sasa tutaenda kununua wap tena jaman? maana hapo ilikuwa unachukua haina haja ya kujuana majina wala kuuliza unataoka wap na ikishafika kesho yake hakuna kuombana vocha wala mizinga isiyokuwa na akiri. Kila mmoja anashika njia yake akiwa mwepesiiiiiiiiiiiiiiii
Wawaache bana. Kwani kuna ubaya gani mtu akiamua kuuza penzi lake?
Brasil biashara ya penzi ni ajira tena yenye mafao kabisa kama ajira zingine.
Muda umefika watawala waache kuwasumbua hao watu na badala yake wawasaidie kuihalalisha.