Watumishi wanaitishana 'roll call' Zanzibar...

Status
Not open for further replies.
Kwa sababu hawanywi bia zinawatosha, lkn watakuwa wanavuta hawa si bure!

sasa ndo muda wa kujitenga na hawa wavivu wa kuongea na kufikiri... tumezoea kuwabeba sana Baba Nyerere tutaomba atusamehe ata angekuwepo angeuvunja muungano hadharani... wakishauana tutakichukua kisiwa burebure kwa mashariti yakupatiwa unga wa dona... tuwaache wapemba na waunguja.
 
Soma mada juu, kinaongelewa "watumishi wa mashirika" ya nje. Si "individuals". Hata hao individuals wa kigeni ukienda makwao hukosi walinzi wa uhakika.

Hivi ni nini ambacho hukielewi au ili mradi tu ubishe.

sielewi unatofautisha watumishi wa mashirika ya nje na individuals namna gani hasa katika muktadha wa kiusalama, sababu sidhani kama ubarozi wa marekani unaweza kumonitor usalama wa wamerakani wanaofanya kazi ubarozini pekee na kuachana na wamarekani wengine wote.

kimsingi hakuna kitu nachobishia ila natafuta maelezo sahihi, hauwezi kukaa hapa na kutype kwamba hata hao individuals wa kigeni ukienda makwao hukosi walinzi wa uhakika wakati sisi ndio tunaishi nao huku na tunaulinzi majumbani mwetu kuliko wao.

wewe nimeishaconfirm, unabisha kwa ajiri ya kubisha tu, ngoja nirudi kwa mwanakijiji.
 
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?

Mwanakijiji
huyo mtoa taarifa wako amekueleza kama mashirika hayo yametoa taarifa ya hofu juu ya usalama kwa wafanyakazi wao kwa vyombo vyetu vya usalama?

na je amekugusia ni tishio gani hasa la usalama linalowaweka roho juu namna hii?
 
sielewi unatofautisha watumishi wa mashirika ya nje na individuals namna gani hasa katika muktadha wa kiusalama, sababu sidhani kama ubarozi wa marekani unaweza kumonitor usalama wa wamerakani wanaofanya kazi ubarozini pekee na kuachana na wamarekani wengine wote.

kimsingi hakuna kitu nachobishia ila natafuta maelezo sahihi, hauwezi kukaa hapa na kutype kwamba hata hao individuals wa kigeni ukienda makwao hukosi walinzi wa uhakika wakati sisi ndio tunaishi nao huku na tunaulinzi majumbani mwetu kuliko wao.

wewe nimeishaconfirm, unabisha kwa ajiri ya kubisha tu, ngoja nirudi kwa mwanakijiji.

Soma post #1 halafu umuulize mleta mada kwanini aliwataja "watumishi wa mashirika ya kimataifa" pekee.
 
Nimeona, infact amesema hata mashirika ya ndani yapo yanayofanya hivyo, tushirikiane kumuuliza, nafutilia majibu yake kwa maswali yako, nachopinga ni nikuwa extremists sababu inasababisha outright bias.
 
Extremism ya nini? mtu kauliwa, Jee, mshajuwa kilichomfanya auliwe? Jee, mshamjuwa aliomuuwa? lets not reach our climaxes prematurely.
 
wewe ni extremist sababu hakuna dalili zozote kwamba unaweza ukakubaliana na mtu yeyote anayehofu kwamba zanzibar kuna tatizo la kiusalama katikati ya mauaji na hujuma zinazoendelea.

hapa tayari umekwishaniclassify kwamba na mimi ni mmoja ya watu ambao wamekwisha conclude nani wamehusika na mauaji ya askofu aliyeuwawa jumapili, wakati katika issue hii mimi na wewe tumeshindwa kukubaliana kwenye swala la security monitoring inayofanywa na wageni wetu hapa nchini, hakuna sehemu tumezungumzia mauji sasa wewe haya unayotoa wapi?

you are all out to defend kila kitu ambacho watu wanaona hakiko sawa, this is just too much, looks like you are out of your mind.

Zanzibar kuna tatizo, kukataa hakumsaidii mtu yeyote yule, hata ninapata wasiwasi kama uko nchini wewe, kuna uwezekano tofauti yako na mwanakijiji ni positions tu.
 
Kwanini wewe sio extremist? au kwa sababu aliyeuliwa ni mchungaji wa kondoo?
 
Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali

uongo.
 
naona hauko kwenye hii mada ndugu yangu. huyo mtu amekwisha kufa, mjadala wa aina yoyote juu yake siko tayari kushiriki, nyie wafu ndio jadirini wafu wenzenu.
 
Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali
Wanafiki hao
 
wewe ni extremist sababu hakuna dalili zozote kwamba unaweza ukakubaliana na mtu yeyote anayehofu kwamba zanzibar kuna tatizo la kiusalama katikati ya mauaji na hujuma zinazoendelea.

hapa tayari umekwishaniclassify kwamba na mimi ni mmoja ya watu ambao wamekwisha conclude nani wamehusika na mauaji ya askofu aliyeuwawa jumapili, wakati katika issue hii mimi na wewe tumeshindwa kukubaliana kwenye swala la security monitoring inayofanywa na wageni wetu hapa nchini, hakuna sehemu tumezungumzia mauji sasa wewe haya unayotoa wapi?

you are all out to defend kila kitu ambacho watu wanaona hakiko sawa, this is just too much, looks like you are out of your mind.

Zanzibar kuna tatizo, kukataa hakumsaidii mtu yeyote yule, hata ninapata wasiwasi kama uko nchini wewe, kuna uwezekano tofauti yako na mwanakijiji ni positions tu.[/QUO

Tatizo sio kuuwawa kwa padri bali ni kuuliwa na UAMSHO.
 
Dini imeifanya ZNZ KUWA SI SALAMA TENA KWA WAKTISTO NA WAGENI . Full stop

Mkuu tatizo la Zanzibar alina uhusiano wowote na mambo ya DINI wanataka kuzunga watu kwa kuhusisha vurugu/mauaji kwa kisingizio cha dini DINI - mbona makanisa mapadri/wachungani walikuwepo huko tangu miaka late 1880s. Hapa wanchezea watu akili tu, fujo na mauaji yote yanatokana na baadhi ya watu fulani uraiani na kidogo Serikalini ambao wanatafuta kisingizio cha kuvunja muungano kwa ku-create terror na civil strife - ni hilo tu mkuu.

Jamaa hawa wako well organised na wana inside information za kila kitu ndio maana wanaweza kutamba bila kizuhizi; Mh. Shein apaswa kupatiwa msaada wa haraka sana ku-contain kundi hili, linajiamini sana kupita kiasi ndio maana wanazungumza lolote hata wakiwa BARA!! Wahenga usema action speaks VOLUME i.e dalili zilishaonekana kitambo, lakini sisi tunaendelea kuvuta miguu tukifikili kwamba yata sublime tu ...., muda wa ku-deal na tatizo hili summarly is now not LATER.
 
Yaani jana tunatoka kuzika tu tunakutana na hizo habari eti kunatukio kubwa zaid ya lile la jana litatokea siku ya pasaka
 
Target yenu ni ipi hasa? Na utajali kutuambia mtajiongeza vipi kwa kuua mapadri?
Pakazieni dunia nzima ya kwamba z'br kuna magaidi,lakini mkae mkijua target ya wazenji ipo palepale,jamhuri ya
Watu wa z'br kwanza chokochoko hazina nafasi.
 
UN agencies wana utaratibu wao kwenye maeneo ambayo hayana usalama wa kutosha. Inawezekana Zanzibar nayo imeingizwa kwenye maeneo ambayo ni insecure (UN huwa wanapanga madaraja) kwa nchi zote ambazo usalama wake ni wa mashaka.

Hivyo huo ni utaratibu wa kawaida kabisa kwa UN katika system zao za security. Hii ni kuhakikisha kwamba wafanyakazi wao wanahakikishiwa usalama muda wote. Kama hali ya usalama itaendelea kuwa hivyo (mauaji yasiyotarajiwa/holela) tegemea kuona misafara ya wafanyakazi wa UN wakipewa police escort kila watakakokuwa wakienda. Wafanyakazi wa UN wanachukuliwa kama mabalozi popote walipo.

Hata Kigoma tulikuwa tunatakiwa kuitikia miito ya "radio call". Kila ilipofika saa 11 jioni tulitakiwa kuita radio room ya moja ya UN agancies (UNHCR, WFP, UNICEF, IOM) ambayo ilikuwa zamu. Kama hili sasa linatokea Zanzibar usalama wake umeshatiliwa mashaka na UN. Hii ni kitu ya kawaida sana kwa UN agencies!!
 
Kwa kweli kama wanataka nchi yao na wachukue wafurahi na sisi tufurahi kuwa wamefurahi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom