secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,647
Calm down nigga ....Linchi halieleweki hili,, ukipata nafasi unajilipua tu, nisipoamua Sasa ndo basi tena
keep on reasoning....
jilipue lkn ukiwa umejipanga
Calm down nigga ....Linchi halieleweki hili,, ukipata nafasi unajilipua tu, nisipoamua Sasa ndo basi tena
Sina connection mkuuChong a mchongo na wabongo waliopo kule
Asante kwa kunipa tahadhariCalm down nigga ....
keep on reasoning....
jilipue lkn ukiwa umejipanga
Kama haujafika 30 una advantageLinchi halieleweki hili,, ukipata nafasi unajilipua tu, nisipoamua Sasa ndo basi tena
Labda nikwambiye kitu mkuu,,,,ukiwa ulaya mwanamke mweusi anakuwa na thamani sn,,,,nikisema mweusi namaanisha wale Dada zetu weusi tii,,,hivyo basi wanawake kama waethiopia wanapatikana kwa urahisi sana tu...nimewafaidi sn nikiwa Turkey... Na Greece,,, wengi Wanakuja kule hawana ndugu au hawajuwi pa kwenda,,..baada ya camp kama ya two weeks wanaachiwa mitaani ,,hapo ndy shida pa kulala,,,huwa tunawasubiri bus au train statations,,,, so tunajichagulia tu,,,,unaishi nae na kuzaa nae watoto kabisa,,,ila siku akikutana na ndugu zake jiandae kisaikolojia...kwahyo watu wanapogegeda hao ni kwamba huweziwapata maeneo mengine mkuu zaidi ya wakati wa shida zao,,,hao nao ni wabaguzi mno kwa ngozi zetu hizi nyeusi tiiiii,,,,ndy maana tunawafungia kazi tukipata nafasi kuwapekenyua....hadi kieleweke..lakini black woman is the best...everywhere Mkuu....Halafu baadae msikike mkisema mwafrika sawa na mweupe wakati nyie wenyewe mnawatamani weupe. Inaelekea tunapigania kitu ambacho hata wenyewe hatukiamini
Kama nina 30 Ni disadvantage!!!Kama haujafika 30 una advantage
Muda huo bado hujachelewa,,,kila mtu anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukijieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,Raha ya kuzamia uwe early/mid twenties, sasa mtu yupo 40s huko si unataka ukafie mbele! Kuzamia kunataka matumizi ya nguvu na akili.
Hata mimi....itakua basi tena!Linchi halieleweki hili,, ukipata nafasi unajilipua tu, nisipoamua Sasa ndo basi tena
Acha woga mpare weweRaha ya kuzamia uwe early/mid twenties, sasa mtu yupo 40s huko si unataka ukafie mbele! Kuzamia kunataka matumizi ya nguvu na akili.
MDAUKIFIKA UTASEMA UKWELI TUNimekwambia rafiki yangu ni miaka hiyo ya 90 ndo kwanza nilikuwa nimeanza shule
Mabaharia ndy walikuwa wanatesa mjiniM
MDAUKIFIKA UTASEMA UKWELI TU
RGER. RGER



Si unajua baada ya huo kama haujajiwela sawa kimwili, kiakili au hata kiuchumi basi unajikuta una muonekana kama wa mzee, hata mishe za kukimbizana zinaweza kukushindaKama nina 30 Ni disadvantage!!!
KUNA Msela MMOJA ALINIPANakumbuka kitambo kile mabaharia wengi waliwekeza kwenye biashara ya macoster
Kubeba Abiria tena wakati ule coaster inanunuliwa mpyaaa 0 km..... Sasa Soma machata nyuma ya gari
Kile kilichokuwa kinaandikwa ndy walikuwa wanakiwakilisha
Eg.... Time will tell, survival, mv Saratoga, Italy trans, Jimmy to london
R. I. P BOZEN, PERADI, VASCODAGAMA, MGIRIKI MWEUSI
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ukiwa kwenye list ya viongozi wa juu wa ccm uta enjoy maisha ukiwa hapahapa Tanzania. Tatizo ni kwamba wanasiasa washirikina sanaMuda huo bado hujachelewa,,,kila MTU anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukilieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,je ukiwa n passport ya ulaya huoni kama ni fursa?unaweza ukaja kuendelea na maisha mengine hapa bongo lakini ukitaka kwenda ulaya ni ticket yako tu...unakwea mwewe,,,upo Spain,,au Belgium,, Au Italy,,au Sweden,, Austria,,, unakaa week unarudi bongo,, huku ukiendelea kupokea euro 800 kama raia kila mwezi zinaingizwa na serikali ktk acc yako..usione watu wanaohangaika na kuitafuta ulaya,,,hapa Africa ni kama tupo mwituni mkuu,,,...wale Wanyama wakali ndy wanaotamba,,,,lakini hakuna usawa mkuu...wenzetu wana usawa na haki...
Alifanikiwa kufika huko alipokua anataka kwendaKuna rafiki yangu mmoja, kati ya mwishoni mwa miakaya 90 na mwanzoni mwa mwaka wa 2000 alizamia kwenda Ulaya. Safari za kipindi hicho ilikuwa za kibabe kweli mtu anaanza safari hana hata passport. Safari ilimpeleka mpaka Libya lengo ni kwamba ilikuwa aingie Morroco then wavushwe kuelekea Spain.
Katika safari hiyo alikutana na majanga mengi sana sana. Amenusurika kufa zaidi ya mara 20 tena akiwa ameshaona kaburi.
Sasa anadai akiwa Libya, anadai walibya ni wabaguzi sana hasa kwa Waafrika wenzao weusi. Anadai ukipanda usafiri wa umma wanawake walikuwa wanaziba pua. Anasema muda mwingine ulikuwa ukipita mtaani unaona mama anaokota jiwe anampa mwanae akurushie.
Anadai sasa kimbembe uje ukutane na vijana walikuwa wanajiita Aska Boys (sina hakika kama nimewapatia). Anasema walikuwa wanatabia wanakuja na magari wanakuweka mtu kati, wanafungua boot wanatoa marungu, watakupiga mpaka ufe.
Sasa anasema akiwa Libya, alikuwa hana pesa kabisa na kutoka Libya ili uvushwe uende Morocco mpaka upande boat kuendelea na safari, ilikuwa inahitajika pesa nyingi. Yeye kwa muda huo aliikuwa ashageuka kuwa kama chokoraa. Na kipindi hicho mauaji kwa wageni yakawa yameongezeka.
Anadai katika kundi lao allikuwepo jamaa katoka Ethiopia ni Muorthodox alikuwa akisali sana sana. Jamaa akamfuata akamwambia amsaidie pesa kidogo ili aweze kuondoka pale maana wenzake walikuwa wengi wao wana mpango wa kuondoka baada ya hali kuwa mbaya.
Jamaa eti akamuuliza, huna mtu anayeweza kukutumia pesa. Jamaa akamwambia sina ila kuna kaka yangu ana pesa nyingi sana ila hawezi kunipatia pesa maana hata hii safari nimeianza kwa kumkumbia yeye alikuwa anataka kuniua. Jamaa akamwambia, usiku njoo nikufanyie maombi, lakini iwe saa tisa usiku.
Kweli usiku wa saa tisa akaenda, eti jamaa akachora chora mviringo sakafuni akamwambia aingie kati, kisha wakaanza kumuombea yeye na wenzake.
Baada ya maombi akamwambia asubuhi kampigie simu kaka yako, mwambie akutumie dollar 2000, atakutumia. Usipunguze na wala usiongeze. Jamaa anadai kesho yake akaenda sehemu ya kupiga simu akampigia simu kaka yake, alipomueleza hakubisha kabisa ila akamwambia atamtumiaje ile pesa.
Kipindi hicho anasema Libya kulikuwa hakuna huduma za Western Union, wala Money Gram. Anadai watu walipokuwa wakitaka kupokea pesa, kulikuwa na mzungu raia wa Spain pale ana ofisi iko kisiwa cha Lampedusa, hivyo pesa inatumwa kwenda Lampedusa, akiconfirm imefika kule unaenda kwake anakupa cash pale Libya.
Basi jamaa akawa ametumiwa pesa akaondoka pale. Japo huko mbele alipata majanga mengine.
Jamaa alifanikiwa fika Mexico, Equador na huko pia alipata majanga hadi akapoteza korodani baada ya kuanguka mikononi mwa drug dealers.
NomaKUN
KUNA Msela MMOJA ALINIPA
8MIL zakumpa mamaake joberg
Mwaka aujapitaaa nashukatoka Uganda nakuta degejeupe nkajuamasela wamerudi
Hamadaa nawakutaa immigration namkutamsela huyoo wachaaitee Kama kurudishiwa uzazi.. Dah.. Nkapambana Msekwa akatoka.... Storyyake unaweza kulia hapana kibambaaa achenitu
Waarabu ni wabaguzi sana tu tena ubaguzi wao ni wa kinyama zaidi kuliko wazunguDuu...mkuu jamaa alifikaje Mexico wakati hakuwa na passport? na kwa hilo la ubaguzi wa libya nakubaliana na wewe mkuu,,....hadi sasa ni wabaguzi sana Mkuu... Kuna jamaa yng wa kinigeria alishapia hapo,,2016.,hyo njia ya Nigeria,,Niger,,Libya,,Italy..aliishi hapo Libya kwa miezi 6 kabla ya kuelekea Italy anapoishi hadi sasa,,,,,anasema iliwachukuwa masaa 18 kutoka bahari ya Libya hadi kuikuta blue sea,,,bahari ya Italy,,,pia anakwambiya ktk hyo network ya human trafic ni kubwa sana,,,na inaanzia huko nigeria,,senegal niger,,kuna watu wana contacts za jamaa wa libya,,,wanasema wanakusanywa watu zaidi ya 500 au 400 kila mtu atatoa dola zisizopunguwa 1000 halafu wananunuwa boat wanaweka mashine,,,halafu yule boat man,,,anakuwa among migrants nae anakuwa hatoi pesa za usafiri lakini kazi yake ni kuendesha boat ile,,,sasa anakwambiya wanapotoka lazima wawataarifu baadhi ya askani on duty wa libya wa majini ili wawaache watoke eneo la libya,,,,kwani wasipotaarifu na kuwapa pesa ,,jamaa wakiwafukuzia na boat zao ni too speed...anasema wakikamatwa kabla ya kuingie the blue sea,,basi adhabu yao ni kurudishwa Libya,,, na kipigo juu huko gerezani,,pia adhabu yake ni euro 500 kila mmoja ndy unaachiwa huru...tena unapewa simu uwapigie ndugu zako huko walipo wakutumie pesa,,kuna Ethiopians,, Somali,,Nigerians, senegalis na waafrica weusi wengi tu kwnye magereza yao hapo Libya ktk suala ka kukamatwa baharini.,,,,,jamaa anakwambiya sometimes hao migrants wanaona ni bora kujitosa baharini kuliko kukamatwa na askari wa libyakurudishwa Libya,,,jamaa anasemaa hiyo njia mtu akipita na kufika salama Italy,,,basi ni MUNGU tu ametenda,miujiza,,lakini ni nusu kifo njia nzima,,,na anakwambiya hapo Libya kuna kundi la walibya weupe linabaka wanawake weusi Wa Africa,,,, mfano wakiona mwanaume mweusi anaingia chumbani na mwanamke muarabu wa Libya basi hao jamaa Wanakuja,,,na haijulikani wanapewa taarifa na nani,,pengine ni jukumu la kila raia mwarabu mwenye roho ya kibaguzi,,,, kutoa taarifa kwa kundi hilom kuteka watu,,basi anakwambiya wakija wanakupiga na kumchukuwa Dada yao wa kiarabu,,,kama ni mweusi basi atabakwa mbele yako,,huku wewe ukipokonywa Mali zako,,, nilishasema siku moja kuwa mwafrika ni yule mweusi tiiii,,,na sio hawa waarabu wa Africa,,,ni hawa wazungu ndy waliowaweka upande wetu,,,lakini sio wenzetu..kabisa,,,