Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Sasa hivi kufake marriage ni ngumu kidogo ulaya,,, njia PEKEE na ya kirahisi ni kufake gender,,,, wengi wanasema gays..ukisema wewe ni gay na huko ulipotoka umekoswakoswa kukamatwa uuliwe,,,duu...hata miezi mitatu haifiki ushapewa makaratasi ya kuishi ,na wanakutafutia partner so fast akuliwaze...duu wazungu hawa...ni balaa...laana tupu
Nimesikia cases nyingi za mabaharia kufake wakaingia Belgium, halafu wakaishia kupelekw kwenye sehemu wanakoishi gays later wanajikuta wanapakatwa kweli
 
Dah, yaani mkuu nijifanye shoga kisa kwenda ulaya? Mashamba yapo kibao morogoro aisee..
 
Dah, yaani mkuu nijifanye shoga kisa kwenda ulaya? Mashamba yapo kibao morogoro aisee..
Kwani mkuu hujawahi kusikia kuna vijana kibao wanaolewa huko ulaya ? watu wana fake gender,, sasa mbaya pale unapojiunga kwenye chama cha ushoga kuna dume limekupenda,,,linajitolea kukugharamia,,ndy hapo vijana wenye tamaa wanapopekechuliwa..
 
Na Holland...hata France ndy saana
Nimesikia cases nyingi za mabaharia kufake wakaingia Belgium, halafu wakaishia kupelekw kwenye sehemu wanakoishi gays later wanajikuta wanapakatwa kweli
 
Duu...mkuu jamaa alifikaje Mexico wakati hakuwa na passport? na kwa hilo la ubaguzi wa libya nakubaliana na wewe mkuu,,....hadi sasa ni wabaguzi sana Mkuu... Kuna jamaa yng wa kinigeria alishapia hapo,,2016.,hyo njia ya Nigeria,,Niger,,Libya,,Italy..aliishi hapo Libya kwa miezi 6 kabla ya kuelekea Italy anapoishi hadi sasa,,,,,anasema iliwachukuwa masaa 18 kutoka bahari ya Libya hadi kuikuta blue sea,,,bahari ya Italy,,,pia anakwambiya ktk hyo network ya human trafic ni kubwa sana,,,na inaanzia huko nigeria,,senegal niger,,kuna watu wana contacts za jamaa wa libya,,,wanasema wanakusanywa watu zaidi ya 500 au 400 kila mtu atatoa dola zisizopunguwa 1000 halafu wananunuwa boat wanaweka mashine,,,halafu yule boat man,,,anakuwa among migrants nae anakuwa hatoi pesa za usafiri lakini kazi yake ni kuendesha boat ile,,,sasa anakwambiya wanapotoka lazima wawataarifu baadhi ya askani on duty wa libya wa majini ili wawaache watoke eneo la libya,,,,kwani wasipotaarifu na kuwapa pesa ,,jamaa wakiwafukuzia na boat zao ni too speed...anasema wakikamatwa kabla ya kuingie the blue sea,,basi adhabu yao ni kurudishwa Libya,,, na kipigo juu huko gerezani,,pia adhabu yake ni euro 500 kila mmoja ndy unaachiwa huru...tena unapewa simu uwapigie ndugu zako huko walipo wakutumie pesa,,kuna Ethiopians,, Somali,,Nigerians, senegalis na waafrica weusi wengi tu kwnye magereza yao hapo Libya ktk suala ka kukamatwa baharini.,,,,,jamaa anakwambiya sometimes hao migrants wanaona ni bora kujitosa baharini kuliko kukamatwa na askari wa libyakurudishwa Libya,,,jamaa anasemaa hiyo njia mtu akipita na kufika salama Italy,,,basi ni MUNGU tu ametenda,miujiza,,lakini ni nusu kifo njia nzima,,,na anakwambiya hapo Libya kuna kundi la walibya weupe linabaka wanawake weusi Wa Africa,,,, mfano wakiona mwanaume mweusi anaingia chumbani na mwanamke muarabu wa Libya basi hao jamaa Wanakuja,,,na haijulikani wanapewa taarifa na nani,,pengine ni jukumu la kila raia mwarabu mwenye roho ya kibaguzi,,,, kutoa taarifa kwa kundi hilo kuja kuteka watu,,basi anakwambiya wakija wanakupiga na kumchukuwa Dada yao wa kiarabu,,,kama ni mweusi basi atabakwa mbele yako,,huku wewe ukipokonywa Mali zako,,, nilishasema siku moja kuwa mwafrika ni yule mweusi tiiii,,,na sio hawa waarabu wa Africa,,,ni hawa wazungu ndy waliowaweka upande wetu,,,lakini sio wenzetu..kabisa,,,
naunga mkono kabisa huwez kunishawish eti wale walibya weupe kwamba n waafrika hakunagaaa yaan mm ule ukanda wooteee wa akina algeria, libya,tunisia n.k cjawahi kuamin kama n waafrika wenzetyu. Rangi yyte nyeupe haijawah kumpenda mwafrika mweusi.
 
Sasa hivi kufake marriage ni ngumu kidogo ulaya,,, njia PEKEE na ya kirahisi ni kufake gender,,,, wengi wanasema gays..ukisema wewe ni gay na huko ulipotoka umekoswakoswa kukamatwa uuliwe,,,duu...hata miezi mitatu haifiki ushapewa makaratasi ya kuishi ,na wanakutafutia partner so fast akuliwaze...duu wazungu hawa...ni balaa...laana tupu
Juzi hapa walikuwa wanamtongoza mdogo wangu kule, (mwanamke anamtongoza mwanamke mwenzie) ikabidi amwambie MI nna hubby wangu,
Yan anasema kule wamejaa haswa mashoga na wasagaji
 
Haaaaa Haaaaa, uwe na hela ya maana umtafute black kule mfunge ndoa huku then akualike kule kama mke wake,
Baadaye mapeana divorce,. Maisha yanaendelea.
Kule kazi zipo sana, hela inaingia vizuri maana Unaweza fanya kazi mbili tofauti
bongo ukifanya ajira mbili tofauti unakamatwa na takukukuru km wale malecturer walokamatwa juz ila bongo nyoooosoooo
 
Sasa hivi kufake marriage ni ngumu kidogo ulaya,,, njia PEKEE na ya kirahisi ni kufake gender,,,, wengi wanasema gays..ukisema wewe ni gay na huko ulipotoka umekoswakoswa kukamatwa uuliwe,,,duu...hata miezi mitatu haifiki ushapewa makaratasi ya kuishi ,na wanakutafutia partner so fast akuliwaze...duu wazungu hawa...ni balaa...laana tupu
sasa mzee ukifake kwamba ww ni gay wakakutafutia patner vp utatoa tigo au inakuwaje hapomara 100 nbaki bongo asee
 
Ni mambo ya wazungu tu mkuu ndy yamefanya Tunisia,, Egypt nk kuwa Africa.,,mfano Morocco ni karibu sana na Spain..na Libya ipo jirani na Italy..na hata zamani kuna mfalme Fulani wa Morocco aliwahi tawala Morocco hadi Spain at the same time..nadhani walipogawa mabara. Ndy wakatuunganisha humo..jamaa wabaguzi sana,,kuna siku nipo sehemu Fulani ya dunia nilikuwa na rafiki yng mmoja yeye ni mfaransa Morocco,,ana uraia wa ufaransa,,basi jamaa raia wa Libya na Algeria na wamoroco wenzie walimfata na kumuuliza kwanini yupo na sisi weusi? duu..jamaa akatwambiya,,wale jamaa wanaleta ubaguzi...sisi Morocco pia wapo watu weusi lakini hatubagui...

Back
Top Bottom