rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,122
- 1,313
Big up sn mkuu kwa kutafuta hadi hapo ulipo una mengi ya kusimulia watoto wako ili nao wajifunze
Yawezekana mkuu,,,wala sikupingi,,,maana siku hizi wazee wa copy na paste ni wengi....anaweza mtu anachukuwa story ya mtu mitandaoni akauvaa uhusika,,akaansisha Uzi sehemu..lakini hicho kisa ni changu,,na sio mara moja kujieleza,,,mkuu Mimi nilishawahi kuishi hata Asia,,, Nina matukio mengi ya kutafuta maisha,,,lakini sipendi kuweka sana mitandaoni kuhofia copy na paste...siku ukieleza mahala kumbe wazee wa paste washapeleka mahali..wengi wanakuwa sio wahusika ni kusikia mambo ya vijiweni au mitandaoni..
