Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

39235ba87b120e38aef37b1523bf61d1.jpg
jamani nauliza hii mada inawahusu watu Wa tanga tu?

Basi me napita tu.
UMEFATA NINI KWENYE UZI HUU
 
Shenzi kabisa! Yaani angeanzisha huu uzi mhaya, msukuma au mchaga hapa watu mngeanza kusema wana ukabila. Mfyuuuuuuu

Back tu ze siledi, wale wa Mlalo na Kitivo mpo??? Nami nimooooooo
 
Tanga tumejawa na ukarimu habaguliwi mtu
 
Kuanzia Tanga sisi,mwan'ombe,mwakidila,msige,mwaminji,jaje,masiwani shamba,,rudi mpaka mwambani na Mwahako .....Kama upo nakusalimia Asalaam aleikum

Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
 
tanga nawapendaaaa mahaba mnayajua hataree

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Shenzi kabisa! Yaani angeanzisha huu uzi mhaya, msukuma au mchaga hapa watu mngeanza kusema wana ukabila. Mfyuuuuuuu

Back tu ze siledi, wale wa Mlalo na Kitivo mpo??? Nami nimooooooo
Mlalo nisalimie shekoloa nisalimie mkongoroni
 
Back
Top Bottom