Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Fafanua zaidi mkuu kwa faida ya JF
Mkuu safari yeyote lazima uwe na.
1 ---sababu ya safari.
2-- uwezo wa kifedha.
3-- supporting documents zitakazoweka uzito ubalozini kwamba wewe utakwenda safari yako na kurudi na sio mzamiaji.

Mfano kama unakwenda kiofisi/matembezi..
-- lazima uwe na mualiko unakokwenda.
-- bank statement ya kwako binafsi yenye kiasi kikubwa cha pesa kisichopunguwa $10 au zaidi.
-- barua ya ofisini.
-- kitambulisho.
-- insurance ya siku utakazokaa.
--reservation ya hotel.
-- booking ticket two ways..
 
Uemjibu vizuri mkuu...
So kama hauna CONNECTIONS au vitu ulivyo orodhesha hapa njia pekee ni kwenda nchi ambazo zina masharti legezi
 
Uemjibu vizuri mkuu...
So kama hauna CONNECTIONS au vitu ulivyo orodhesha hapa njia pekee ni kwenda nchi ambazo zina masharti legezi
Inchi nyingi mahitaji ya maombi ya viza yanafanana,,
Japokuwa yanatofautiana kidogo kulingana na ugumu wa inchi husika.

Ila zipo balozi zingine sio wafatiliaji wa documents utakazopeleka.

Mfano zipo inchi zingine..
-- wana kaguwa document moja baada ya nyingine .
--kuzifanyia approval, hata bank statement ya account yako,,wata prove kwa kupiga simu bank.

--wata prove booking hotel.

--Wata prove hata mualiko wako.

--Wata kupiga interview.

--- watataka uthibitisho kama kweli hutokimbia.

Watahitaji hati ya Mali isiyohamishika yenye jina lako.

-- cheti cha ndoa kuonyesha una mke na watoto.

Lakini waapo balozi zengine hawashughuliki na hayo mambo ,,mradi documents umeleta hata kama ni fake wao hawakaguwi kivile.

Viza ya matembezi.
Unaweza kuwa na documents fake zote.

Na ukapata viza..

Mradi uweke documents za uwongo na kweli.
Na ziwe zimenyooka.
 
Duuh siyo kazi nyepesi, bila connection inahitajika kupambana sana.
 
Mkuu kuna watu wawili nilifanikiwa kuongea nao huwa wanaenda mara Kwa mara. Kwa sasa si rahisi kuingia kizembe kama unaenda Kwa njia za ujanja, usafiri wa maji inabidi uwe na timing ya kucheza na gepu na utoe chochote kitu kuvushwa salama.

Kama upo vizuri ukienda Kwa ndege baadhi ya usumbufu unapungua.
Kufanya applications kuomba viza ya france , gharama inaweza kuwa kiasi gani Mkuu
 
Kuna mwamba humu alinipaga hiyo idea..yeye ana ndugu kule tena maza! Bas tukajipa 3mths kufind nauli tu ya kuanzia ..si corona ikaja na yake!? Hahhaa...ila mie nikienda ntafata wanangu niishi huko huko aisee! Napanga tu mipango kimya kimya...amua sasa
Usiniache na mimi
 
Mkuu sijafika Mayotte wala reunion.
Ila kote ni French territories na wanatumia euros na inahesabika km sehemu ya ufaransa.

Kuingia ni lazima upite njia za panya au uwe na viza ya ulaya.
Njia za panya!?

mininum balance niwe kama na shingapi mkuu!?
 
Njia za panya!?

mininum balance niwe kama na shingapi mkuu!?
Ukifika Comoro utakuta michongo yote pale.
Zipo boat dar zinakwenda Comoro.

Kuhusu gharama sina uhakika kwa.hilo mkuu.
 
Cargo boats
Mwaka jiz jamaa alikuwa ana mchongo comorro wa wa euro 25,000 ila akaogopa kwenda kwasababu aliota kuwa yuko stuck kwrnye kisiwa hivyo akampgia dada yake cameroon amwangalizie kama ndoto yake ilikuwa kweli. Wacameroon wanaamini sana katika jadi, na majibu yakikuwa kuwa akienda comorro atakufa so hakwenda. Ila alimpgia jamaa yake kwa kipindi hicho alikuwa comorro na kwenye huo mchongo alikuwa ashakula eiro 40000+.
Jamaa alimwambia kuwa, comorro ni sehemu salama, kama akienda akapga mchongo fake ana option mbili kutodwa majn ama kukamatwa na polisi. Kukamatwa na polisi ni safe maana wata mdepote kurudi alikotoka, hivyo akipga mchongo ahakikishe kama ukienda kombo polisi wanahusika kumkamata maana wasipomkamata atatoswa majini.
 
Ila kiukweli wazamiaji wengi wa enzi hizo walikuwa "wakurupukaji" sanaa labda ndio maana iliitwa "kujilipua", siku hizi mambo yanafanyika kwaakili zaidi kuliko kufuata mihemko.
...Imani yao ilikuwa kwamba mtihani wao mkubwa ilikuwa ni kuingia kwenye Meli tu hapa Dar, ya huko mbele wangeyajulia huko huko mbele kwa mbele....!
 
Back
Top Bottom