Wazanzibar wote ni wageni

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;

Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.

Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.

Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
 
kuna Wazanzibari ambao asili yao ni kutoka Kenya,Ushelisheli n.k.
ukisoma makaratasi fanya na utafiti.
 
Kuna wamakonde nao wapo kwenye historia ya Zanzibar utafiti niliofanya Zanzibar ni ya watanzania haina mtu maalum...
 
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.

Pasco
 
pasco unanikumbusho yule Waziri wa elimu somebody Mulongo au Mulugo
 
Last edited:
paso unanikumbusho yule Waziri wa elimu somebody Mulongo au Mulugo

DON'T READ WITHOUT MEDITATING THE TOPIC AND START COMMENTING
YOU SHOULD GET THE IDEA OF THE WRITER FIRST AND THEN COMMENT.THE HEADING INASEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI
UNABISHA THEN UNAKUBALI KWANI UNAPOSEMA WANGAZIJA UNAMAANISHA SIYO WAGENI BALI NDIO WENYEJI WA ZANZABAR? JUST GO DEEPER AND DEEPER
 
Sio lazima uchangie kila thread hata kama hujui unachochangia!.
Asante kwa ushauri next time nikitaka kuchangia nitakuja kwako kwa ushauri na ruhusa 1452879219483.jpg
 
DON'T READ WITHOUT MEDITATING THE TOPIC AND START COMMENTING
YOU SHOULD GET THE IDEA OF THE WRITER FIRST AND THEN COMMENT.THE HEADING INASEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI
UNABISHA THEN UNAKUBALI KWANI UNAPOSEMA WANGAZIJA UNAMAANISHA SIYO WAGENI BALI NDIO WENYEJI WA ZANZABAR? JUST GO DEEPER AND DEEPER
Ndugu naomba niongee kwa kiswahili, nimemjibu pasco kutokana na kile alichoandika...!!! Usikurupuke...! Soma alichoandika Pasco
 
Last edited:
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.

Pasco
Ndo maana nilikataa kupeleka mtoto hicho chuo
 
Waarabu walikuja ktk visiwa vya zanzibar kibiashara tu na waliwakuta wenye ji ambao ni hao waliyotajwa. ...ndiyo Waarabu wakawa na mahusiano na wanawake wa kiafrika ndiyo wakazaliwa machotara!
Wakati ule Waarabu hawakuja kutawala walikuja kibiashara

Ovaaaa
 
Kuna bango niliona siku ya maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar,Kuna ujumbe mkubwa sana nje ya dhana ya ubaguzi
 
usitubabaishe wewe. kwani historia ya zanzibar ndio unaijua wewe tu? waliokuja kwa biashata ya watumwa walishatimliwa 1964.
 
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.

Pasco
Wahadimu unawajuwa wewe Pasco au umekuwa kasuku? Wewe unajuwa nini katika historia zaidi ya ukasuku wa waliondika misionari? Kama Fiji asili yake ni ya wakazi wakimbizi walowezi kutoka Rufiji je nayo iwe ni eneo ns mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Waarabu walikuja ktk visiwa vya zanzibar kibiashara tu na waliwakuta wenye ji ambao ni hao waliyotajwa. ...ndiyo Waarabu wakawa na mahusiano na wanawake wa kiafrika ndiyo wakazaliwa machotara!
Wakati ule Waarabu hawakuja kutawala walikuja kibiashara

Ovaaaa
Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.

Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
 
Back
Top Bottom