Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,035
- 126,766
Ndio, hata ww ukitaka kutokea kwenye picha unakaribishwa.Ili mrushe picha za innocent victims kwenye mitandao while mnakula alawanzi za kuchochea vurugu sio?
Enough is enough
Ndio, hata ww ukitaka kutokea kwenye picha unakaribishwa.Ili mrushe picha za innocent victims kwenye mitandao while mnakula alawanzi za kuchochea vurugu sio?
Enough is enough
maandamano ya kweli ni MARIDHIANO na KATIBA MPYA.Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni na toa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
Yaani mtu akutese duniani halafu wewe unasubiri malipo jehanamu, hizo ni akili kweli?Mtaua wengi na kuvunja hivyo vibofu uvya watu ila hakika nanyi moto wa jehanamu unawasubiri. Nanyi pia kuzimu ya mateso ndio utakuwa makao yenu milele
Huwa nawashangaa sana watu wenye hizo mentalityYaani mtu akutese duniani halafu wewe unasubiri malipo jehanamu, hizo ni akili kweli?
hapo sawaSafari hii madogo wamejizatiti, hawataanzisha vurugu yoyote na watalindana wasiharibu mali za watu ila wakichokozwa watajibu kwa nguvu maradufu.
Msiwadanganye Gen Z jamanii, yatakua zaidi ya oct 2025.Safari hii madogo wamejizatiti, hawataanzisha vurugu yoyote na watalindana wasiharibu mali za watu ila wakichokozwa watajibu kwa nguvu maradufu.
Safari hii watatoa ulinzi kulinda maandamano kama sheria inavyowataka, dunia imeshawaelemea kwa upuuzi waliofanya 29.10.2025Msiwadanganye Gen Z jamanii, yatakua zaidi ya oct 2025.
tutawamiss sana humu.Hivi kwa nini mnataka kutuaminisha kuwa maandamano ni dhambi, ni jinai. Anyway katika ukombozi wowote lazima kuna watu watakata tamaa na kuwavunja wengine moyo.
Lakini viongozi wa CCM lazima watambue Tanzania sio mali yao wala hawakuumbwa kutawala. Tanzania ni yetu sote na kamwe hatutambembeleza ama kumuomba mtu haki yetu.
Babu zetu wangekuwa kama baadhi yetu humu hadi leo tungekuwa tunatawaliwa na wakoloni.
wewe waache tu, madogo wamekufa na kina Mange na wenzake wameishia kulilia instagram mbele ya camera.Msiwadanganye Gen Z jamanii, yatakua zaidi ya oct 2025.
kiongoziSafari hii madogo wamejizatiti, hawataanzisha vurugu yoyote na watalindana wasiharibu mali za watu ila wakichokozwa watajibu kwa nguvu maradufu.
wewe na wenzako mnaishia ku comment tu ila kufa wamekufa wadogo zetu waliokubali kudanganyika na upuuzi wenu. Hii dhambi haitowaacha salama.Masikini wanawaza kufa tu
kwani hawatakuwa na silaha nyingine tofauti na bunduki ?Tena sahivi kuna Polisi wapya wanapewa Ajira waliohitimu juzi hapo CCP, wana hamu ya kutumia bunduki hatariiii.
Sumu haionjwi Waja. Ooooh
Panapo majaaliwa ya Mnyaz Mungu nitawapa supportkiongozi
wewe hautakuwa kwenye msafara kuwapa kampani wadogo zako ?
acha kuwaingiza wenzako chaka halafu wewe umejifungia ndani,,,, Kwenda kupigania watanganyika wasiojielewa ni uwendawazimu..Hivi kwa nini mnataka kutuaminisha kuwa maandamano ni dhambi, ni jinai. Anyway katika ukombozi wowote lazima kuna watu watakata tamaa na kuwavunja wengine moyo.
Lakini viongozi wa CCM lazima watambue Tanzania sio mali yao wala hawakuumbwa kutawala. Tanzania ni yetu sote na kamwe hatutambembeleza ama kumuomba mtu haki yetu.
Babu zetu wangekuwa kama baadhi yetu humu hadi leo tungekuwa tunatawaliwa na wakoloni.
Kamvunje uchi mama yako ,choko to a na location yako we shoga tuje tukunyooshe siku Hi yo ,Malaya mmoja weHata Kodi ulipi alafu unachongoa mdomo eti nchi yetu, we una nchi!!? Andamana tukuvunje kibofu chako iko.
baadaye wanakuja kuchosha watu mitandanoni na vilio vya kinafki kwa wenzao waliowatoa kafara....Umekaa huko kazi kuhamasisha tu, watoto wa wenzenu wanakufa nyinyi mnaendelea kuishi ba familia zenu
Peleka upuuzi wako huko kenge weweOctober 29 wanasiasa na wanaharakati wote walikuwa wamejificha na wengine waliondoka nchini. Vijana wamekufa wamerudi na kauli mbiu WATU WASIOKUWA NA HATIA WAMEULIWA. Mchongo ungetiki kauli mbiu ingekuwa MASHUJAA WAMEIKOMBOA NCHI.
Hizi harakati zote mtu wa kwanza kunufaika nazo ni mwanasiasa, Yani kabla wewe hujapata katiba mpya na hujapata tume huru ya uchaguzi yeye atakuwa amenufaika kwanza kupata mamlaka makubwa ya kisiasa, mshahara mzuri, ulinzi, posho mlima na uhakika wa mambo mengine mengi.
Hawa watu wanapaswa kuwa msitari wa mbele kwenye haya maandamano, wao ndio wanufaika wakubwa wa hizi harakati. Mwananchi hadi upate unafuu wa kupata ajira, huduma za afya kwa gharama nafuu, elimu Bora ni hadi huyu Heche akae madarakani miaka mitatu hadi mitano ndipo atakuwa na uwezo wa kukupa hivyo vitu, ila yeye atakuwa kanufaika na mengi sana kabla yako
umetumwa we si bure ... haki zako ni mbili tu hapa duniani , kuzaliwa na kufa,, hizo zingine ni mbwembwe ambazo huna mamlaka nazo..Wazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.