Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,678
- 14,563
Kuna mpaka majahazi kama haogopi, meli ndogo zipo za Mv Azam Comoro, Mv Samara huwa zinapeleka mizigo.Cargo boats
Kuna mpaka majahazi kama haogopi, meli ndogo zipo za Mv Azam Comoro, Mv Samara huwa zinapeleka mizigo.Cargo boats
Mkuu commoro unawsza kufika bila viza? Kutoka bongo ni Tshs ngapi?Kuna mpaka majahazi kama haogopi, meli ndogo zipo za Mv Azam Comoro, Mv Samara huwa zinapeleka mizigo.
Viza freeMkuu commoro unawsza kufika bila viza? Kutoka bongo ni Tshs ngapi?
So ykiwa commor ndio ufanye applications ya visa kuingia Mayyote? Qu unazamia kinyemela?Viza free
Comoro hatuingii na viza..So ykiwa commor ndio ufanye applications ya visa kuingia Mayyote? Qu unazamia kinyemela?
Shukrani mkuuComoro hatuingii na viza..
Kutoka pale ndy utahitaji ufanye sarakasi za kuingia mayote.
Kuna watu wana michongo hiyo pale.
Watoto siku hizi waoga,wamebakia kunyoa viduku na kuvaa skin jeans tuHata kenya mkuu Sahiv milango ipo wazi kabisa, kijana mdogo usiogope kufight, usiku na mchana.
Kenya bizness sio mbaya kajaribu na hapo pia
Ulipngea kwa uchungu sana.. NAJUA upo safarini kwa sasaMambele Safi sana manjonjo kama yote hata ukiuwawa unafurahia kaburini mizungu inascream kitaa "black lives matter"
Hapa usengeni misala kama yote, ukikosa ukimwi basi utalogwa, ajira hakuna, no mitaji, depression kama zote!
What the fu.ck!
Ukijitambulisha kwenye society zenu za gays unakwenda fastaAaaaah kawaida tyuuh hiyoooh, ntapambana nayo kwan namna yoyote niweze kusurvive
Mnataja sana wanasiasa katika kuhalalisha mawazo yenu finyuTangu lini mwenye shibe akamjua mwenye njaa!! Unatunanga mawazo yetu ya kitumwa lakini unasahau hulka za kiafrika chuki, wivu, ubinafsi wa viongozi wetu ndo umetufikisha hapa tulipo!!
Mwafrika akipata anakimbilia kutamba, kutukana na kujionyesha alivyofanikiwa Kama wewe hivyo pasipo kutoa njia kwa maskini wenzio, ndugu zako na waafrika wenzio nao wawe Kama wewe,,
Kila mtu ashinde mechi zake wa kwenda ulaya waende wa kubaki hapa kusifia wanasiasa na wabaki,
Ni upumbavu kivipi?Mnataja sana wanasiasa katika kuhalalisha mawazo yenu finyu
Kwani mwanasiasa ana mchango gani katika kufaulu au kufeli kwako?
Ukweli ni kwamba kuzamia nchi za watu ni upumbavu
Umeona au umeahadithiwa ?Umeona au umehadithiwa? Tuanzie hapo kwanza
Sijafika nchi za watu lakini kwa stori nazosikia ukiwa timamu bora ubaki hukuNi upumbavu kivipi?
Kuna visa vingi vya suicidal nchi za wazungu, kuna visa vingi vya waliodata kufanya mauaji makubwa, kwa wenzetu elimu ya saikolojia ina umuhimu kuliko mainjinia sababu hali ni mbayaKama hujui maisha ya ulaya na marekani yana stress na depression za hali ya juu, stress za bongo zikasome
Ukija states nitafutaKuna visa vingi vya suicidal nchi za wazungu, kuna visa vingi vya waliodata kufanya mauaji makubwa, kwa wenzetu elimu ya saikolojia ina umuhimu kuliko mainjinia sababu hali ni mbaya
Walioshiba ugali wa bongo hawawezi kuelewa
Wanakosa exposure
Mbele natamani kwenda lakini sio kuishi wala kusaka maisha labda niende kutembea
Kwa hiyo story ulizosikia zimekujaza hofu...?Sijafika nchi za watu lakini kwa stori nazosikia ukiwa timamu bora ubaki huku
Bahati mbaya waliofika hawasemi magumu ya huko na wakisema matomaso hawaamini
Imagine unafika hatua unakwama kurudi huku unaona aibu option inayobaki ni uolewe, ufirwe ili ubaki ulaya
Tatizo mkuu unazungumza kama mtu aliyeishi/anaishi huko.!Kuna visa vingi vya suicidal nchi za wazungu, kuna visa vingi vya waliodata kufanya mauaji makubwa, kwa wenzetu elimu ya saikolojia ina umuhimu kuliko mainjinia sababu hali ni mbaya
Walioshiba ugali wa bongo hawawezi kuelewa
Wanakosa exposure
Mbele natamani kwenda lakini sio kuishi wala kusaka maisha labda niende kutembea