Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia

Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia

Mtaikomboa kwenye mtandao tu ila ule ujinga wa 29/10 haurudii tena.
Chukua hii comment yakitokea maandamano yanaweza kuja kua makubwa zaidi ya October 29 rudia kusoma hii comment punguza kujilisha upepo kwamba haiwezekani kwa sasa inawezekana sana
 
Wazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
Hakuna cha 77 wala nini mnatiana ujinga tuu
 
Peleka upuuzi wako huko kenge wewe
Unapokutana na wanaume usitangulize hisia, hisia peleka kwa wamama wenzio huko. Huku tunanyukana kwa hoja.

By the way comment yangu si kwajili ya watu wajinga kama wewe
 
Hao waandamanaji watakua na nini cha kujitetea incase kikinuka?/
Kama nchi yenye kila kitu haiendi vitani kizembe , halafu wewe hauna cha kujilinda unatoka kukinukisha ukiwa hauna mipango na haujaipanga na unaowatetea wako sebuleni wanaangalia sinema zetu .

Mtu akitaka nitoke lazima anipe mpango kazi Wenye mbinu na mikakati ya kujilinda sio nitoke kindezi , halafu watu hawafikirii na kujifunza kwa yaliyopita
 
Wazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
uzuri ni kwamba nitakuwa nisharudi hivyo kuzimwa kwa mitandao hakutoniathiri sanaaa kiukweli...kwahiyo endeleeni kubishana na jamhuri
 
Wazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
Kumbukeni tu kuandamana kwa amani, maana mkija kuharibu vibanda vyetu vya biashara au nyumba zetu za kuishi hatutasubiri vyombo vya dola. Tutaanza sisi wananchi kuwashughulikia!
 
Binafsi niliwafahamu watanzania katika umri mdogo sana,o' level kulikua na tatizo la upungufu wa chakula(halafu ni private) lakini kwenye kuwasilisha malalamiko wengi walikua ni waoga,baada ya kusota sana kamgomo baridi kalinyoosha mambo haraka sana.
A' level tena kiumeni tulikokotwa sana kama watoto wadogo hadi kwenye mambo yaliyodhahiri, wakati wa mitihani ya pre national lilitoka katazo la kutokutoka chumba cha mtihani kabla ya msimamizi.
Hili katazo lilikiukwa na baadhi yetu hivyo waalimu wakajipanga kutupiga bakora ,sitasahau vijana waligombania kuchapwa wawahi pepa 😀(ilikuja kutokea comeback moja vijana wakaleta noma na ombi lao ni kuzungumza na mkuu ,inshort yule mzee ni msabato safi sana ila ilibidi aivunje siku hiyo)
NB:nimejifunza watanzania ni wabinafsi mno imagine hata waliokosa miili ya ndugu zao wameshindwa hata kuhoji wenye mamlaka kwa njia rafiki, hivyo kila mmoja ashinde mechi zake hakuna kujitoa kwa ajili ya wengine.
 
Back
Top Bottom