Makanisa- lengo ili kuwapa wafrica hofu ya Mungu mjue asili ya mungu ni mzungu ili muwaogope km unvyowaogopa leo! mudharau mitishamba yenu.
Reli- kusafirishia maligahafi za viwandani huko kwao eg mkonge. pamba.
Hospitali- ili watibie manamba kiurahisi, na kuanda madalali wa kuuza dawa zao yaani vidaktari, vilivyodharau dawa zenu za asili. na wao wapate huduma ya kwanza kabla ya kwenda ulaya! Mpaka leo hkn mzungu anatibiwa Amana, MNH.
Shule- kuandaa makarani wa kazi zao! manesi,daktaris, walinzi yaani KAR,Police nk
Nyumba -walijenga nzuri ili wao waishi, vibanda vilikuwa vya walinzi na wafanyakazi wao!
View attachment 1480650kalifunikwa kote haka.
View attachment 1480653View attachment 1480655Eastern cape, oxybow, Mokholong kwa uchache, ni baridi la kufa mtu,hivyo ni vijumba vya kiafrica.
Tours=tafsiri rahisi ni utalii, naamini hukuwahi kufanya study tours shuleni kwenu? ndiyo matokeo yake haya!
Sirukiruki Mkuu, ile ni summary tu, nilidhani naongea na mtu mwenye uelewa mpana! kumbee!