Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Watu wanapambana asee.

. Ila kurudi nyuma ni udwanzi .mbele kwa mbele ndo mpango.
 
Ilikuwa anataka kuingia USA, rafiki yake aliingia ila yeye akaghair at the last minute, maana walikuwa watatu. Aliyeingia USA hajawahi kuwasiliana naye, aliyebaki Mexico uwa wanawasiliana kwasasa ashaoa ana mke Mmexico na watoto. Yeye hakubaki alitoka huko akaelekea Korea Kusini.

Mexico walikamatwa baada ya kuintroduce biashara moja fake bila kujua makundi ya cartel yana control kila kinachofanyika lazima wawe wamekubariana nacho na wale commission.

Wakiwa wamelala asubuhi walishangaa hoteli inavamiwa na watu wana mitutu wanapigwa wanabebwa wanawekwa kwenye buti za gari wanaondoka nao.
Kwa maelezo inaonesha muhusika Ni wewe
 
Kwa maelezo inaonesha muhusika Ni wewe
Mimi mwakahuu mwezi wa nane ndipo nafikisha miaka 31, so do your maths utajua nisingeweza kuzamia kipindi hicho nilikuwa na umri mdogo.
Najua unashangaa kwanini nina details nyingi za hii stori, ni kwamba alitaka kuandika kitabu aka narrate mimi nikawa nasikiliza nakichapa ila baadae aghairi. Na ni kitu ambacho nikikaa naye lazima anipe kisa flani so ni story ambazo nimezisikia sana kwa kujirudia mara kibao
 
Ameudi kitambo sana mkuu, sasa hivi ashakuwa mtu mzima yuko kwenye 50s amerudi ashaoa ana maisha mengine kabisa. Yani katika safari zake hakuna alichorudi nacho cha maana.

Kufra siyo kwamba aliamua kukaa, ni kwamba wasafirishaji pesa yako ikiisha wanakuacha hata kama ni katikati ya jangwa ukifa shauri yako sasa yeye pesa yake iliishia hapo ndo wakamtupa hapo.
Dah, hivi ukitolewa korodani mambo yanafanyika "freshi" tu?!
 
naunga mkono kabisa huwez kunishawish eti wale walibya weupe kwamba n waafrika hakunagaaa yaan mm ule ukanda wooteee wa akina algeria, libya,tunisia n.k cjawahi kuamin kama n waafrika wenzetyu. Rangi yyte nyeupe haijawah kumpenda mwafrika mweusi.
Na huu ndio ukweli wenyewe.. mkuu ukienda kwenye maduka ya waarabu ni wachache sana wanaokua fair kwa ngozi nyeusi, achilia wadada wa kazi, hao miaka ya nyuma niliwahi shuhudia kwa jirani mdada wa kazi anasubiri wale kwanza wao halafu kile wanachobakisha wanakusanya ndio anakula yule dada, hii kitu mpaka Leo hua inani pain sana sana
 
Ktk maisha haya ya wasafiri wenye roho ngumu now wamebaki Ethiopians tu,,,
hawa jamaa niliona story yao Fulani kwenye channel 24 ya France..
jamaa wanatembea kwa miguu hadi Yemen,,halafu wanatembea tena kwa miguu hadi saudia,,,

duu,,hyo safari ni hatari,,wanakwambiya wanatoka Ethiopia ,na inakuwa ni kwa miguu ,,,hadi Djibouti..
hapo wanaingia Yemen kwa mitumbwi...
halafu wanaitafuta Saudi Arabia kwa miguu,,..

siku nilipoona story zao za utafutaji maisha hadi kufika Yemen to Saudi.... Nilijiona cha mtoto kabisa,,

tena wanakwambiya wanaanza safari wakiwa watu kama 40 wanawake na wanaume,,
Lakini wanafika Yemen labda wapo 20 tu au watu 30 tu..hao wengine wamekufa njiani,,

either kwa njaa au kuliwa na Wanyama wakali au maradhi,,,,.
safari yao hadi kufika Yemeni ni miezi 3..wanaishi kwa kula vyakula vya kwenye mapipa na makombo ya Chakula cha hotel..wakifika Yemen inawalazimu kuhangaika tena kupata pesa kuingia kujikimu na kupata nguvu zingine kabla ya kuanza safari ingine ya Saudi Arabia,,,

na kufika Saudi Arabia itawalazimu tena mwezi,,,na safari yao kwa ujumla inawagharimu kama miezi 6 kutoka ethiopia ,,kufika yemen na kuishi hapo yemen hadi kufika saudia ,,.

hawa jamaa nimewavika kofia na vyeo vya chuma kwa roho ngumu..njiani wanawake wanabakwa..wao wanakufa mfano kugongwa na magari maana wanatembea pembeni ya barabara kuu wakifata magari yanapoelekea....

uzuri ninkwamba hawa jamaa wana heshimu sana pesa,,wengi ni matajiri wakimiliki maduka makubwa ya nguo na super markets....popote waendapo,,

kuanzia south Africa Hata huko kwengineko.,...
 
Mimi mwakahuu mwezi wa nane ndipo nafikisha miaka 31, so do your maths utajua nisingeweza kuzamia kipindi hicho nilikuwa na umri mdogo.
Najua unashangaa kwanini nina details nyingi za hii stori, ni kwamba alitaka kuandika kitabu aka narrate mimi nikawa nasikiliza nakichapa ila baadae aghairi. Na ni kitu ambacho nikikaa naye lazima anipe kisa flani so ni story ambazo nimezisikia sana kwa kujirudia mara kibao
Endelea kutupa visa mbali mbali mkuu, uzi unachangamka huu
 
Kuna rafiki yangu mmoja, kati ya mwishoni mwa miakaya 90 na mwanzoni mwa mwaka wa 2000 alizamia kwenda Ulaya. Safari za kipindi hicho ilikuwa za kibabe kweli mtu anaanza safari hana hata passport. Safari ilimpeleka mpaka Libya lengo ni kwamba ilikuwa aingie Morroco then wavushwe kuelekea Spain.

Katika safari hiyo alikutana na majanga mengi sana sana. Amenusurika kufa zaidi ya mara 20 tena akiwa ameshaona kaburi.

Sasa anadai akiwa Libya, anadai walibya ni wabaguzi sana hasa kwa Waafrika wenzao weusi. Anadai ukipanda usafiri wa umma wanawake walikuwa wanaziba pua. Anasema muda mwingine ulikuwa ukipita mtaani unaona mama anaokota jiwe anampa mwanae akurushie.

Anadai sasa kimbembe uje ukutane na vijana walikuwa wanajiita Aska Boys (sina hakika kama nimewapatia). Anasema walikuwa wanatabia wanakuja na magari wanakuweka mtu kati, wanafungua boot wanatoa marungu, watakupiga mpaka ufe.

Sasa anasema akiwa Libya, alikuwa hana pesa kabisa na kutoka Libya ili uvushwe uende Morocco mpaka upande boat kuendelea na safari, ilikuwa inahitajika pesa nyingi. Yeye kwa muda huo aliikuwa ashageuka kuwa kama chokoraa. Na kipindi hicho mauaji kwa wageni yakawa yameongezeka.

Anadai katika kundi lao allikuwepo jamaa katoka Ethiopia ni Muorthodox alikuwa akisali sana sana. Jamaa akamfuata akamwambia amsaidie pesa kidogo ili aweze kuondoka pale maana wenzake walikuwa wengi wao wana mpango wa kuondoka baada ya hali kuwa mbaya.

Jamaa eti akamuuliza, huna mtu anayeweza kukutumia pesa. Jamaa akamwambia sina ila kuna kaka yangu ana pesa nyingi sana ila hawezi kunipatia pesa maana hata hii safari nimeianza kwa kumkumbia yeye alikuwa anataka kuniua. Jamaa akamwambia, usiku njoo nikufanyie maombi, lakini iwe saa tisa usiku.

Kweli usiku wa saa tisa akaenda, eti jamaa akachora chora mviringo sakafuni akamwambia aingie kati, kisha wakaanza kumuombea yeye na wenzake.

Baada ya maombi akamwambia asubuhi kampigie simu kaka yako, mwambie akutumie dollar 2000, atakutumia. Usipunguze na wala usiongeze. Jamaa anadai kesho yake akaenda sehemu ya kupiga simu akampigia simu kaka yake, alipomueleza hakubisha kabisa ila akamwambia atamtumiaje ile pesa.

Kipindi hicho anasema Libya kulikuwa hakuna huduma za Western Union, wala Money Gram. Anadai watu walipokuwa wakitaka kupokea pesa, kulikuwa na mzungu raia wa Spain pale ana ofisi iko kisiwa cha Lampedusa, hivyo pesa inatumwa kwenda Lampedusa, akiconfirm imefika kule unaenda kwake anakupa cash pale Libya.

Basi jamaa akawa ametumiwa pesa akaondoka pale. Japo huko mbele alipata majanga mengine.

Jamaa alifanikiwa fika Mexico, Equador na huko pia alipata majanga hadi akapoteza korodani baada ya kuanguka mikononi mwa drug dealers.
Equador ni mji au nchi ?
 
Ndy hapo inakuwa shida,,,maana unaposema gay wazungu wanamaanisha shoga,,sasa uwe mende au shoga ,,,au ,,,wote ni group moja,,,sasa bahati upate punga akupende,,,,umong'onyoe ..kama wewe ukipendwa na mende basi hesabu maumivu,,,maana jamaa atalalamika mbona shoga lenyewe hataki KUGEGEDWA au hatafunwi?hapo utashindwa vigezo mkuu...,,lazima uliwe au uwe mende ili upate makaratasi kwa urahisi
sasa mzee ukifake kwamba ww ni gay wakakutafutia patner vp utatoa tigo au inakuwaje hapomara 100 nbaki bongo asee
 
Haaaaa Haaaaa, uwe na hela ya maana umtafute black kule mfunge ndoa huku then akualike kule kama mke wake,
Baadaye mapeana divorce,. Maisha yanaendelea.
Kule kazi zipo sana, hela inaingia vizuri maana Unaweza fanya kazi mbili tofauti
Napataje connection na black wa kike. Ili act kuwa mke wangu ?
 
Sasa hivi kufake marriage ni ngumu kidogo ulaya,,, njia PEKEE na ya kirahisi ni kufake gender,,,, wengi wanasema gays..ukisema wewe ni gay na huko ulipotoka umekoswakoswa kukamatwa uuliwe,,,duu...hata miezi mitatu haifiki ushapewa makaratasi ya kuishi ,na wanakutafutia partner so fast akuliwaze...duu wazungu hawa...ni balaa...laana tupu
Daaah
Hivi gay ni yule anayeliwa au anayekula ?
 
naunga mkono kabisa huwez kunishawish eti wale walibya weupe kwamba n waafrika hakunagaaa yaan mm ule ukanda wooteee wa akina algeria, libya,tunisia n.k cjawahi kuamin kama n waafrika wenzetyu. Rangi yyte nyeupe haijawah kumpenda mwafrika mweusi.
Hata kiakili wao wana akili kuliko sisi wa kusini mwa jangwa la sahara, huo ni ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom