Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Tanga ndio home.... Nipo Dar kwa sasa... Mikanjuni , Donge, Makorora.... Maeneo ya kujidai nikiwa TANGA....
 
Makorora karibu na kanisa la Anglikana/soko la makorora,jioni pale mafenesi,mihogo ya kuchemsha,samaki wa kukaanga dah,December lazima nikale krismass Tanga...
 
Back
Top Bottom