Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,555
- 21,508
Huko penpal Nina marafiki kadhaa , mmojawapo ni huyu anaitwa Chriss alikuja bongo mwaka Jana kipindi Cha sikukuu.Nakumbuka kulikua na ishu ya penpal..au penfriend...hhaa nilikua na penpal mtu na mkewe hawanaga mtoi..basi nikajieleza balaa kwa dingi haelewi somo...dah! Those yrs ..sio vitoto vyw miaka hii havina hata mawazo hayo
Ni mmarekan ila alitokea Malawi alikuwa anafanya kazi na peacecorps.



