simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,786
- 9,715
Hey! Why so arrogant! Kenyan! What have you done to poor people of syokimau? It's known 'mathare' is the largest slum in africa. Kibera also. Your large urban population is found in those slums. In stead of helping them you're planning to demolish their dwellings. To hell with wenye roho mbaya.
Lolz@mungiki this who had all her expectations crushed.acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Wacheza bao mbona hata Mombasa wapo?sasa nyie kama mnaona sisi twafanya kazi bila permit mbona hamtufukuzi?mnazidi kutaka sisi tulete ndugu zetu hapa kwa kuwa nyie hamtaki kazi,nyie mwapenda kukaa vibarazani na kucheza bao kila siku,kazi zinawashinda,sasa mimi nimeitwa kuja kufanya kazi tz na mshahara wangu utakuwa mkubwa sana,ninarudi early january
Uncle wacha nikupinge kidogo hapo, watu wa roho mbaya wapo kote kote... Au hujakutana nao hata humu jamvini?Watanzania ni tofauti sana na wakenya, wakenya ni wakabila halafu wana roho mbaya kishenzi!
nyie watz inaonekana hamuwezi kufanya socialize na watu kutoka nchi zingine,mna aibu sana,halafu mnapenda sana kujiona nyie mko na roho nzuri,lakini umaskini wenu wa akili utawaletea umaskini sana
Maybe niseme wakatili.Uncle wacha nikupinge kidogo hapo, watu wa roho mbaya wapo kote kote... Au hujakutana nao hata humu jamvini?
Mimi sielewi historia ya huu Mlima, lakini kisheria na kimantiki, kama kuna mtu amekunyang'anya (hapa Malkia) adai kwa yule, sio unakuja kunidai mimi zawadi nilopewa. Kama umeibiwa, kamata mwizi, sio aliyenunua. Huyu anaweza kukusaidia tu kujua mwizi wako.wanadai kihistoria mlima kilimanjaro ulikuwa wakwao ila malkia aliutoa zawadi kwa harusi ya mwanawe.
Ndio maana hata ramani imepinda pale karibu na mlima kuukwepesha uingie tz.
hapo sijakuelewa,mbona wakenya wengi company zao zipo tanzania kama investors lakini kenya hakuna company za watanzania
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Hehehehe Nyani siku zote haoni kundule...Kwani nyie mnatupenda Wabongo!? Mara ngapi mmeshafukuza Wabongo wanaoishi Kenya tena bila hata kuwaruhusu wachukue mali zao?....au ndio kupenda kwenu Wakenya? Halafu usijipe kichwa kwamba mmetuzidi katika lolote lile. Kama mmetuzidi basi mngekaa kwenu na siyo kuja kutafuta ajira Tanganyika.
nimejua kweli watz wajinga,mbona mwatetea sana ujinga,mimi nilitaka kujua kwa nini hamtupendi,wakenya wengi wakija tz wana coplein kuhusu tabia zenu,maendeleo ya east africa yataletwa na wote,acheni kufanya hivyo