Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Aisee wale wakwenda Mayyote mmefikia wapi natafuta marafiki wa Mayyote ili nipate hata mualiko naona no wagumu kichizi, vipi Kuna watu tuliahid kwenda huko kisiwani Cha ufaransa kilicho Africa Yan karibu kabisa na mtwara vepee
Mkuu kuna watu wawili nilifanikiwa kuongea nao huwa wanaenda mara Kwa mara. Kwa sasa si rahisi kuingia kizembe kama unaenda Kwa njia za ujanja, usafiri wa maji inabidi uwe na timing ya kucheza na gepu na utoe chochote kitu kuvushwa salama.

Kama upo vizuri ukienda Kwa ndege baadhi ya usumbufu unapungua.
 
Mkuu kuna watu wawili nilifanikiwa kuongea nao huwa wanaenda mara Kwa mara. Kwa sasa si rahisi kuingia kizembe kama unaenda Kwa njia za ujanja, usafiri wa maji inabidi uwe na timing ya kucheza na gepu na utoe chochote kitu kuvushwa salama.

Kama upo vizuri ukienda Kwa ndege baadhi ya usumbufu unapungua.
Hamna kitu siwezi kucheza nacho Kama maji japo nishasafiri kutoka Mwanza to Nansio-ukerewe to Ukara Yan kisiwa juu ya kisia balaa lake lililokuwepo japo unapoenda unapaona pale siwezi Risk ya Mayotte Bora kwenda kwa njia halali mzee hizi shorkcut haxina maana ebu FIKIRIA ile fingerprint ya nida unadhani n ya maana gani saiz ukiweja likidole tuu kila kitu kinasoma ndo hapo Sasa utajua kwann maji yanaitwa mma
 
Alitolewa korodani moja, so kwasasa kaoa ana watoto wawili. Binadamu anaweza endelea zalisha mbegu hata akiwa na korodani moja.
Kukosa korodani 1 sio issue! Uwezo wa yai 1 tu korodani moja linaweza jaza TZ na Kenya n.k

Mungu fundi...
 
Mkuu story zake zinatisha mfano jamaa kuna kipindi alikuwa stuck kwenye jangwa la Kufra. Hana pesa, hana chakula hana pa kulala. Anakwambia hilo eneo hadi nzi ni masikini wa kutupa wanategemea waje wafyonze maji maji kwenye macho ya binadamu iliku survive
Aisee.... yani maisha ni magumu hadi kwa nzi
 
Aisee.... yani maisha ni magumu hadi kwa nzi
Ndiyo jamaa hadi nusura afe hapo baada ya kung'ata na desert scorpion, akapona baada ya kutubiwa na bibi anaishi eneo hilo.
Akakutana na jamaa mwingine naye mzamiaji wakapata kazi ya kutapisha choo kwa pesa ndogo sana.
Eti akili ikawatuma wachimbe shimo pembeni halafu watoboe tundo toka shimo walilochimba mpaka shimo la choo, kitu kihamie shimo jipya.
Wakafanya hivyo na wakagundua kutokana na joto la pale choo kimegada kama ugali hakiwezi kuhama.
Ikabidi tu wachukue ndoo wawe wanachota wanamwaga shimo jipya.
Baada ya hapo jamaa akaugua na kuanza tapika damu, wakawa wanadhai atakufa muda wowote.
 
Ngoja nikazie Uzi wako mkuu,,,,kile kisiwa cha mayote kinahesabika kama upo france territory,ni moja ya mikoa ya France,,wanaongea kiswahili na kifaransa,,na wanatumia euro na wanapata haki sawa na mfaransa aliyeko France,,na hata passport ni ya kifaransa,,,ktk Africa bado kuna visiwa viwili vinavyo milikiwa na ufaransa ambayo ni mayyote na reunion,,,,, vipo visiwa vidogo kidogo vingi ambavyo hadi Leo vinamilikiwa na France,,.huko america ya kusini,,,,na wanahesabu kama mkoa wa France,,, mfano , kuna guyane,,huko America kusini,pia wapo under franch territory hadi sasa,,na wanaongea kifaransa na kutumia euro,,na wanapiga kura kumchaguwa rais wa ufaransa kama wafaransa,,,,na france wakikuwekea ban kufika kwao maana yake hata hizo inchi zilizopo under France territory huruhusiwi kwenda,,,,hivyo visiwa vina fursa sna wakuu,,,halafu wana warembo wazuri sn,,,,kwa wale wanaotaka kujilipua bora wasogee mayyote ambacho kipo karibu na Comoro hapo,,na hyo reunion kinapakana na Madagascar,,, wakuu kazi kwenu...
Tujazie jazie kidogo fursa za hapo na njia mpk kufika
 
Tujazie jazie kidogo fursa za hapo na njia mpk kufika
Mkuu sijafika Mayotte wala reunion.
Ila kote ni French territories na wanatumia euros na inahesabika km sehemu ya ufaransa.

Kuingia ni lazima upite njia za panya au uwe na viza ya ulaya.
 
Mkuu sijafika Mayotte wala reunion.
Ila kote ni French territories na wanatumia euros na inahesabika km sehemu ya ufaransa.

Kuingia ni lazima upite njia za panya au uwe na viza ya ulaya.
Ni viza ipi ya Ulaya rahisi kuipata kwa sasa.?
 
Back
Top Bottom