Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Muda huo bado hujachelewa,,,kila MTU anakwenda ulaya kwa lengo lake,,,,umri huo wa 40 ukilieleza vzr baada ya miaka 2 unapata uraia,,,,je ukiwa n passport ya ulaya huoni kama ni fursa?unaweza ukaja kuendelea na maisha mengine hapa bongo lakini ukitaka kwenda ulaya ni ticket yako tu...unakwea mwewe,,,upo Spain,,au Belgium,, Au Italy,,au Sweden,, Austria,,, unakaa week unarudi bongo,, huku ukiendelea kupokea euro 800 kama raia kila mwezi zinaingizwa na serikali ktk acc yako..usione watu wanaohangaika na kuitafuta ulaya,,,hapa Africa ni kama tupo mwituni mkuu,,,...wale Wanyama wakali ndy wanaotamba,,,,lakini hakuna usawa mkuu...wenzetu wana usawa na haki...
ila ukikaa ukawaza vzur utagundua kweli africa tyupo mwitun yaan
watawala ndo miungu watu...wanaweza kufanya lolote linalowajia akilin yan wanaweza sema hata watu watembee uchi na asiwepo wa kubisha

wakigundua mtu n tajir utawaskia "tunachunguza chanzo cha utajiri wako" akat kuna maskin lukuki na hakuna aaechunguza chazo cha umaskin wao

yaan bongo daaaah
 
Hicho ndo kinachonikera mimi....juzi nilijisahau nikaabgalia bunge yule kessy na ndugai yaan unabaki kujiuliza kuna shida gan bongo?
Mie hapa nna hasira na TRA basi tu
 
At 40+ una familia, either mke na watoto tena wanaoenda shule kabisa, una kazi(hata kama sio ya kipato kikubwa), hutakiwi kujifikiria wewe kama wewe, at 20+ unawaza "mimi", huna majukumu ya kifamilia hivyo kujilipua ni rahisi sana. Sasa mdada upo 30+ na watoto watatu unamuachia nani hao watoto ili ukahaso majuu, tena uende uingereza leo hii hadi utoboe utaona aibu hata kurudi bongo.
Mkuu nimekwambiya kila mtu ana sababu zake kwann unajilipua ulaya,,hata mm nilishindwa kujilipua Greece nikiwa na umri wa miaka 32 ..na kilichonifanya nirudi ni kutopata nafasi ya kupata makaratasi kwa wakati,,,na bado kuna watu hadi Leo mwaka wa 12 wapo pale hawajapata makaratasi,,, kama ingekuwa kusubiri miaka 2 isingekuwa tatizo kusubiri,,,kuna watu shida yao ni makaratasi tu,,kuna watu shida yao kuishi ulaya...unaweza ukajilipuwa kwa miaka miwili ,,ikakusaidia miaka ijayo....kumbuka unapojilipuwa kuna pesa unapewa za kujikimu,,,mfano euro 300 utalipwa kila mwezi,, hazitoshi kusaidia family wakati ukisubiri makaratasi? Kinachoumiza watu wengi ni wivu...
 
Mkuu hizo euro 300 unalipwa kwa shughuli ipi unayoifanya wakati haupo huko ?
 
Ni basi tu Watu tuna mitazamo tofauti.

Nilienda nchi moja ya Asia kwa shughulu halali na kufuata taratibu zote lakini baada ya miezi miine tu nilianza kujiona kama nipo utumwani...na hapo wala sijawahi kukutana na hali ya kubaguliwa wala nini...ni kero chache tu za misosi.

Siku nimerudi ingawa nilishukia Kenya lakini nilijisikia kama tayari nimefika Bongoland.
Siyo kila mtu anaweza kuishi ugenini. Nakumbuka hata wengi ya wazazi wetu waliokulia vijijini ukiwaleta sehemu kama Dar kuishi huwa wanageuza mapema sana. Tena unakuta wakiwa Dar ndiyo wanakula na kunywa vizuri na kila kitu kipo. Wapo radhi waende kuishi kijijini kwenye kila aina ya dhiki kuliko kukaa mjini.
 
Ni basi tu Watu tuna mitazamo tofauti.

Nilienda nchi moja ya Asia kwa shughulu halali na kufuata taratibu zote lakini baada ya miezi miine tu nilianza kujiona kama nipo utumwani...na hapo wala sijawahi kukutana na hali ya kubaguliwa wala nini...ni kero chache tu za misosi.

Siku nimerudi ingawa nilishukia Kenya lakini nilijisikia kama tayari nimefika Bongoland.

Ila kweli tunepishana sana jamani!
 
Ila kweli tunepishana sana jamani!
Sema corona imetuharibia sana nilikuwa nafanya kazi na Mabeberu sana hususan Dada zao. Mwaka huu nilikuwa nimepanga lazima niwe mbele maana Nina marafiki kibao sema nilikuwa sijawapa wazo la kuzamia.

Naona CCM imeamua kuleta corona kutuharibia mipango yetu. Kweli Africa n laana.

Huyu kwenye picha ni moja ya demu wa kibeberu aliwahi kuja bongo huwa haipiti wiki hajanicheki.
IMG_20200612_180017.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20200612_180017.jpeg
    IMG_20200612_180017.jpeg
    48.1 KB · Views: 14
Sema corona imetuharibia sana nilikuwa nafanya kazi na Mabeberu sana hususan Dada zao. Mwaka huu nilikuwa nimepanga lazima niwe mbele maana Nina marafiki kibao sema nilikuwa sijawapa wazo la kuzamia.

Naona CCM imeamua kuleta corona kutuharibia mipango yetu. Kweli Africa n laana.

Huyu kwenye picha ni moja ya demu wa kibeberu aliwahi kuja bongo huwa haipiti wiki hajanicheki.
View attachment 1476439

Hhhaaa ila kweli tunapishana sana sana
 
Ile miaka watu walikua na morale sana ya kujilipua watoto wa gomz daslamu na Tanga wengi walijilipua sana..mpaka sasa si ajabu kukuta kuna familia ambazo wana ndugu wako "mbele" kwa wale ambao walitusua!
 
Nakumbuka kulikua na ishu ya penpal..au penfriend...hhaa nilikua na penpal mtu na mkewe hawanaga mtoi..basi nikajieleza balaa kwa dingi haelewi somo...dah! Those yrs ..sio vitoto vyw miaka hii havina hata mawazo hayo
 
Imeendelea kwa uchumi wa vitu lakini watu wenyewe wana maisha magumu. Graduate unakuta anapokea mshahara labda laki mbili na vitu bei ghali. Kumiliki gari hata vitz ethiopia si jambo la mchezo maana vitz hizi hapa unainunua used dubai na ushuru milion 8 kuna haikawii fika 20 mls za kitz
Sasa cha kushangaza uchumi wa Ethiopia nimubwa kuliko wa Tz lakini raia wa Ethiopia nimasikini sana kuloko raia wa Tz ni Ethiopia peke Africa yenye mradi wa umeme mkubwa kuliko nchi yoyote Africa una gharama ya $1.5bn, watazalisha umeme paka wakuuza nje ya nchi
 
Yah ni kati ya mikoa ya libya ambapo 91% ni jangwa. Jamaa anakwambia ukiwa katika lile jangwa hujui N, S, E, W ni wapi. Anakwambia maisha ya wakazi wa pale ambao nao ni wachache wamejenga vijumba vya udongo ni magumu sana sana sana. Ndiyo maana anasema hata nzi wa pale ni masikini sana. Anakwambia kuna mbuzi na kondoo chache nao wanaishi kwa kula karatasi na vitu vya ajabu na ajabu kusurvive
Dah!...noma sana
 
Back
Top Bottom