Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 410
- 366
Sasa hivi wazungu wameshajuwa kama watu wanaoana sababu ya kutaka makaratasi yao,,,hivyo wanakuambia nenda mkafanye ndoa kwenu,,hivyo atakuja mzungu au yule unayetaka kumuoa muoane bongo,,,mpeleke details ubalozini,,hapo utaambiwa usibiri kama miezi sita au mwaka,,,,baadae una claim kumfata mumeo au mke,,, ipo story moja,,kuna jamaa yangu Fulani, yeye ni mtanzania,,,,alikwenda kuishi Sweden kama miaka 3 hakupata makaratasi,,akapata mwanamke mmoja wa kisomali mwenye makaratasi ya Sweden,,,wakawa wapenzi,,,huku yule jamaa bongo alikuwa na mke na watoto 3,,akamshawishi yule mwanamke wa kisomali waoane ili jamaa apate makaratasi,,, basi wakakubaliana waje hapa bongo waoane kimya kimya bila mkewe yule jamaa kujuwa,,,basi jamaa kule Sweden wakamtonya yule mke wa jamaa kwamba jamaa kaoa na anataka apate makaratasi,,,yule mke wa jamaa akaenda kuriport Sweden embassy in Tanzania,, kwamba mumewe kamtelekeza,,tena amekwenda na watoto kama 6 hivi na cheti cha ndoa,,jamaa bila kujuwa siku anakwenda ubalozini kupeleka details za ndoa,,wanamkuta yule mwanamke wa kitanzania na watoto wake 6 ubalozini,,, basi pale pale ndoa yake na msomali ikafa ,,na yule msomali akasepa,,,,,jamaa akajifanya kumsusa mke kwa miaka 2,,baadae Kamrudia,,,na hata kuhusu kufake mariage ,,,wanahitaji pesa si chini ya euro 5000 kutimiza hilo,,,.kama hamko ktk mahusiano...
Hili ni kweli mkuu, kuna watu walikuja kwa njia hii na kwa pesa nyingi ( Euro 10,000) na linakuwa deni analipa taratibu
