Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
Hizo za Waganda... Tunazungumzia watanganyika na wazanzbar.Haya na hizo mkatae
Hizo za Waganda... Tunazungumzia watanganyika na wazanzbar.Haya na hizo mkatae
Hata baba yake Karume, rais wa kwanza wa Zbar anatoka Malawikuna Wazanzibari ambao asili yao ni kutoka Kenya,Ushelisheli n.k.
ukisoma makaratasi fanya na utafiti.
Hata baba yake Karume, rais wa kwanza wa Zbar anatoka Malawi
nafikiri jamaa alimaanisha HAWAKUJA kutawala na si HAWAJUI kutawala...hebu msome tena comment yake...Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.
Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
Inaonekana umeiva sana historia...Kwa kua jina Tanganyika lilikua rasmi mwaka 1920...Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.
Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
mulugopasco unanikumbusho yule Waziri wa elimu somebody Mulongo au Mulugo
...karume junior hakuwa chotara?Uwe chotara au un-chotara sisi mabwana zenu hatujalia wajibu wetu ni kuakikisha tunawachagulia viongozi tunaowataka sisi. Tulichoamua ni kutompatia chotara nchi ata wazanzibar wakimchagua. Hii dhana tutaindeleza daima hapo ndo mtatujua vizuri wabara.
.......nahofu umembebesha mzigo mzito mno!Inaonekana umeiva sana historia...Kwa kua jina Tanganyika lilikua rasmi mwaka 1920...
naomba utusaidie kujua jina Zanzibar lilikua rasmi lini?...
maana yake nini?...
na kabla ya hapo iliitwaje?
majibu hayo yanaweza kutusaidia kujua wenye mji hasa ni akina nani..
Tafadhali.
...nikijiuliza pia kamanda!Za
Zanzibar iliporwa wapi hapo ambapo palikuwa himaya yake?
Namaanisha chotara wa CUF...karume junior hakuwa chotara?
...vema...! na kabla ya waarabu kufika zanzibar na kuwakusanya watu wengi kutoka mataifa mbali mbali kama unavyosema, hakukuwa na watu wakiishi unguja?Waarabu walikusanya watu wengi toka mataifa mbalimbali hususani yale ambayo yapo karibu na kigoma na Tabora ndiyo maana kule Zanzibar kuna watu weusi tena kuliko wanubi wa Sudan kusini, kuna mseto mkubwa sana wa watu lakini idadi kubwa ya wahamiaji wa Zanzibar walitoka kigoma na Tabora ndiyo maana hadi leo wageni wengi huitwa Wanyamwezi.
ok!...hiyo kitu kuna dalili ikawa ni kweli....lkn pia wanasema ( maneno tunayasikia), kuwa kuna njama zanzibar isitawaliwe na mzanzibar wa kutoka pemba, ila tu labda kwa kuridhiwa na "wanasiasa waandamizi" wa unguja...!Namaanisha chotara wa CUF
...ikishaingia hoja ya uhamiaji wa waarabu, na wengine wa aina hiyo, lazima tuzingatie kweli kuwa zanzibar ya afrika, ni sehemu ya asili ya waafrika...! waarabu, wahindi, wazungu na wengine wa aina yao wana ardhi ya asili zao ktk dunia...muhindi yeye ni sehemu yeyote ktk south asia, na muarabu tunaokaa nao kindugu mitaani, wao ni ktk arabian peninsula.. wao ni kizazi cha wahamiaji, na waafrika weusi ( bila kujali kama ni wa civilization ya kibantu, kikushi, kinilotiki) ni kizazi cha wenyeji...!...ni jambo la kujivunia kama kuna kujitambua na kuishi kwa kuheshimiana na kuaminiana kama ilivyo kwa kiasi kikuba sasa, ukiacha fitna za siasa, na za kidini(ambazo msingi wake-hizo za kidini-ni kutokuwepo kwa ucha mungu)...Hakuna watu wenye asili ya visiwa..wote huhamia kwenye visiwa kutoka maeneo yao ya asili.... hao watumbatu wako na wahadimu walikua wahamiaji tu kama walivyokuwa waarabu...labda hoja iwe nani kaanza kuhamia na sio eti fulani ni asili yake na sio fulani! .. hakuna kitu kama hicho visiwani!
.......asante sana mkuu!...ni mawazo ya kuhalalisha ukoloni kutoka kwa wenye mapenzi na waliokua wakoloni wa zanzibar..!Idara ya mambo ya kale UDSM ilifanya uchunguzi Zanzibar na kugundua mafuvu ya watu wa kale Sana kwenye mapango
Mafuvu hayo yalipimwa Marekani na kuonyesha Ni ya miaka zaidi ya elfu tatu iliyopita.
Hi Ina maana kulikuwepo watu kabla ya hawa wanaojiita wa Zanzibari wa sasa
Inasadikiwa walifika na hawa kima wekundu wa Zeni
Source: utalii wa ndani Chanel ten (archives)
Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.