Wazanzibar wote ni wageni

Wazanzibar wote ni wageni

Za
Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.

Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
Zanzibar iliporwa wapi hapo ambapo palikuwa himaya yake?
 
kuna Wazanzibari ambao asili yao ni kutoka Kenya,Ushelisheli n.k.
ukisoma makaratasi fanya na utafiti.
Waarabu walikusanya watu wengi toka mataifa mbalimbali hususani yale ambayo yapo karibu na kigoma na Tabora ndiyo maana kule Zanzibar kuna watu weusi tena kuliko wanubi wa Sudan kusini, kuna mseto mkubwa sana wa watu lakini idadi kubwa ya wahamiaji wa Zanzibar walitoka kigoma na Tabora ndiyo maana hadi leo wageni wengi huitwa Wanyamwezi.
 
usitubabaishe wewe. kwani historia ya zanzibar ndio unaijua wewe tu? waliokuja kwa biashata ya watumwa walishatimliwa 1964.
Wakabaki wageni yaani watumwa toka Tanganyika ambao sasa hujiita wazawa wa Zanzibar.
 
Mkuu hebu kabla hujatunyooshea vidole wazanzibari kosha mikono kwanza na ujitazame wewe mwenyewe,hivi unaijua historia ya tanganyika wewe,hivi unajua kwanini watanganyika wengi sana hawapendi kuitwa watanganyika na sio kama hawapendi kwa sababu jina tanganyika ni baya, ila haimo kwenye nyoyo zao kuwa wao ni watanganika,sababu ni kuwa hakuna kitu tanganyika na hakuna watanganyika halisi, watanganyika wa sasa ni watu wa congo na central africa ambao wengi walikuja kwenye mwambao wa bahari kwa baisha ya utumwa na wengine walikuja kujitafutia kazi baada ya biashara ya utumwa kusitishwa 1833, 1900 ndio watu wa central africa na congo walianza kukimbilia mwambao wa africa ndio hao baadhi wamekuja hapa zanzibar na kuchanganya na warabu na wengine wakaishia tanganyika hapo.

kabla ya hizo tarehe za utumwa ma migration zanzibar haikuwa na sura za waafica wengi lakini bado ilikuwa zanzibar na tanganyika ilikua haipo kabisa

Umeandika vizuri ila nadhani kuna kitu labda umekisahau. Tanganyika ina watu wa asili tofauti kama wabantu, Nilotes, Cushites etc. Labda kama uliimanisha historia ya wabantu ila kama uliimanisha na hao wengine itabidi urudie makabrasha yako kidogo.
 
Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;

Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.

Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.

Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
....waeleweshe wazungu wanaokufundisha, na tumia akili ya kawaida kujua kuwa zanzibar ni kipande cha mama afrika....na kulikuwa na maisha ktk zanzibar kabla ya kuja wageni wa kila aina na ghilba zao za kikoloni...!zanzibar ni sehem ya historia ya mtu mweusi...na historia ya ukoloni, na ghilba na ghilba zake...
 
DON'T READ WITHOUT MEDITATING THE TOPIC AND START COMMENTING
YOU SHOULD GET THE IDEA OF THE WRITER FIRST AND THEN COMMENT.THE HEADING INASEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI
UNABISHA THEN UNAKUBALI KWANI UNAPOSEMA WANGAZIJA UNAMAANISHA SIYO WAGENI BALI NDIO WENYEJI WA ZANZABAR? JUST GO DEEPER AND DEEPER
....idea ya mwandishi, na aliemfundisha huyo mwandishi si sahihi.....hapo kinachoogopa kusemwa ni kwamba wakoloni hawakukuta mwenyeji....! Na kwa nini haisemwi juu ya comoro, au mafia?...hoja ya kizushi ya namna ilikataliwa kihoja, kuanzia kwa christopher Columbus na uzushi wake ktk jamaica...historia ni jambo moja lkn kucheza na historia mtu mweusi, ni upuuzi usiokubalika
 
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.

Pasco
Du! Umekurupuka -angalia timeline yako utakuja kujua paka watu waegawanyika kuwa wahadimu,wangazija ,watumbatu na vikabila vingine wahamiaji walikuwa wame-settle muda mrefu .Zanzibar ni kisiwa kwa hiyo unataka kutuambia hao watu walikuwepo huko toka enzi za plate tectonics ?
 
Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.

Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
...kaka, katiba ya mwanzo unayoizungumzia,iliandikwa na waislam....! Na uislam si uarabu, ingawa sehemu kubwa ya waarabu ni waislam...
 
Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;

Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.

Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.

Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
Mmmhh!! Hili jipya,kumbe Shein ni mkongo😕
 
Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.

Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
well done
 
Du! Umekurupuka -angalia timeline yako utakuja kujua paka watu waegawanyika kuwa wahadimu,wangazija ,watumbatu na vikabila vingine wahamiaji walikuwa wame-settle muda mrefu .Zanzibar ni kisiwa kwa hiyo unataka kutuambia hao watu walikuwepo huko toka enzi za plate tectonics ?
.....labda ieleweke tu kuwa zanzibar ni kipande cha afrika, na ktk mazingira ya wakati ule mtu mweusi kufika zanzibar alikuwa bado ndani ya mipaka ya ardhi ya nyumbani kwao(mama afrika)...haya yanayoendelea sasa zaidi ni athari na ghilba za wakoloni na wale wote ambao nafsi zinatambua kuwa kwa asili wao wana kwao, mbali na nje kabisa ya afrika!
 
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.

Pasco

Hakuna watu wenye asili ya visiwa..wote huhamia kwenye visiwa kutoka maeneo yao ya asili.... hao watumbatu wako na wahadimu walikua wahamiaji tu kama walivyokuwa waarabu...labda hoja iwe nani kaanza kuhamia na sio eti fulani ni asili yake na sio fulani! .. hakuna kitu kama hicho visiwani!
 
Haya na hizo mkatae
 
Attachments

  • 1452930242884.jpg
    1452930242884.jpg
    25.2 KB · Views: 46
  • 1452930260705.jpg
    1452930260705.jpg
    32.3 KB · Views: 52
Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;

Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.

Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.

Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.

Kumbe hata huko ughaibuni kuna viroba? ulivyosoma na ukaamini sasa hiyo historia usiweke humu sema wenye historia wakupatie ili ujifunze kama mwafrika na sio kama mzungu na upende details kama wamerekani wanavyojinasibu?

Kwani Kongo ni wamanyema tu? ndio maana wao wanasoma vitu vya ukweli nyie wanawatia ujinga hata mkirudi bongo mnakuwa hamna msaada sio kwa nchi bali hata familia zenu zinazoungaunga ili msome uko ng'ambo.
 
Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;

Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.

Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.

Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
Kaka angalia vizuri hiyo Historia ya hapo chuoni kwenu,kwanza nataka uamini kuwa wazungu wame -"manipulate",historia nyingi tu sio ya Zanzibar tu bali ya Dunia nzima,mfano angalia historia ya Pharaoh wa Egypt umeshawahili kuona
Pharaoh huyo au hao kuwa na Portrait ya mtu mweusi..

Kuhusu historia ya Zanzibar tulivyoambiwa na mabibi na mababu zetu, simulizi zinasema kuwa Warabu wa Oman waliitwa na wenyweji wa Zanzibar,sababu ya wenyeji kuwaita Warabu ilikuwa wanataka msaada wawaondoe Wareno ambao walikuwa wanawatesa wenyeji,lakini sababu kubwa ilikuwa ni tafauti za dini.

Warabu wakisaidiana na wenyeji walifanikiwa kumuondoa Mreno,baada ya muda kupitaya Wenyeji na Warabu wa Oman walikubaliana kuwa bora warabu wa Oman waweke utawala wao mdogo pale Zanzibar,yaani kulikuwa na tawala mbili za kisultani moja ilikuwa Oman na moja Ilikuwapo Zanzibar.

Huo ndio ufupi wa historia ya wanzibari na warabu,Ukianagalia kwa Undani wababu zetu walikuwa na hekima sana walijua kuwa udogo wao hawataweza kupambana na mataifa makubwa lazima wawe na alliance.

Kwahiyo walikuwepo wenyeji kabla ya warabu kuja zanzibar,Je nani mwenyeji wa Zanzibar?Security na uchumi wa Zanzibar ndio ilikuwa lengo la wazanzibar wa wakati huo kuwaita warabu Zanzibar.......,Tafakari
 
Kwa style hii Kiswahili hakitakua milele bali kiswanglish ndicho kitakua zaidi. Ni kweli Zanzibar kila mmoja ni mgeni pale hususani Unguja ambapo kuna wangazija wengi ambao Asili yao ni comoro na kuna wanamwezi wengi ambao asili yao ni Tabora kuna mchanganyiko wa makabila mengi kutokana na Utumwa wa kiaarabu kukusanya watumwa wengi kigoma na Tabora na mikoa mingine kuja nao hadi Bagamoyo wakaletwa Zanzibar huku wengine wakipelekwa sehemu zingine Duniani. Kuna waarabu wachache pemba ambao walitangulia kufika toka Oman na hawa ndiyo walitumika kusambaza Dini ya kiislam na me la na desturi za kiaraabu kwa watumwa wote waliotoka bara Congo, Burundi nk.

Kuna kitu mnakiruka hapa sio kusambaza dini tu bali na kizazi wenzetu wengi ni machotara pia.
 
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.

Pasco

Ameangalia historia iliyoko iliyoko chuoni kwao Ilinois Marekani.. Yaani Mtaanzania anatafuta historia ya Tanzania huko marekani alafu
anakuja kutufundisha huku Tanzania
 
Hakuna watu wenye asili ya visiwa..wote huhamia kwenye visiwa kutoka maeneo yao ya asili.... hao watumbatu wako na wahadimu walikua wahamiaji tu kama walivyokuwa waarabu...labda hoja iwe nani kaanza kuhamia na sio eti fulani ni asili yake na sio fulani! .. hakuna kitu kama hicho visiwani!
Sasa hao si waganda.... Tunataka za wazanzbari na watanganyika... Weka Kama unazo.
 
Back
Top Bottom