Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Acha namimi nishare ideal yangu hapa,
Hii kwavijna mwenye ndoto ya kwenda huko wanakokuita Europe.
Moja, futa wazo la kutaka kujilipua! Kwasababu utakapo fanya hivyo utajiharibia status yako ya Utanzania. Kwa saivi Ulaya warabu kutoka Syria na nchi nyingine za Africa kwa kuzamia saiv siyo rahisi na pia kupata karatasi imekuwa ngumu sana,

Kuna njia moja ambayo ukiitumia ndoo itakuwa rahisi sana kuingia ulaya.
Njia yenyewe ni:
Kuoa au kuolewa,
Tafuta mwanamke au mwanaume mwenye uraia wa ulaya hapo utakuwa umefanikiwa kiasi,
Zanzibar ni sehemu ya kutimiza ndoto yako nina uhakika 100% kama una swali lolote niulize.
Samahani kwa mwandiko wangu mbaya!

Nikienda Zenji urahis naupataje mkuu?
 
Nakumbuka kulikua na ishu ya penpal..au penfriend...hhaa nilikua na penpal mtu na mkewe hawanaga mtoi..basi nikajieleza balaa kwa dingi haelewi somo...dah! Those yrs ..sio vitoto vyw miaka hii havina hata mawazo hayo
Aisee umenikumbusha mbali..dah "Pen pall" maisha yanaenda kasi sana..kipindi hicho tamthilia tunaangalia days of our lives.
 
Muda huo bado hujachelewa,,,kila MTU anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukilieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,je ukiwa n passport ya ulaya huoni kama ni fursa?unaweza ukaja kuendelea na maisha mengine hapa bongo lakini ukitaka kwenda ulaya ni ticket yako tu...unakwea mwewe,,,upo Spain,,au Belgium,, Au Italy,,au Sweden,, Austria,,, unakaa week unarudi bongo,, huku ukiendelea kupokea euro 800 kama raia kila mwezi zinaingizwa na serikali ktk acc yako..usione watu wanaohangaika na kuitafuta ulaya,,,hapa Africa ni kama tupo mwituni mkuu,,,...wale Wanyama wakali ndy wanaotamba,,,,lakini hakuna usawa mkuu...wenzetu wana usawa na haki...

Mkuu ni nchi gani wanatoa hela bure hivi kwa mwezi? Tena Euro 800?
 
Ktk maisha haya ya wasafiri wenye roho ngumu now wamebaki Ethiopians tu,,,hawa jamaa niliona story yao Fulani kwenye channel 24 ya France..jamaa wanatembea kwa miguu hadi Yemen,,halafu wanatembea tena kwa miguu hadi saudia,,,duu,,hyo safari ni hatari,,wanakwambiya wanatoka Ethiopia ,na inakuwa ni kwa miguu ,,,hadi Djibouti..hapo wanaingia Yemen kwa mitumbwi...halafu wanaitafuta Saudi Arabia kwa miguu,,..siku nilipoona story zao za utafutaji maisha hadi kufika Yemen,,to Saudi.... Nilijiona chamtoto kabisa,,tena wanakwambiya wanaanza safari wakiwa watu kama 40 wanawake na wanaume,, wanafika Yemen labda wapo 20 tu au watu 30 tu..hao wengine wamekufa njiani,,either kwa njaa au kuliwa na Wanyama wakali au maradhi,,,,.safari yao hadi kufika Yemeni ni miezi 3..wanaishi kwa kula vyakula vya kwenye mapipa na makombo ya Chakula cha hotel..wakifika Yemen inawalazimu kuhangaika tena kupata pesa kuingia kujikimu na kupata nguvu zingine kabla ya kuanza safari ingine ya Saudi Arabia,,,na kufika Saudi Arabia itawalazimu tena mwezi,,,na safari yao kwa ujumla inawagharimu kama miezi 6 kutoka ethiopia ,,kufika yemen na kuishi hapo yemen hadi kufika saudia ,,.hawa jamaa nimewavika kofia na vyeo vya chuma kwa roho ngumu..njiani wanawake wanabakwa..wao wanakufa mfano kugongwa na magari maana wanatembea pembeni ya barabara kuu wakifata magari yanapoelekea....uzuri ninkwamba hawa jamaa wana heshimu sana pesa,,wengi ni matajiri wakimiliki maduka makubwa ya nguo na supwr markets....popote waendapo,,kuanzia south Africa Hata huko kwengineko.,...
Ukiwakuta Europe au USA anadharua sana wanajiona wao sio waafrica
 
Mkuu nimekwambiya kila mtu ana sababu zake kwann unajilipua ulaya,,hata mm nilishindwa kujilipua Greece nikiwa na umri wa miaka 32 ..na kilichonifanya nirudi ni kutopata nafasi ya kupata makaratasi kwa wakati,,,na bado kuna watu hadi Leo mwaka wa 12 wapo pale hawajapata makaratasi,,, kama ingekuwa kusubiri miaka 2 isingekuwa tatizo kusubiri,,,kuna watu shida yao ni makaratasi tu,,kuna watu shida yao kuishi ulaya...unaweza ukajilipuwa kwa miaka miwili ,,ikakusaidia miaka ijayo....kumbuka unapojilipuwa kuna pesa unapewa za kujikimu,,,mfano euro 300 utalipwa kila mwezi,, hazitoshi kusaidia family wakati ukisubiri makaratasi? Kinachoumiza watu wengi ni wivu...
Kupata makaratasi ni Bahati mkuu mm Mjomba yupo Greece amepata kama msomali
 
Kupata makaratasi ni Bahati mkuu mm Mjomba yupo Greece amepata kama msomali
Ni kweli mkuu,,,,hata mm nilikimbia sababu hyo,,,,system yao ya interview haipo sawa pale,,,lakini mwaka 2014 UN ilitoa amri border zote ziwe free,,na migrants wote wa Greece waachwe waende wanapopataka,,,ndni ya mwezi mmoja,,then ziwe tight tena,,,basi hapo ndy migrants wengi walikimbilia ulaya zingine mfano Italy ,,German,, Austria,, nk..maana Greece ilizidiwa na migrants ambao walikuwa wnaingia maelfu kutoka Turkey,,, kwa njia za baharini na inchi kavu,, ,I was among migrants,, who crossed from Turkey to Greece in 2011….nilikuwa na karatasi za awali za kisomali pia maana kipindi hicho ilikuwa ndy rahisi kupata karatasi kama Somali au Burundi ..,,,lakini nilishindwa kusubiri nikarudi bongo...hivyo mkuu kama huna bahati za karatasi basi mambo mengi yatakuwia vigumu..
 
Ndivyo walivyo,,,ndy maana wanawake zao watu wanawapekecha haswa...huko Turkey na Greece ndy mapoozeo hao,,,mwanamke mweusi tii ni zaidi ya dhahabu..
Ukiwakuta Europe au USA anadharua sana wanajiona wao sio waafrica
 
Mkuu inchi zinazotoa allowance kubwa kwa raia wake kwa mwezi ni France,,,Italy,,Belgium,, Finland,,Denmark,, Austria,, zingine nimesahau,, ila mfano France,,,ukiwa unafanya kazi unakatwa pesa Fulani kwa mwezi ,,,kwa ajili ya kusaidia kuwalipa wale ambo hawana kazi,,,ukiwa si mfanyakazi wanakula euro 800,,,na wale wanafanya kazi wakistaafu wanakula euro 1300 kwa mwezi,,France wana benefit nyingi sn kwa raia wake,,,mfano ukiwa na mtoto anapewa euro 300 kila mtoto kwa mwezi,,,back to schools,,,kila family itapokea euro 400 kwa kila mtoto kwa ajili ya mtoto kurudi shule,,,,family inapoamua kuhama makazi family itapokea euro 900 kusaidia kuhama kwa watoto 3,,,na ni watoto kuanzia 0 aged to under 20 ,,,mfano mfaransa akiwa jela,,,,atalipwa euro 20 ndani za kujikimu kila mwezi,,, na miezi sita kablahajatoka anaandaliwa mazingira ya kazi huko nje na anaandaliwa nyumba mpya na kodi ya miezi 3 analipiwa akitoka anafikia kwenye nyumba hiyo kama Hana pa kwenda.....
Mkuu ni nchi gani wanatoa hela bure hivi kwa mwezi? Tena Euro 800?
 
Mkuu
Are u serious ?

Nachojua ulaya mashariki ni tofauti sana na Ulaya magharibi
Si kila inchi ulaya inalipa pesa,,,ndy maana watu wanatafuta inchi nzr ya kujipiga,,,ili upate benefit baadae,,,mfano,.France,, Belgium,, Italy,,Finland,,Denmark,, Austria,,Sweden,,Greece,,swiss,, nk..kila ichi ina benefit zake kwa raia zake,,huwa hazifanani...lakini hizo inchi zinatoa pesa kwa raia,,na hata migrants
 
Ni kweli mkuu,,,,hata mm nilikimbia sababu hyo,,,,system yao ya interview haipo sawa pale,,,lakini mwaka 2014 UN ilitoa amri border zote ziwe free,,na migrants wote wa Greece waachwe waende wanapopataka,,,ndni ya mwezi mmoja,,then ziwe tight tena,,,basi hapo ndy migrants wengi walikimbilia ulaya zingine mfano Italy ,,German,, Austria,, nk..maana Greece ilizidiwa na migrants ambao walikuwa wnaingia maelfu kutoka Turkey,,, kwa njia za baharini na inchi kavu,, ,I was among migrants,, who crossed from Turkey to Greece in 2011….nilikuwa na karatasi za awali za kisomali pia maana kipindi hicho ilikuwa ndy rahisi kupata karatasi kama Somali au Burundi ..,,,lakini nilishindwa kusubiri nikarudi bongo...hivyo mkuu kama huna bahati za karatasi basi mambo mengi yatakuwia vigumu..
Mkuu ungekomaa Saizi ungekuwa moja ya nchi za ulaya.
 
Hapa nimechukua maombi ya usiku,huwa yanatoboa hasa ukiwa na imani.
 
Sasa hivi wazungu wameshajuwa kama watu wanaoana sababu ya kutaka makaratasi yao,,,hivyo wanakuambia nenda mkafanye ndoa kwenu,,hivyo atakuja mzungu au yule unayetaka kumuoa muoane bongo,,,mpeleke details ubalozini,,hapo utaambiwa usibiri kama miezi sita au mwaka,,,,baadae una claim kumfata mumeo au mke,,, ipo story moja,,kuna jamaa yangu Fulani, yeye ni mtanzania,,,,alikwenda kuishi Sweden kama miaka 3 hakupata makaratasi,,akapata mwanamke mmoja wa kisomali mwenye makaratasi ya Sweden,,,wakawa wapenzi,,,huku yule jamaa bongo alikuwa na mke na watoto 3,,akamshawishi yule mwanamke wa kisomali waoane ili jamaa apate makaratasi,,, basi wakakubaliana waje hapa bongo waoane kimya kimya bila mkewe yule jamaa kujuwa,,,basi jamaa kule Sweden wakamtonya yule mke wa jamaa kwamba jamaa kaoa na anataka apate makaratasi,,,yule mke wa jamaa akaenda kuriport Sweden embassy in Tanzania,, kwamba mumewe kamtelekeza,,tena amekwenda na watoto kama 6 hivi na cheti cha ndoa,,jamaa bila kujuwa siku anakwenda ubalozini kupeleka details za ndoa,,wanamkuta yule mwanamke wa kitanzania na watoto wake 6 ubalozini,,, basi pale pale ndoa yake na msomali ikafa ,,na yule msomali akasepa,,,,,jamaa akajifanya kumsusa mke kwa miaka 2,,baadae Kamrudia,,,na hata kuhusu kufake mariage ,,,wanahitaji pesa si chini ya euro 5000 kutimiza hilo,,,.kama hamko ktk mahusiano...

Back
Top Bottom