wauza mapenzi wakamatwa

wauza mapenzi wakamatwa

Mmoja wa Wamiliki wa 'Madanguro' na pia wananchi wafunguka baada ya operesheni ya POLISI eneo la Mwananyamala, wilayani Kinondoni jijini Dar-es-Salaam:

Hisani ya ITV Tanzania youtube - Jeshi la polisi wayafunga madanguro Mwananyamala
 
Last edited by a moderator:
police wajitahidi wapate na hao customers ile kuua soko kabisa,,,, note some time customerz wanakimbia ndoa zimekua chungu so familia nazo pia zipate screening ya ushauri nasaha
 
Mapolisi wakitaka kukomesha hii biashara wawe wanawakamata wateja wao
 
bila kusahau kule jangwani, lumumba, gongolamboto majoe, mbagala rangitatu kwa masakuu, kigamboni mjimwema, cocobeach!!
Kulikoni mkuu,mbona unavijua sana vijiwe vya madada poa?
 
Wawaache bana. Kwani kuna ubaya gani mtu akiamua kuuza penzi lake?

Brasil biashara ya penzi ni ajira tena yenye mafao kabisa kama ajira zingine.

Muda umefika watawala waache kuwasumbua hao watu na badala yake wawasaidie kuihalalisha.

Mh!...kazi kwelikweli, Mkuu ila mimi naona hao wanauza Ngono/zinaa na sio penzi........Maana tukiangalia uhalisia wa penzi, huwa penzi haliuzwi, huwa lipo tu lina exist baina ya watu wawili wanaopendana na pia Penzi sio tendo la ndoa tu bali lina include mambo mengi sana muhimu baina ya watu wawili wanaopendana.......kwenye biashara hizi tukitumia neno penzi tutakuwa tunachakachua maana ya penzi kwakweli.
 
Mh.. mara nyingi wanaume wananunua hilohilo penzi kwa wapenzi wao...
 
Acheni frozen mind nyie!! Kwani kutoa elimu ya ukimwi basi wewe ushakuwa MWATHIRIKA?! mnakuwa kama mmeshikiwa akili?!
 
Wengine WAZAWA wa hili jiji, hatukuja na MBIO ZA MWENGE!! nimezaliwa OCEAN ROAD lol, sikuja na TREN wala BUS, u heard?!
 
Back
Top Bottom