Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,553
- 21,503
Kwani ninesema hatoi madini , issue ameleta issue za ushoga hadi uzi umeharibika.mwandende mtu poa anatoa madini ya viwanjani. Au we hutaki kwenda Europa
Kwani ninesema hatoi madini , issue ameleta issue za ushoga hadi uzi umeharibika.mwandende mtu poa anatoa madini ya viwanjani. Au we hutaki kwenda Europa
Oky ila mi sijaona comment yake yeyote ya kishoga.Kwani ninesema hatoi madini , issue ameleta issue za ushoga hadi uzi umeharibika.
E bana eeh, kumbe zile coaster zilikuwaga ni mpya zero mileage ???Nakumbuka kitambo kile mabaharia wengi waliwekeza kwenye biashara ya macoster
Kubeba Abiria tena wakati ule coaster inanunuliwa mpyaaa 0 km..... Sasa Soma machata nyuma ya gari
Kile kilichokuwa kinaandikwa ndy walikuwa wanakiwakilisha
Eg.... Time will tell, survival, mv Saratoga, Italy trans, Jimmy to london
R. I. P BOZEN, PERADI, VASCODAGAMA, MGIRIKI MWEUSI
duuh, mjomba, hela ya Turkey inaitwa LIRA.Mkuu Mimi nilikaa kama miezi sita... ,,,pesa yao inaitwa milioni,,,ni strong kama ilivyo dola,,,ukiwa na dola moja,,sawa na milion moja,,,hazipishani sana,,,
Hahahaa! Siwez kujiaminisha 100% kusafiri ugenini mie mschana, anyway mbona watu wengi wanasema watanzania ambao wanaishi UK wana majungu sana??
Kama sijakosea ni Boxingmandonga ndo nn mzee
Passport ipi mkuuSana mkuu,,,,mawazo ya ulaya hayawezi kuwa sawa kama mawazo ukiwa hapa bongo...mbele kwa mbele Baharia.... Passport ndy mpango mzima,,,,
Kama hujui maisha ya ulaya na marekani yana stress na depression za hali ya juu, stress za bongo zikasomeMambele Safi sana manjonjo kama yote hata ukiuwawa unafurahia kaburini mizungu inascream kitaa "black lives matter"
Hapa usengeni misala kama yote, ukikosa ukimwi basi utalogwa, ajira hakuna, no mitaji, depression kama zote!
What the fu.ck!
Mkuu bila passport utakwenda wapi?Baharia lazima uwe stand by muda wowote,,,unatoka....Passport ipi mkuu
Ya kule unapokwenda au ya Tanzania ?
Wewe umeenda kipindi gani?duuh, mjomba, hela ya Turkey inaitwa LIRA.
Pia dola moja ni Lira saba, haziko sawa kwa sawa na haiitwi "milioni."
Umefika kweli Uturuki?
Unahitaji uthibitisho gani?duuh, mjomba, hela ya Turkey inaitwa LIRA.
Pia dola moja ni Lira saba, haziko sawa kwa sawa na haiitwi "milioni."
Umefika kweli Uturuki?
Umeona au umehadithiwa? Tuanzie hapo kwanzaKama hujui maisha ya ulaya na marekani yana stress na depression za hali ya juu, stress za bongo zikasome
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!Umeona au umehadithiwa? Tuanzie hapo kwanza
Heeeeeh mbona majibu tofauti na mada tena,Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Kama sijakuelewaMkuu usipate taabu huko mayyote utazunguka sana .tafuta m4 unamwagika kiwanjani kama kawa.
Kuzamia mbele ilikua raha sana kipindi cha kabla ya 9/11 baada ya hapo maisha yalibadilika sanaEnzi hizo 80% wanafunzi wa secondary tulikua na hizo ndoto nikiwemo! Ile spirit ilikufa rasmi 2003! Sijawahi tamani tena! Dah ukute ningekuwa na uraia mambele huko!😉
aAisee wale wakwenda Mayyote mmefikia wapi natafuta marafiki wa Mayyote ili nipate hata mualiko naona no wagumu kichizi, vipi Kuna watu tuliahid kwenda huko kisiwani Cha ufaransa kilicho Africa Yan karibu kabisa na mtwara vepee