu ambao hata kisu hawana.
 
WEWE HUELEWI UNACHOSEMA. VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU UNACHOBISHA NI NINI? FANYA UTAFITI UTAGUNDUA KUWA KISIWA DUNIANI WATU WALIHAMIA NA ZANZIBAR NI KISIWA KAMA VISIWA VINGINE USIWE MVIVU WA KUFIKIRI.
...lkn tayari kuna uthibitisho wa masalia ya kihistoria: mafuvu yamepatikana zanzibar na uchunguzi wa kisayansi, umeonesha ni ya binaadam alieishi miaka elf3 iliyopita...unasemaje juu ya hilo?
 
NAHISI UNA TATIZO LA UELEWA WA HISTORIA
HISTORIA INASEMA WAZI KUWA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA SASA NAOMBA UNIJIBU ZANZIBAR NI KISIWA AU SIYO KISIWA? TUNAPOONGOLEA HISTORIA TUNAMAANISHA VIZAZI VINGI VILIVYOPITA ILA WEWE UNAKURUPUKA NA KUANZA KUKASHIFU TU KWAMBA HATA TUKIRUDI HATUSAIDII NCHI WALA FAMILIA ZETU. WHY ARE TALKING ALL THOSE NONSENSE? THE HISTORY GOES BACK TO THE REIGN OF EGYPT EMPEROR, PERSIAN EMPEROR,BABYLONIAN EMPEROR UP TO THE ROMAN EMPEROR LAKINI UNAJITOKEZA TU UKIDHANI TUNAONGELEA HISTORIA YA DARASA LA SABA
PLEASE DON'T COMMENT IF YOU DON'T HAVE ENOUGH DETAILS
...hapo pia panaleta swali lingine:historia ya kijiografia inatuambia kuwa awali hata dunia ilikuwa ni bara moja kubwa(pangea): haiwezekani wakati wa kukatika kwa pangea, baadhi ya vipande vya ardhi vilivyokuwa na binaadam vilimegeka na watu wake, na hivyo hoja ya watu wote wa visiwani ulimwenguni kote ni wahamiaji ktk visiwa hivyo, kuzidiwa uzito na ukweli mwingine tofauti?
 
MAREKANI HAKUNA WAZUNGU KUNA AMERICANS WAZUNGU WAPO ULAYA....
WANAFUNDISHA VIZURI SANA ILA WEWE NDIO UNASHINDWA KUELEWA NILICHOKISEMA NILISEMA ZANZIBAR WATU WOTE NI WAGENI.
ANGALIA HISTORIA VIZURI....INAELEZA WAZI KWAMBA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA
YOU CAN JUST GOOGLE THE HISTORY OF ISLANDS HII INATOSHA KUKUONDOLEA UBISHI WA KUKURUPUKA
....labda niweke hivi,mwenyeji haswa,alepokea wengine ni nani? Alitokea wapi?sbb ugeni na uhamiaji ambao unaonekana umeusoma ni ule wa kiwango cha zama za mitume(ra),ambao ktk maeneo ya nje ya mashariki ya kati ni vigumu kupata ukweli wa asili ktk maeneo kutokana na uharibifu,na ghilba za kihistoria zilizofanywa na wakoloni zikilenga kujihalalisha kuwa nao ni wa asili ya hapo
 
Zanzibar ilitawaliwa na wengi wakiwamo wale waportugese mnawakumbuka wale....!!? Kina vasco da gama..., pani yote kuanzia ports za kenya juu kule mpaka beira uku..... For some long time akaja mwarabu na jeeshi hasa kumfurusha uyu mdhungu....!
Hawa wote ni wakoloni kwa mtu mweusi.... Zanj . Wakoloni ni wakoloni tu... Waarabu, wazungu any body akimtawala mwingine kimabavu ni mkoloni tu....

Wamarekani walifanya biashara tangu zamani sana na waarabu wa zanzibar . Tawala za kiarabu waarabu wakitokea ungereza kule... Wana kijiusilamu cha asili tu but brutal to black people.....
Nichukue fursa hii kuchukia brutality kwa mtu mweusi japo mtaita ubaguzi ila tuseme ukweli nani sio mbaguzi???? Mzungu? Muhindi??? Mchina???? Mwarabu....???

Brutality na segregation za kizungu ndo hatari zaidi ya zote
 
Hakuna visiwa duniani ambavyo vina wenyewe, vyote vina wahamiaji ambao walitoka nchi kavu kuvifuata. Zanzibar kuna wamanyema, wangoni, wayao, wandengereko na watu wa makabila mengi ya mwambao ambao wamechanganya damu na waarabu. Kwa asili binadamu anacho kiburi, wale wanaojiita sisi hufanya hivyo kwa sababu ya kiburi lakini ukweli wanaufahamu fika kuwa visiwa vyote vilifuatwa na watu.
....kwa hoja yako basi si visiwani tu walihamia...jamii ya wabantu, kush,nilotiki,na waongeaji wa kinguni(nguni speakers)...hao wote asili yao ni kituo kimoja katika sehemu fulani yatu afrika, na kwa kutokea hapo wakasambaa....nani anabakia kuwa mwenyeji wa asili, mfano ktk nchi kama kenya...au bagamoyo?
 
Back
Top Bottom