Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Tujipange dadake kama upo tyr tukutane inbobo mana huko msumbiji pakuanzia mi mwenyeji kuna mdau kasema tunaeza pitia msumbiji
Km msumbij piten hii ya congress had lichinga, mnatoboa maniamba mnatokezea maputo.
 
Hahahaa! Siwez kujiaminisha 100% kusafiri ugenini mie mschana, anyway mbona watu wengi wanasema watanzania ambao wanaishi UK wana majungu sana??
OK..inategemea unasafiri kivipi mkuu,,Mara nyingi msichana kusafiri maisha ya kibaharia ni two risk at the same time,,,labda uende kishule au kumtembelea mtu..unajuwa mwanaume popote analala,,,kabla hajapata jamaa wa kumsitiri,,,ila mwanamke ni very risk mkuu,,,pia maswala ya majungu sio UK tu...popote walipo watanzania wengi wanakuwa na tabia za kitanzania,,,,nishashuhudia ulaya wanawake wa kitanzania wanakwenda kumtunza mwenzao sanduku la Zawadi,, yaani kama bongo vile...wazungu wanashangaa....wanawake wapo kundi barabarani,,na mauno ya kufa mtu mtaani...hayo ni moja kati ya madhara ya wabongo kuishi pamoja,,,,ila niamini mm,,,muafrica ulaya ndugu yake muafrica mwenzie....
 
Duuh hatari! Nakuamini Mkuu, na ww upo nchi gani?
Mimi nipo hapa tunapigwa wote vumbi mkuu,,,huwa natembelea huko juu,,,kwenye kusaka maisha na kurudi,,,niulize chochote Mkuu,, nitakujibu kwa uzoefu wngu wa safari..
IMG_20200615_092709.jpeg
 
Sasa watakuwa na proof gani kama kweli ni gay?lazima uliwe,,,au uwe unakula...lakini kwa kawaida ya gay hata yule MENDE naye pia huliwa...sometimes.. Maana unaweza mgegeda shoga na baadae akisimamisha dushe anataka akutafune..unafanyaje?
Mkuu hii mambo ilishawahi kukutokea?!
Maana kama una experience na hii mambo
 
Asante kwa ukarim wako, mi pia nataka niende sehem kusaka maisha au Biashara pia for my own Peace of mind, then nirudi kuwekeza hapa nyumbani, South Africa sio option nzuri au ndio Xenophobia? Pls ni PM tuongee zaidi km hutojali, Thanks in advance.
Usijali mkuu
 
Mkuu hii mambo ilishawahi kukutokea?!
Maana kama una experience na hii mambo
Sio kunitokea mkuu,,,unajuwa kwann mzungu anayefanywa na anayeyanya wote wanaitwa GAYS?anamaana mende yeyote lazima nayeye awe analiwa ,,,fuatilia asili ya mende,,utakuta na yeye alishafumuliwa kwa kipindi chake,,,ila yule shoga amenogewa na kufanywa,,,kwani hujasikia wahuni wakisema habari za mchicha mwiba?kwamba ukiuchuma uwe na tahadhari,,, usije ukakuchoma,,sasa wewe mgegede shoga halafu lala uchi matako juu kama upo na kimada wako,,, kama hujashituka shoga yupo mgongoni, anabwabwaja maneno hayaeleweki,,,na wakishakuwa mgongoni chuma kinaelea usawa wa bahari humtoi tena mkuu,,wewe utulie uliwe tu,,,,,,kwahyo,, mkuu wapo washoga wanafanya na wao wanafanywa....ndy maana mzungu wote kawaita GAYS....
 
Mkuu nina ndugu yangu mmoja alipata scholarship ulaya,,ivi anaweza nichongea mchongo gani nitoboe uko ata kubeba box mzee
Wewe Fanya makeke hapa upate viza,,,ukifika huko,,unajilipua,,,lakini Fanya mipango hapa hapa,, upate viza zinatoka,,,uzuri wa ulaya sasa hivi tofauti na zamani,,sasa unaweza ukapata viza ya inchi Fulani,,,ukaenda unapopataka,,mfano kuna balozi Fulani zinakuwa tight sana kutoa viza,,na zipo zingine ni nyepesi,,,so unakwenda zile inchi nyepesi unaomba viza ya ulaya,,halafu unakwenda unapopataka,,,lakini zamani ilikua kama unataka kwenda inchi husika basi lazima upate viza husika,,so now ni rahisi kupata viza ulaya mkuu,,,unaweza ukapata viza ya Poland,,ukaenda ulaya yeyote ya shengen,,, au ukapata viza yeyote ya inchi ya shengen halafu unakwenda unapokusudia...usiogope mkuu,,
 
Mayotte Wanapiga kiswahili kile cha buza kabisa kabisa ?
Wanaongea ila wanachanganya na kilugha chao,,lakini hawakuteti,,,wala wewe huwateti kiswahili,, maneno ni haya haya Bali matamshi yao wanatamka tofauti baadhi ya maneno...
 
mwandende hoja yako ya kudai kwamba wakoloni walijenga shule kwa manufaa yetu naipinga,

Malengo yao kujenga shule ni kutengeneza vibaraka wa kuwatumia katika shughuli zao za utawala wa kikoloni, yaan hzo shule zili-train waafrika wachache (tena kwa ubaguzi, mfano watoto wa machifu) sio kila mtoto alihudhuria, kwahiyo malengo makuu ya ujenzi wa shule ni kwa ajili ya manufaa yao

Kuandaa watu wachache kusimamia maslahi yao kwenye projects zao, mfano kwenye kilimo kulikuwa na waafrika wachache waliopata elimu ya mkoloni waliwasimamia wenzao
Sawa mkuu
 
Sasa hapo kwenye mchicha mwiba ndy mzungu akawatambuwa wote ni gays..hivi unauhakika gani kama mende hawajakutana na MCHICHA mwiba?wakapakuliwa?
Sio mzungu just n uhalisia, mtu yeyote mweny mavutio ya kimapenzi kwa jinsia yake n GAY in English, na n SHOGA in swahili, ila matawi ndio hayo nlokutajia. Naomba nielewe ndio maan nmekupa hzo types ina maan huyo mende akishaliwa anakuwa mchicha mwiba sio mende tena. Just walaji tu wapoooh, hivyoo yaan.
 
Sio mzungu just n uhalisia, mtu yeyote mweny mavutio ya kimapenzi kwa jinsia yake n GAY in English, na n SHOGA in swahili, ila matawi ndio hayo nlokutajia. Naomba nielewe ndio maan nmekupa hzo types ina maan huyo mende akishaliwa anakuwa mchicha mwiba sio mende tena. Just walaji tu wapoooh, hivyoo yaan.
Sawa mkuu
 
Acha namimi nishare ideal yangu hapa,
Hii kwavijna mwenye ndoto ya kwenda huko wanakokuita Europe.
Moja, futa wazo la kutaka kujilipua! Kwasababu utakapo fanya hivyo utajiharibia status yako ya Utanzania. Kwa saivi Ulaya warabu kutoka Syria na nchi nyingine za Africa kwa kuzamia saiv siyo rahisi na pia kupata karatasi imekuwa ngumu sana,

Kuna njia moja ambayo ukiitumia ndoo itakuwa rahisi sana kuingia ulaya.
Njia yenyewe ni:
Kuoa au kuolewa,
Tafuta mwanamke au mwanaume mwenye uraia wa ulaya hapo utakuwa umefanikiwa kiasi,
Zanzibar ni sehemu ya kutimiza ndoto yako nina uhakika 100% kama una swali lolote niulize.
Samahani kwa mwandiko wangu mbaya!
Zanzibar ina rahisishsje?
 
Back
Top Bottom